Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

Sawa nenda, nitaudanganya moyo wangu utatulia

Bidada, you are better than this. Inatosha kusononeka, na next time make yourself rare ili afanye kazi ya kukumaintain.
Hizi 'l am nothing without you' au matendo yanayoashiria hivyo huwacost sana mabinti. Make him feel like he cant live without you.
 
It hurt yes but you should feel proud...to love someone is so human..and if that love cause pain ..well its not your fault...you are a good person...and to fall in love is natural

yah,a part of me feels so,kinachoniumiza why am i failing all the time,and can't keep a man,situation kama hii imehappen last year,na kosa langu silijui,hata nikiuliza wahusika sipati jibu wanajiskia vibaya wenyewe for hurting me....ts a mystery,sielewi kabisa
 
Usijiumize na maswali...hujapata mtu compatible tu na wewe...hakuna kosa kwako wala kwao...atakuja na akija utasahau yote haya
 
Bidada, you are better than this. Inatosha kusononeka, na next time make yourself rare ili afanye kazi ya kukumaintain.
Hizi 'l am nothing without you' au matendo yanayoashiria hivyo huwacost sana mabinti. Make him feel like he cant live without you.

sasa kama ni mtu ambae sina hzo swaga ni mimi,mapenzi ya kumganda sana mwanaume is not my thing,mana mi mwenyewe nakuwaga busy,na nnafanya smtym makusudi mana najua how boring it gets kuwasiliana kila saa
 
Miss u too Best...Hapo kweye rangi imebidi nicheke tu lol!!!! Hahahahahaha sasa unafuata watu kimya kimya bila hata kuwajulisha ili wakuangalie kundini banaaa 🙂🙂🙂 Siku nyingine ukija mitaa ile nistue nitafurahia kukuangalia huku na kule ili nikujulie hali.

So happy to see you back.
Karibu tena best. Missed you a lot hadi nikawa nakufuate kuleee
 
Mie mwanzoni walinipumbaza sana ila saiviii nimeshtukia mchezo...UA right siafu dume
Kweli charty kuna umri ukifika..jinsi ya kutazama mambo inabidi inabadilika..sema jamii na mzingira yanayozunguka watu wakati mwingine inakuwa shida..
 
Mapenzi kizungumkuti...Hongera zako kwa kusonga mbele na maisha yako na pia kuweza kuziba pengo lake.

Sio km namkumbuka ila basi tu sijui nauonaje....nilishamsahau niko nasonga mbele. Tena nafasi yake ilishazibwa
 
Last edited by a moderator:
Miss u too Best...Hapo kweye rangi imebidi nicheke tu lol!!!! Hahahahahaha sasa unafuata watu kimya kimya bila hata kuwajulisha ili wakuangalie kundini banaaa 🙂🙂🙂 Siku nyingine ukija mitaa ile nistue nitafurahia kukuangalia huku na kule ili nikujulie hali.

Poa will do that, na nitakujulisha ID ya kule.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
amen,i hope he comes

Mungu hutupa Njaa ili tuweze ku appreciate chakula tukikipata..unachopitia now kitakusaidia kum appreciate a good guy akija..the one for you...usiseme why me..sema why not me...
 
sasa kama ni mtu ambae sina hzo swaga ni mimi,mapenzi ya kumganda sana mwanaume is not my thing,mana mi mwenyewe nakuwaga busy,na nnafanya smtym makusudi mana najua how boring it gets kuwasiliana kila saa

Then you picked the wrong people, au waweza kuwa na issue za spirits zaidi.

Pia mapenzi huzaliwa na hufa pia, hivyo penda ukijua kuna siku penzi litaisha iwe kwako au kwake. Cherish the good moment and move on.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom