Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 7,266
- 13,020
🤣🤣🤣watoto wajinga kweli nyie
Ni kufurahisha genge tuHizo kitu huwa zina faida gani??? Kiasi kwamba mtu anakuomba urafiki ili muwe mna-vyuana
watoto wajinga kweli nyie
Watoto WA 2000😸Kweli JF imeingiwa na watoto!
Mkuu unajua hili ni jukwaa gani lakini🤣🤣Kweli JF imeingiwa na watoto!
Kipi kikusikitishaçho?Hahah dah nimesikitika sana ila nitasoma comments, keep the screenshots coming!
Umetisha sana. Mpaka sas bado hujapata mpinzani. Labda wanakuja
🤣🤣🤣🤣
JF IMEKUWA WATOTO WETU -ITV
Hutaki vurugu 😀😀Kuna mtu niliwahi kumuuliza kwa nn ana watu wengi kwenye sim card yake akanijibu ili awe na wasap views wengi, binafsi nna watu kama 150+ na hapo nawaona wengi mno
Haya benki una sh ngapi?Watoto wa 2000 mna vituko. Ulizaneni idadi nyingi ya fedha ulizoweka benki acheni ufala
Kabisa maana mi nakumbuka enzi za fb miaka ya 2010s nilikuwa nikipost picha nashinda kufatilia likes mpaka zifike 500 au 1000 hapo najiona mjanja.Watoto WA 2000😸