Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Kumbe waoga wa hiyo kitu tupo wengi, nawaza siku nikisafiri mbali itakuaje. Kama sitakutwa nimezima basi watanikuta nimezimia au kufa kwenye kiti changu kwa kihoro.
Ukienda OVERSEAS hamna ujanja.
 
Yes...international unachagua. Tena siku hizi unnachagua uko home kwenye smartphone!

Hapo sawa, hizi za humu ndani kwetu ni ngumu sana.

Mfano kwa kila route 6 nazosafiri na ndege, 2 kati ya hizo ni either ndege inabadilishwa au muda unabadilika, sasa hawawezi kuruhusu ukate siti namba kabisa.

Siku hizi imekuwa kero sana hizi ratiba kiasi hata huwezi kuplan kazi zako kwa kutegemea ndege zetu hizi.
 
Kukaa masaa kumi hewani si mchezo! Huwa naangalia sana Air Crash Investigation...moja imeshika moto hewani! Hamponi hapo.
Yesu wangu. Safari ya Mwanza Dar tu huwa inanipaga uchizi angani. Masaa kumi ntaenda kabisa kuungama na kupakwa mafuta kanisani. nawaza kutekwa, mara plane imecrash. Plane si kitu kizuri kabisa basi tu
 
Yesu wangu. Safari ya Mwanza Dar tu huwa inanipaga uchizi angani. Masaa kumi ntaenda kabisa kuungama na kupakwa mafuta kanisani. nawaza kutekwa, mara plane imecrash. Plane si kitu kizuri kabisa basi tu
Unatakiwa ukumbuke ndio usafiri salama zaidi duniani.
You are more likely to be killed in a car accident on your way to the airport than get killed in airplane crash!
 
Hujichagulii vipi, wakati unaweza book online na ukachagua seat kulingana na daraja unalokaa. Mara nyingi International flight seat nachagua mwenyewe wakati wa kucheck in or booking online.

Sure, kuna mdau kashanijibu, mimi nilidhani hata international ni kama hizi locals.

Thanks mkuu.
 
Back
Top Bottom