Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

Pole sana thats Life, nakushaur usikurupuke now kuingia kwenye new Relation ukiwa una Stress jus take time Relax, fall in love when u are ready, wanaume hawafanani wapo wanaojua thamani ya kupendwa so tulia utampata atakaetuliza moyo wako. Shit happens for reasons , be strong let him go
 
Wewe nilikwambia umeme ukiwa ready niite ntazame mpira..kimyaaa...

Ngoja nije huko basi, nikute umenunua King'amuzi cha dstv kabisa. In two weeks time, nitatinga kibande hicho.
 
Mungu hutupa Njaa ili tuweze ku appreciate chakula tukikipata..unachopitia now kitakusaidia kum appreciate a good guy akija..the one for you...usiseme why me..sema why not me...

Word, yaani ukiamua kuona positivity ktk kila situation; maisha yako yanakuwa mepesi sana.
 
pole dia,, huo upepo utaisha tu usijali maisha ni lazima yasonge.
 
kama ni wako ni wako tu hakuna awezae kupinga mipango ya mungu hali yakua yeye ndio mtoa pumzii binadamu hawezi kupangua chochote bali atakucheleweshea tu ilakitabaki kua chako ongea na muumba wako akupe mwangaza kwenye Giza na mitihani

maneno haya alinambia MY DEAR MAMA nampenda sana coz yanani fariji sanaa

sikliiza wimbo wa Deborah Cox- who do you love

diamond plutnum-ukimwona
 
Utazoea tu mamie... Yaan huwezi amini hiko ni kipindi cha mpito kwa wadada wengi. Mungu atakusaidia, make hujazaliwa naye.

Take heart.... Believe huyo hakuwa wako, wako yupo!

Huyu wa pili kama sikosei. Huku kuzoea sasa, kuna siku najua atakuja kuwa mteja wa Dr Hogan muhimbili!
 
nakumbuka,nishakuwa innocent nikaumizwa vile vile,..am trying a different life nako naona hali tete,sijui nilekee wapi,am so hopeless ryt now

It doesn't cost anything by being innocent!! Kuna MTU unajua hata mwanaume akimuacha anajilaumu huko aendako!! Nakumbuka kuna Dada mmoja niliwahi kumuumiza lakini mpaka leo huwa natamani niende mpaka kwao wanielekeze alipo nimuombe msamaha but inakuwa ngumu. Sijui hata yuko wapi!!? Ila kuna mijitu hata ukilipiga chini huna cha kukumbuka!!
 
Pole sana
shameless boy gud for nothing tambua hilo hajaona umuhimu wako. Achana nae

Huyu mdogo wangu ana matatizo ambayo wanaume wanakuweka kwenye group la michepuko. Unajua kitu unachoongea ndio unachowaza na ndicho unachotenda. Unajua humu hatufahamiani lakini kuna vitu ambavyo mtu anaandika kila siku mpaka unajiuliza, hivi huyu kama brain yake ndio imejaa mawazo haya atavumilika kweli?? Kuna vitu vingi humu tuna fake but you can't fake the same thing several times.!!! If you wish ni bora ukawa kama lara1.
 
Last edited by a moderator:
Haya maumivu ya mapenzi saa nyingine unatamani tu MUNGU angekuwa anatunong'oneza kuwa "Hapa ninapokupitisha ni twisheni tu, so usitegemee saaaaana" ...maumivu yasingekuwapo. But mimi nilijifunza kitu kimoja ingawa kwa maumivu makali ...kuwa kila jambo lina sababu. Mshukuru MUNGU utashangaa atakavyokuvusha salama. Mimi nilishaambiwaga kuwa "Unapenda vibaya wewe kiasi kwamba watu wanawezakuku-take for granted na kutake-advantage kwako" ....halafu akafanya just that....nilijilaumu kwa kuwa he was trying to be frank with my feelings kwa kuniambia ukweli kuwa hata yeye anapita tu, nisijiachie kihiiivyo but sikumwelewa............Ninamshukuru alinikuza na kunifanya nijitambue zaidi thamani yangu......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom