Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Sijawahi kujua kama unaweza kuchagua siti, kwa sababu mara zote ninatumia agents kukata ticket, kwa hiyo ukienda na ile ticket (itinerary), ukifika checking ndo wanagerate ticket yenye siti no.
Pia unaweza mwambia wakati wa kukata tiketi kama akupe seat gani kama zipo.
 
[emoji1][emoji1]. Umenikumbusha mpemba mmoja. Anasema ajali ya boti na ndege bora boti.
Kwenye boti unaweza ukapiga kibega yaani kuogelea.
Lakini kwenye ndege hauwezi
 
Aisee juzi nimepanda ndege ikafika sehemu ikapata turbulence moja mbaya sana.

Nilihisi ndo basi tena.

Nilikuwa nimeshika juisi mkononi ikamwagika...ndani ya ndege nikasikia sauti za vilio tu.

Kwa kweli huwa sipendi kusafiri kwa ndege.
Huu sio ungo kweli! Maana siyo kwa vitingishiko hv
 
Kweli?

Sina uzoefu na ndege za masafa, safari zangu zote ni local, na huwa naona siti namba inakuwa generated kwenye checking, sina uhakika kama unaweza kujichagulia.
Unachagua tu mkuu hata kama ni local ...kuna kampuni zingine mfano fastjet ukifanya booking online kuna option ya kuchagua seat. Lakini hukatazwi kuomba seat ya kukaa wakati wa kucheck in ila mara nyingi wengi wanaona soo wataonekanaje
 
Huu usafiri naitumia nikiwa sina option, sijawahi kuuzoea.Safari moja nilienda Morocco kwa Qatar aise safari ndefu sana tulienda kwanza hadi Ugiriki ndo tukarudi Africa. Zikiwa zimebaki siku mbili nilirudi yaani nilikosa amani kabisa, ila nilikunywa heiniken hadi nilipotua bongo nililewa vibaya mno.
 
Sasa bro si unatuharibia biashara?

Wateja wote watataka siti hizo tutashindwa kufanya booking kwasababu aina ya siti kama hizo zitajaa fasta.
 
Sasa utaamuaje ukae wapi wakati tiketi ndio hizo umezikuta?
 
Huu usafiri naitumia nikiwa sina option, sijawahi kuuzoea.Safari moja nilienda Morocco kwa Qatar aise safari ndefu sana tulienda kwanza hadi Ugiriki ndo tukarudi Africa. Zikiwa zimebaki siku mbili nilirudi yaani nilikosa amani kabisa, ila nilikunywa heiniken hadi nilipotua bongo nililewa vibaya mno.
Ha ha ha haizoeleki hii...ndege raha yake ukishashuka uko lounge unabarizi...
 
Back
Top Bottom