Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

dunia tambara bovu,,, kubali matokeo .. hata maua huchanua na kunyauka...
there is someone better fou you,, keep on waiting
 
Very sorry my dear,u have 2believe that YOU WILL NEVER GET THE RIGHT PERSON IF YOU WIIL NOT LET GO OF THE WRONG ONE
Wadau wa JF za jioni.

Nafikiri it's safe kusema kwamba kibuti ndo nishapigwa, japo cha kimya kimya, nimejiongeza kusoma alama za nyakati, na ukizingatia mzigo ndo alishachukua mhh sina jipya tena mtoto wa watu.

Nishamuweka moyoni, i loved every moment, inaniuma sana alivojikata polepole mana text, simu hazijibiwi na watsap namuona, kumfatilia mtu na msg siku nzima siwezi mwenzenu.

Napendwa na wengi ,ila ninakopenda sipendwi. Maybe kuna sehemu nilikosea, najiuguza hapa kwenu wana JF nisahau maumivu, mana hata mabest zangu kuwaambia siwezi, watanicheka, ndugu watanishangaa, bora hapa siwajui hamnijui.

Eh Mungu nisaidie nije nipate mwingine,mana hapa siwezi tena mimi ila naumia jamani dahh, mana i took sometime, natamani tungeendelea ila kashakata kamba and he doesnt seem interested tena.

Ukipita niachie japo a comforting word au ukijiskia kutukana si mbaya pia yote maisha.
 
Pole sana mamii,tumia muda mwingi kufanya ibada hasa katika kipindi hiki kigumu! Na usifikirie kuanzisha uhusiano mpya soon,kwani wataalam wanasema kuwa, "FALL IN LOVE WHEN YOU'RE READY,NOT WHEN YOU'RE LONELY"
 
Maskini wee! Mapenzi haya ! Mweeeeeeeh! Mwaya tulia ,fanya mambo yako taratibu make sure hufanyi mambo yanayokukumbusha huyo mtu kwa sasa,try to be busy mapenzi yanauma asikwambie mtu ila ndo hivyo maisha lazima yaendelee!! You will get the right one,okey???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom