Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,910
- 2,712
Kwa yoga huo utazima ndani ya nusu saa na kama ukifanikiwa kuzinduka kabla haijatua utakuwa na Bahati mbaya maana utakufa wakati wa kutuaSasa safari kama hiyo nisipozima naweza nikafa hata kabla hatujafikisha masaa matano ya safari. Mimi muoga tena sio muoga kidogo dogo muoga haswaaa. Kitu ambacho hakiniogopeshi sana ni boat/meli. Ila ndege sijui magari hapana. Gari toka nimepata ajali uoga umekua mara kumi.
But it is the safest means of transport..