Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
najaribu,ts so hard,i wish i had not met him,
Mm nasubiri maumivu ysishe nilete posa kbs uachane na ukapela
najaribu,ts so hard,i wish i had not met him,
^^
Wanawake sio wasanii?
^^
Sijui nkuulize wewe!
^^
Ndio uzuri wa Tanzania, ukiuliza swali usishangae kujibiwa swali..
OK
^^
ndo huyo..nishakuwa zilipendwa mwenzako...
ahsante dr,ila inaumiza sana,nlijua atlst ntatulia kdogo,nimespend almost mwaka sasa kutibu majeraha ya past rlship,nikiwaza mwaka mwingine uuh..
Sikupigi madongo...ila kunasiku tumebishana sana..nkakwambia kwa mtazamo wako wa mambo inakua ngumu sana kwa mwanaume anaejitambua kukaa na wewe...ukabishaa na madongo juu..nikaishia kukwambia its ur life(i think utakumbuka)...any way imetokea jipange , usonge mbele mungu atakujalia..

Songa mbele kuna mwingine atatia timu, na utampenda zaidi ya huyo, hayo ndio maisha ya mapenzi, Mr Paul aliyalinganisha na kiti cha basi, akishuka mtu mwingine anakaa.
Lakini vile vile jiulize kwa nini ameondoka, ukipata jibu lifanyie kazi.
badiebey