Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

Dah pole kiukwel inaumiza sana bt hakuna jinsi tuliza mtima wako mwenye mapenz ya dhat atakuja!
 
Duuuu pole sana! bila shaka haka kafursa ndio kazuri kufanya yangu!!!

I love you too much my beibei!!!! mwaaaaaaaa!!!!! naomba namba yako plz!
 
Pole sana
shameless boy gud for nothing tambua hilo hajaona umuhimu wako. Achana nae
 
Duuuu pole sana! bila shaka haka kafursa ndio kazuri kufanya yangu!!!

I love you too much my beibei!!!! mwaaaaaaaa!!!!! naomba namba yako plz!

mara ya pili hii naumwa nyoka,hata kutoka nje kuyaona majani sina hamu
 
Dah pole kiukwel inaumiza sana bt hakuna jinsi tuliza mtima wako mwenye mapenz ya dhat atakuja!

ntamjuaje jmn,nafatwa na wengi ila simfeel hata mmoja,hata nikijitahidi,nikatulia hapo afu ndo hvo tena hana habari
 
=> Oooh dear, I know how u FEEL, is unexplainable pain,
pole sana, jaribu to TEXT HIM MARA MOJA WALAU KWA SIKU JUST KUM SALIMIA TU, he will come down, usimlaumu au kulalama, don't call him, just texts him once in a DAY, kumtakia salamu na mengine mema..FOR SURE HE WILL BE BACK..na akikujibu usimtexts saaana...just 2 texts hivi are enough....DO THIS.. utashangaa...usimkumbushie mabaya hata tone, just be good...ILA KAMA ULIMSALITI HILO NI BALAAA...pole sana
 
Sijui kama pole yangu inasaidia kukupoza maumivu .Hata hivyo pole.Kuna wakati wa kila jambo chini ya jua.Wakati wa kulia na wakati wa kucheka
 
=> Oooh dear, I know how u FEEL, is unexplainable pain,
pole sana, jaribu to TEXT HIM MARA MOJA WALAU KWA SIKU JUST KUM SALIMIA TU, he will come down, usimlaumu au kulalama, don't call him, just texts him once in a DAY, kumtakia salamu na mengine mema..FOR SURE HE WILL BE BACK..na akikujibu usimtexts saaana...just 2 texts hivi are enough....DO THIS.. utashangaa...usimkumbushie mabaya hata tone, just be good...ILA KAMA ULIMSALITI HILO NI BALAAA...pole sana

sijawahi kumsaliti,i gave up lots of guys for him hadi najuta...
Nimtext tena mara ngapi,wakati hizo sijajibiwa..najiona am the only one interested with kumcheck and all that,shouldn't be mutual?
Kibinadamu naumia sana,bora nikae kimya tu nimuache
 
Oh worry not my sister.

Its just a matter of time and time will heal all your wounds.

Believe you me a time will come when you will look back with smiles and be glad he left because his departure paved way for someone out of your dreams.

Don't cry too hard, don't hate and don't curse.

As they say, it is better to have loved and lost than never to have loved.

You are gonna be ok, heartbreak is just a phase that we all go through at one time.
 
kuachwa inauma sana....lakini utasahau na utajilaumu ulikuwa unaumia nn..
 
yes! lazima iwe hvyo for you are trying to hold on the wrong ways! am here for you beibei; am your right! believe me!

we nae.

That's the last thing she wants.

What she needs is not to be on the rebound, she needs to heal.

Learn from her previous relationship, wipe the dust and say hell yeah, it was good while it lasted.
 
Oh worry not my sister.

Its just a matter of time and time will heal all your wounds.

Believe you me a time will come when you will look back with smiles and be glad he left because his departure paved way for someone out of your dreams.

Don't cry too hard, don't hate and don't curse.

As they say, it is better to have loved and lost than never to have loved.

You are gonna be ok, heartbreak is just a phase that we all go through at one time.

ahsante,i dont curse mana from my heart i still wish we went on....
Ila tu it hurts mana i risked to be with him and ended on the loosing end again...
 
Duuuu pole sana! bila shaka haka kafursa ndio kazuri kufanya yangu!!!

I love you too much my beibei!!!! mwaaaaaaaa!!!!! naomba namba yako plz!

Oh you make me so sick I wanna throw up.

Eti naomba namba. Stupid.

Don't people know when to give others breathing space?
 
ahsante,i dont curse mana from my heart i still wish we went on....
Ila tu it hurts mana i risked to be with him and ended on the loosing end again...

Stop wishing and face reality. It wasn't meant to be.

And you did not loose anything.

Kwa sasa utaona we are just yapping to make you feel better but you are gonna be ok.
 
i pray so,lakini em nishaurini tu,mliowapata mliotulia nao mlifanyaje,sipendi kukosea tena baada ya hapa
 
pole sana mdada..

karibu jamvini, pumzika, karibu na haka ka glass ka juisi. Usijali hapa hapa utapata mwingine ASAP.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom