Sawa huenda Hayati Magufuli alikuwa fisadi, Je hizo pesa zilitoka wapi?

Haaah haaah mkuu usiwapeleke speed speed kama hivyo,watakimbia wote hapa,twende nao taratiiiiiibu mpaka wakome kuzusha mambo

Walikuwa wanafikiri tumesahau waliyokuwa wanayasema kipind JPM yupo anapiga kazi?
😂😂 basi we wapeleke taratibu mimi sipendagi kuwalazia damu wahuni sazingine inabidi kwenda nao sawatu maana watuwenyewe walio chaguana kujaribu kuuwa legacy ya magu woote hawana hoja zenye akili ni mahasiratu yasiyo pimika ndio maana unaona wanatukanatu.
 
Akili zako zilikufa na Jiwe ama? Mkaguzi wa serikali amesema hela imeibiwa, mpaka leo hakuna maelezo imeenda wapi! Wewe unaniuliza ilikotoka wakati unajua watanzania kila siku tunalipa kodi kupitia VAT na TRA. Au unataka kusema hizo kodi jiwe alizitoa kwa mama yake nyumbani?

Mkuu kwanza usiwe na HASIRA twende tararibu tu tutafika,

Pili achana na habari za CAG kasema,yeye
Sio MUNGU ni binadamu tu kama wewe

Tatu ni wazi kabisa hufahamu ofisi ya CAG inafanya kazi kwa namna gani

Na mwisho kabisa nakushauri soma kwa umakini hii thread,uelewe msingi wa swali langu then ndio uje tena hapa na majibu yenye mantiki
 
Mnahasira mbaka akili zinakosa sehemu ya kukaa vichwani mwenu alafu mnashindwa kujiuliza, CAG alisema tr 1.5 zilitumika bila kuidhinishwa, sasa ndio muulizeni zilitumika wapi? Ndioutaambiwa ziliwajengea mamazenu hospital kijijini kwenu.

Ukituliza akili kidogo utaona hunahaja ya kupambana na marehemu.

Believe me.
Hakuna mahali alisema zilitumika bila kuidhinishwa, acha uongo kama marehemu wako. Alisema hazionekani. Full stop. Maana yake zimeibwa na hazina maelezo
 
Mkuu kwanza usiwe na HASIRA twende tararibu tu tutafika,

Pili achana na habari za CAG kasema,yeye
Sio MUNGU ni binadamu tu kama wewe

Tatu ni wazi kabisa hufahamu ofisi ya CAG inafanya kazi kwa namna gani

Na mwisho kabisa nakushauri soma kwa umakini hii thread,uelewe msingi wa swali langu then ndio uje tena hapa na majibu yenye mantiki
Kwahiyo nisimuamini Prof Assad ambae ni miongoni mwa auditor 6 wakuu wa UN nije nisikilize porojo za Magu anaeua watu ili kuwanyamazisha wasiongee? Swali anatoa hela wapi nilishakujibu, ndo kiongozi ameiingiza hii nchi kwenye madeni makubwa kwa muda mfupi kuliko Rais yoyote, pili ndo mtu amepora watu kwa dhulma mali zao kuliko mtu yoyote. Kazi yake ilikuwa kunyamazisha watu kwa nguvu na kuaminisha watu uongo

20220318_085844.jpg
 
Nenda kariakoo au uliza wizara ya fedha hutaweza kuwafahamu mimi binafsi nina marafiki zaidi ya wanne
Toa ujinga wako, tulishudia wenyewe katika mkutatano na wafanyabiashara, Magufuri alivyoamuru mfanyabiashara mmoja hapo kkoo aliyekuwa amezurumiwa na tra kwa kukataa kutoa rushwa,kufukuza maafisa wa tra kwa dhuruma,kama Magufuri angeliwa anawanyanganya wafanyabiashara ela zao kama mnavyodai,angeliamuru tra walipe ela ya yule mzee pamoja na fidia?ache kumsingizia magufuri akina Mo wamekuwa wafanyabiashara bora Africa kipindi cha Magufuri,akina Bacressa na Mengi hatukuona wakilalamika kunyanganywa ela zao kwenya account,labda wafanyabiashara wa dili ndio walipata shida kwenye utawala wa Magufuri
 
Kwahiyo nisimuamini Prof Assad ambae ni miongoni mwa auditor 6 wakuu wa UN nije nisikilize porojo za Magu anaeua watu ili kuwanyamazisha wasiongee? Swali anatoa hela wapi nilishakujibu, ndo kiongozi ameiingiza hii nchi kwenye madeni makubwa kwa muda mfupi kuliko Rais yoyote, pili ndo mtu amepora watu kwa dhulma mali zao kuliko mtu yoyote. Kazi yake ilikuwa kunyamazisha watu kwa nguvu na kuaminisha watu uongo

View attachment 2195848

Tatizo lako uelewa mdogo,sasa kwa kuweka hizo picha hapa ndio umethibitisha nini?
 
Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,

yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania

Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe tangu JPM akiwa hai

Katika kipindi cha utawala wake UCHUMI wa nchi ulikufa kabisa kutokana na sera zake mbovu na CHUKI zake kwa MATAJIRI,hali iliyopelekea wawekezaji kuondoka na kufunga viwanda vyao

Wawekezaji wapya waliogopa kuja nchini kutokana na utawala wake wa kidikteta

Aliharibu ama kuuwa kabisa sekta binafsi nchini hivyo kupelekea nchi kuwa na mzunguko mdogo wa kifedha mtaani,yaani hali ilikuwa mbaya

Alikuwa akipika takwimu kuonyesha uchumi unakuwa ili hali uchumi ulikuwa hoi bin taaban

Maduka makubwa kariakoo na karibu nchi nzima yalikuwa yakifungwa, na ndio sababu

Alikuwa akipika takwimu za makusanyo kila mwezi kwa kushirikiana na TRA ili hali makusanyo yalikuwa haba kabisa

Alitengwa na jamii za kimataifa na kunyimwa misaada kutokana na kuminya demokrasia nchini

Alikuwa akilipa madeni kimya kimya kutokana na amri za mahakama za kimataifa baada ya kukurupuka kuvunja mikataba ya kampuni mbali mbali

Aliua kabisa bandari ya Dar kiasi kulikuwa hakuna kabisa meli zilizokuwa zinakuja hapo bandarini(wafanyabiashara walikimbilia bandari za Mombasa,Msumbiji na DURBAN)

Alikuwa anakopa sana mikopo isiyo rafiki kwa nchi ili

Kununua ndege kwa cash

Kununua wapinzani

Kuhamishia serikali Dodoma

Kujenga bwawa la Nyerere

Kujenga SGR

Kujenga daraja la Busisi(kuwafurahisha wakwe)

Kujenga airport ya chato (international?)

Na mambo mengine kibao kama kujenga barabara,hospitali,madaraja,kukarabati viwanja vya ndege nk nk( tunataka maendeleo ya watu na sio vitu ....mnakumbuka?)

Sasa swali langu kwenu WAUNGWANA, kutokana na hayo yote hapo juu mliyokuwa mkituambia (msidhani tumesahau)

Je hayo matrillions aliyofisadi JPM yalikuwa yanatokea wapi..???
Alipora kwa wafanyabiashara..

Pili kutimiza wajibu wake hakujuatify wizi.

By the way alipokea Nchi ikiwa vizuri kiuchumi na watu Wana pesa ndio maana alipata hizo pesa ..

Ila sasa alipoharibu ndio kaanza kubambikia watu kesi,Kodi,kupora na upuuzi kama huo..

Hadi Samia anachukua Nchi ilikuwa imefikisika lakini kwa ubunifu na ujasiri imerudi kiasi kwenye mstari..

Mwisho Kati ya vyote ukivyotaja hapo juu ni ndege tuu ndio mradi uliokamikika ila miradi iliyobakia hakuna hata mmja aliuacha ukiwa umefikia hata 30%..
 
Mnahasira mbaka akili zinakosa sehemu ya kukaa vichwani mwenu alafu mnashindwa kujiuliza, CAG alisema tr 1.5 zilitumika bila kuidhinishwa, sasa ndio muulizeni zilitumika wapi? Ndioutaambiwa ziliwajengea mamazenu hospital kijijini kwenu.

Ukituliza akili kidogo utaona hunahaja ya kupambana na marehemu.

Believe me.

Hao wengi ni watu wa kubeba mambo kama yalivyo kutoka kwa wanasiasa,hawataki kuumiza vichwa vyao
 
Alipora kwa wafanyabiashara..

Pili kutimiza wajibu wake hakujuatify wizi.

By the way alipokea Nchi ikiwa vizuri kiuchumi na watu Wana pesa ndio maana alipata hizo pesa ..

Ila sasa alipoharibu ndio kaanza kubambikia watu kesi,Kodi,kupora na upuuzi kama huo..

Hadi Samia anachukua Nchi ilikuwa imefikisika lakini kwa ubunifu na ujasiri imerudi kiasi kwenye mstari..

Mwisho Kati ya vyote ukivyotaja hapo juu ni ndege tuu ndio mradi uliokamikika ila miradi iliyobakia hakuna hata mmja aliuacha ukiwa umefikia hata 30%..

Duuuh!! Mkuu nikikwambia usome na uelewa ulichoandika utaweza?

Anyway,unasema Mara alipora kwa wafanyabiashara,unaweza ukawataja hapa hao wafanyabiashara walioporwa pesa zao na kiasi walichoporwa?

Mara alipokea nchi ikiwa vizuri kutoka kwa Kikwete? Sasa zile kashfa za ufisadi zote za kipindi kile hadi kupelekea baadhi ya watu kujiuzuru wewe unazingumziaje?

Vp kuhusu wanyama kupandishwa kwenye ndege?

Vp kuhusu kuongezeka kwa ujangili?

Hapa yapo mengi sana,sioni sababu ya kuendelea nayo

Unasema samia alichukua nchi imefilisika ila sasa hivi kairudisha kwenye mstari,kwa hiyo kwa kadri ya uelewa wako sasa hivi nchi ipo kwenye mstari?

Labda ingekuwa vizuri zaidi ungesema ni mstari gani unaozungumzia hapa?isije kuwa tunaongea lugha gongana hapa!!
 
Huyo Kibwengo alikuwa GWIJI la MIKOPO mikubwa ya KIBIASHARA.

Maana kwa Wazungu alikuwa hapati pesa.

Sasa hivi Rais Samia anafanya kazi ya kuchukua mikopo nafuu kutoka kwa Wazungu ili alipe Mikopo ya KIJUHA aliyokopa Magu.
UMEMALIZA.MKUU PONGEZI......RAIS SAMIA ANAKAZI KUBWA SANA
 
Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,

yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania

Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe tangu JPM akiwa hai

Katika kipindi cha utawala wake UCHUMI wa nchi ulikufa kabisa kutokana na sera zake mbovu na CHUKI zake kwa MATAJIRI,hali iliyopelekea wawekezaji kuondoka na kufunga viwanda vyao

Wawekezaji wapya waliogopa kuja nchini kutokana na utawala wake wa kidikteta

Aliharibu ama kuuwa kabisa sekta binafsi nchini hivyo kupelekea nchi kuwa na mzunguko mdogo wa kifedha mtaani,yaani hali ilikuwa mbaya

Alikuwa akipika takwimu kuonyesha uchumi unakuwa ili hali uchumi ulikuwa hoi bin taaban

Maduka makubwa kariakoo na karibu nchi nzima yalikuwa yakifungwa, na ndio sababu

Alikuwa akipika takwimu za makusanyo kila mwezi kwa kushirikiana na TRA ili hali makusanyo yalikuwa haba kabisa

Alitengwa na jamii za kimataifa na kunyimwa misaada kutokana na kuminya demokrasia nchini

Alikuwa akilipa madeni kimya kimya kutokana na amri za mahakama za kimataifa baada ya kukurupuka kuvunja mikataba ya kampuni mbali mbali

Aliua kabisa bandari ya Dar kiasi kulikuwa hakuna kabisa meli zilizokuwa zinakuja hapo bandarini(wafanyabiashara walikimbilia bandari za Mombasa,Msumbiji na DURBAN)

Alikuwa anakopa sana mikopo isiyo rafiki kwa nchi ili

Kununua ndege kwa cash

Kununua wapinzani

Kuhamishia serikali Dodoma

Kujenga bwawa la Nyerere

Kujenga SGR

Kujenga daraja la Busisi(kuwafurahisha wakwe)

Kujenga airport ya chato (international?)

Na mambo mengine kibao kama kujenga barabara,hospitali,madaraja,kukarabati viwanja vya ndege nk nk( tunataka maendeleo ya watu na sio vitu ....mnakumbuka?)

Sasa swali langu kwenu WAUNGWANA, kutokana na hayo yote hapo juu mliyokuwa mkituambia (msidhani tumesahau)

Je hayo matrillions aliyofisadi JPM yalikuwa yanatokea wapi..???
Hujitambui,
.alizonyang'anya watu ktk account zao
,Alizopata kupitia sabaya na makonda.
,Maduka ya forex
 
Swali la kitoto sana hili,
Hata mtoto wangu wa darasa la saba angeweza kujibu,
Mapato yapo sana tu nchi hii,tatizo yanaliwa,sasa fikiria kama pale hazina watu wakipiga milioni 500 kwa siku mbili kama posho,utashangaa vipi na kuuliza Eti pesa inatoka wapi!!nchi hii inapesa nyingi kutoka kwenye vyanzo vyake cilicyokuwepo miaka 10 iliyopita,tatizo pesa nyingi zinaliwa na majizi kama Mkapa,Kikwete,JPM,unapouliza pesa ilitoka wapi,ilitoka hazina,kwanini halificha manunuzi ya Ndege?bei ya Ndege iliwekwa Cha juu,tender za ujenzi wa airport ya chato aliipa kampuni ya shemeji yake,sasa utakuwa kichaa ukisema huu sio upigaji
 
Kama bado havijawekwa hadharani mpaka sasa,kumbe hizo story za UFISADI wa JPM nyinyi mnazitoa wapi?

Indirectly unakiri kwamba kwa sasa mnapiga majungu tu na si zaidi ya hapo,

sasa subiri mpaka huo muda utapofika ili ukiombwa USHAHIDI wa TUHUMA zako juu yake utoe bila sarakasi kama hizi

Ushauri wangu kwako kwa sasa piga kimya tu maana unajitesa mwenyewe
Kiongozi Sasa usiniangushe. Mimi nakuona kama mtu mtulivu lakini nimegundua hauko makini. Hapa umefikia conclusion prematurely na kuyadhani ni majungu. Nilichokwambia ni kuwa VYOTE vitawekwa hadharani. Ingekuwa rahisi kwako kugundua kuwa hivi ulivyovisikia ni sehemu tu ya ufisadi husika labda uwe ujui maana ya vyote.

Mahaba yanakusumbua sana. Nikudokeze tu hatuteseki maana Sasa nchi iko huru tena na amani tele. Tunashughulika na wenye kuteseka na mahaba
 
So alikuwa anapika data na kuongea uongo lakini Tanzania ikawa moja ya nchi ambazo uchumi ulikuwa unakuwa kwa kasi ndani ya Africa,

na bado akafanikiwa kuanzisha miradi yote hiyo aliyoiacha,kwa kutumia uongo wake na kupika data?

Na bado akaweza kufisadi matrillion ya shilingi?

Duuh!! basi jamaa alikuwa so GENIUS
Unajua maana ya kupika data? Pia jua kuanzisha miradi si kumaliza miradi. Kumbuka nja kuu ya kufisadi ni kuanzisha complex miradi. Mfano SGR badala ya kuanza upande mmoja, alianzisha pande zote. Yule alikuwa mpigaji professional.
 
Mkuu acha blah blah,tuonyeshe ni jinsi ganI alipiga hizo trillions kutoka kwenye hiyo miradi
 
Back
Top Bottom