Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

Hii inaitwa kufa kufaana.Karibu kwangu mrembo.Ukinikataa Jf utanikubali kitaa.
 
as a person ,najipenda sana,natamani tu kuwa na mwenzangu

Unajuwa watu wengi huwa tunakosea unapokuwa umekorofishana na mwenzako, hamuelewani, au mumeachana moyo ndio unkuwa upo chini sana kiasi kwamba unahitaji wa kukutoa upweke. lakini haimaanishi lazima awe mpenzi hata marafiki wanatosha kwa muda huku ukiendelea kujipanga kwa mahusiano mengine, lakini ukiwa mtu wa panda basi shuka utakuja kuangukia pabaya
 
Pole mamy, mapenzi ya siku hizi ni kama umeme wa tanesco hayatabiriki eti ni lini yatakata, Mimi nishaamua kutokupenda ila tunasaidiana tu, asinipende nisimpende tusaidiane tu maana hakuna jipa katika mapenzi nishapendwa mpaka nikawa chizi unalambwa mpaka unyayo unapendwa mpaka unajiona uko peponi lakini wapi! siku yakikata ile raha inakuwa karaha.
 
Am afraid the interpretation of that last sentence ndiyo huwa-cost wadada wengi!

I'd prefer being real...b'se at the end of the day you will be happy you loved and they will be sad they lost you!

How does one make u feel like u r the luckiest person in the world to have her ndio issue
 
Wadau wa JF za jioni.

Nafikiri it's safe kusema kwamba kibuti ndo nishapigwa, japo cha kimya kimya, nimejiongeza kusoma alama za nyakati, na ukizingatia mzigo ndo alishachukua mhh sina jipya tena mtoto wa watu.

Nishamuweka moyoni, i loved every moment, inaniuma sana alivojikata polepole mana text, simu hazijibiwi na watsap namuona, kumfatilia mtu na msg siku nzima siwezi mwenzenu.

Napendwa na wengi ,ila ninakopenda sipendwi. Maybe kuna sehemu nilikosea, najiuguza hapa kwenu wana JF nisahau maumivu, mana hata mabest zangu kuwaambia siwezi, watanicheka, ndugu watanishangaa, bora hapa siwajui hamnijui.

Eh Mungu nisaidie nije nipate mwingine,mana hapa siwezi tena mimi ila naumia jamani dahh, mana i took sometime, natamani tungeendelea ila kashakata kamba and he doesnt seem interested tena.

Ukipita niachie japo a comforting word au ukijiskia kutukana si mbaya pia yote maisha.
Kesho anakuja mwingine in the same ngozi and in the name of love with the same purpose, just like him!

Tambua your purpose of life kwanza and then change from inside-out....may be somedays someone will come by with what you want!
 
Mi nashangaa sana...kwa nini upende at first place....hakuna mapenzi siku hizi..hautakiwi kupenda...unatakiwa kuigiza tu
 
afadhali umegundua mapema ungechelewa tu ndio ungeumia sana
 
pole badiebey jitahidi kujichanganya jitoe out nenda sehemu tulivu kama beach kuogelea sometime kunapunguza sana mawazo jaribu kwenda sehemu ambazo utakutana na watu wapya fanya tahajudi ukiweza yaweza kukusaidia
 
Last edited by a moderator:
Unajuwa watu wengi huwa tunakosea unapokuwa umekorofishana na mwenzako, hamuelewani, au mumeachana moyo ndio unkuwa upo chini sana kiasi kwamba unahitaji wa kukutoa upweke. lakini haimaanishi lazima awe mpenzi hata marafiki wanatosha kwa muda huku ukiendelea kujipanga kwa mahusiano mengine, lakini ukiwa mtu wa panda basi shuka utakuja kuangukia pabaya

sikukurupuka,nilishamsahau x kitambo sana,almost mwaka
 
Pole mamy, mapenzi ya siku hizi ni kama umeme wa tanesco hayatabiriki eti ni lini yatakata, Mimi nishaamua kutokupenda ila tunasaidiana tu, asinipende nisimpende tusaidiane tu maana hakuna jipa katika mapenzi nishapendwa mpaka nikawa chizi unalambwa mpaka unyayo unapendwa mpaka unajiona uko peponi lakini wapi! siku yakikata ile raha inakuwa karaha.

my dear,hata me nilitaka kuwa partial tu,lakini bila kujua najikuta namfeel sana
 
pole badiebey jitahidi kujichanganya jitoe out nenda sehemu tulivu kama beach kuogelea sometime kunapunguza sana mawazo jaribu kwenda sehemu ambazo utakutana na watu wapya fanya tahajudi ukiweza yaweza kukusaidia

ahsantee dear,frm this weekend i have my full share of fwuun...
 
Last edited by a moderator:
my dear,hata me nilitaka kuwa partial tu,lakini bila kujua najikuta namfeel sana
tatizo ndo hilo mapenzi huwa yanakuja automatic huwenzi kuyazuia kinachotakiwa n wewe kujicontrol. Ulimpenda ndio

lakini yupo anaekupenda zaidi. broooo.jpg
 
hhaha,sasa kama wakaa mkoa mwingine mi ntajuaje
Ahahahah.Hapana chezea power of love itakukuta popote pale.Unaweza jikuta hata kazi unahamishwa ili mradi tu ukutane na mwanaume wa ndoto yako.Mpotezee huyo brazamen saivi jifariji na mazombie yako muda utafika utampata wa kwako.
 
i wish angesema sabau za kuondoka,ningejirekebisha...sijijui nakosea wapi

Of course uko sawa lakini huenda anahisi kukuambia ingekuumiza zaidi, thus why ameamua kusepa kimya kimya pasipo ugomvi. Jitafakari mwenyewe ukishindwa kabisa one day unaweza muuliza hasa baada ya machungu haya kuisha, na kufanya hivyo huenda utalijua kosa na pia itakuwezesha kuwa na mahusiano mengine imara kwa baadaye.

Mwisho kabisa, mapenzi mazuri yasiyo na kuachana yapo ndani ya ndoa, hivyo ni ushauri wangu pia ulifikilie hilo nalo maana ndio mpango na mapenzi ya Mungu. Hayo mengine yanayokuliza kila siku yatazidi kukuumiza tu na mwisho wa siku yatakusababishia madhara makubwa kwenye maisha yako. Ni ushauri tu, usije nipiga mawe ndg.

cc Ablessed njoo huku dada utusaidie mchango wa mawazo.

Ahsante
 
Nimeitika wito kaka, nilishatoa mawazo yangu kwenye post #213 na naona karibu watu wote wamempa mawazo tofauti tofauti sasa kazi kwake kuchuja yanayomfaa. Hata hivyo naomba Mungu amtie nguvu ktk kipindi hiki kigumu anachokabiliana nacho na apewe kuona atakaemfaa maishani.
 
Duh! mara hii tayari.......

basi kuna wanawake wengine wanaraha sana , yaani tupo nao miaka nenda rudi
 
Ahsanteni wote kwa ushauri na busara zenu,it comforted me,...
 
Maumivu ya kuachwa ni makali kuliko,lakini jipe moyo utampata wa kutibu majera hayo na kukupa furaha ya maisha mpendwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom