BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
Mhhhh!!! Sasa kuna kupenda vizuri MJ1!? au huko ndio kufanya usanii kama unapenda kumbe walaaa!!! Ninachoamini mimi ukiamua kupenda basi unapenda kweli kweli vinginevyo ni usanii tu na kupotezeana muda.
Haya maumivu ya mapenzi saa nyingine unatamani tu MUNGU angekuwa anatunong'oneza kuwa "Hapa ninapokupitisha ni twisheni tu, so usitegemee saaaaana" ...maumivu yasingekuwapo. But mimi nilijifunza kitu kimoja ingawa kwa maumivu makali ...kuwa kila jambo lina sababu. Mshukuru MUNGU utashangaa atakavyokuvusha salama. Mimi nilishaambiwaga kuwa "Unapenda vibaya wewe kiasi kwamba watu wanawezakuku-take for granted na kutake-advantage kwako" ....halafu atafanya just that....nilijilaumu kwa kuwa he was trying to be frank with my feelings kwa kuniambia ukweli kuwa hata yeye anapita tu, nisijiachie kihiiivyo but sikumwelewa............