Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Sehemu salama zaidi kwenye ndege...

Treni je!? Imechangia vifo vingapi katika hyo 2975 iliyobaki!?
Treni yetu ni kama haipo mkuu...ruti mbili kwa mwezi sio fair kulinganisha na ruti 2000(mfano) kwa mwezi.
 
Treni yetu ni kama haipo mkuu...ruti mbili kwa mwezi sio fair kulinganisha na ruti 2000(mfano) kwa mwezi.
Ni kweli mkuu, lakin sidhan kama tren yetu inapiga ruti mbili kwa mwezi.. wanapiga ruti nyingi.. anyway tuyaachie hapo.
 
Sasa mbona wanakufaga wote kama ni kweli?
Yaani hujamwelewa mleta maada, kufa utakufa tu ila kaweka asilimia za kufa, kwamba kuna watakaokufa asilimia 49, wengine watakufa asilimia 56 na wengine watakufa daraja la juu kabisa! Mimi nasubiri anidokeze ni wapi naweza kukaa ili angalau percentage ya kufa iwe 0 %
 
Usijali Jirani, hebu tutafute nauli bhana tujaribu kupanda hizi za kwetu, mie nikija Dar jirani itabidi nijaribu aisee!!
Sawa jirani. Naufanyia kazi ushauri. Naanza kuweka akiba kwa kibubu. Tupande hizi za ndani. Samahani. Naruhusiwa kupanda ndege nikiwa na mihogo mibichi na Karanga? Au Mahindi ya kuchoma?
 
Aisee juzi nimepanda ndege ikafika sehemu ikapata turbulence moja mbaya sana.

Nilihisi ndo basi tena.

Nilikuwa nimeshika juisi mkononi ikamwagika...ndani ya ndege nikasikia sauti za vilio tu.

Kwa kweli huwa sipendi kusafiri kwa ndege.
watoto wa NGOSHA mnajulikana kirahis sana
 
Ndege ni usafiri salama zaidi duniani. Lakini ajali yake kupona ni kazi sana.
Kwa utafiti wa wataalam sehemu utakayokaa kwenye ndege ina nafasi kubwa sana kuamua uhai wako.

Igawe ndege mara tatu, kipande cha mbele,kati na nyuma.

1. Ukikaa mbele nafasi ya kupona ni 49%

2.Ukikaa kati nafasi ya kupona ni 56%

3.Ukikaa nyuma nafasi ya kupona ni 69%

Vile vile siti ya koridoni ni salama zaidi kuliko dirishani.
Jitahidi usikae zaidi ya mistari mitano kutoka mlango wa dharura.

Wanasema ndege ikianguka sehemu ya nyuma inameguka mara nyingi inabaki salama, sehemu ya kati kwa sababu ndio kuna tank la mafuta ndio huwa inaungua sana, sehemu ya mbele ndio ya kwanza kukutana na impact mfano kwenye crash landing.
Source:NatGe Air Crash Investigation
panda basi
 
mkuu, pole! ilikuwa ndege ndogo or kubwa? kwa maoni yangu flight ndogo huwa si salama kabisa ukilinganisha na ndege kubwa kama Airbus, Boeing etc. huko juu angani vindege vidogo hupepesuka na mara nyingi wana-cruise low altitude.

Ilikuwa ya saizi ya kati hivi....
 
Alafu ikishatokea hivyo usiombe rubani akaiachia kidogo ishuke chini. Unaweza kujiarishia

Teh teh teh....kweli kabisa!

Kuna sensation flani hivi unaisikia kiunoni.

Kama mavi yalikuwa yamekubana yanaweza kutoka bila kupenda....
 
Dah...tafiti kama hizi hazimsaidii chochote msafiri....labda watu kama wa bima[emoji13] [emoji13] [emoji87]
Inasaidia kujua wapi salama zaidi kukaa in case mnapambana na crash landing.
 
Teh teh teh....kweli kabisa!

Kuna sensation flani hivi unaisikia kiunoni.

Kama mavi yalikuwa yamekubana yanaweza kutoka bila kupenda....
Napenda sana kupanda ndege lla nikiwa angani wakati wa kupaa na kutua huwa naishiwa pose kabisa
 
Inapotokea ajali ya ndege, sehemu salama kabisa ya kukaa wakati huo ni nje ya hiyo ndege tena uwe mbali kabisa mita 1000. Kama upo ndani ya hiyo ndege hakuna sehemu salama..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom