Sawa huenda Hayati Magufuli alikuwa fisadi, Je hizo pesa zilitoka wapi?

Wewe badala ya kulia lia hapa ,kwanini usiweke hapa vithibitisho vinavyoonyesha huo wizi wake?

Mbona huyo Assad alisimamishwa na Magu mbele ya camera akaambiwa aseme hizo 1.5 trillion zilizopotea ni zipi,akajibu Hakuna hela iliyopotea?

Sasa wewe unavyosema zile 1.5 trillion,nikikuuliza zilikuwa wapi utaweza kunijibu?
Ben8 alisema PhD feki,yuko wapi??tundu lisu alihoji,alipigwa.angemuacha Asad??alikubali ili apone.AKILI HUNA mkuu
 
Ben8 alisema PhD feki,yuko wapi??tundu lisu alihoji,alipigwa.angemuacha Asad??alikubali ili apone.AKILI HUNA mkuu



Sasa wewe mwenye akili mbona unashindwa kuthibitisha UFISADI wa JPM?

Kuna sehemu yoyote Assad alihojiwa akasema haya uliyoandika hapa ...au HISIA zako tu?
 
Ndugu yangu, hawawezi kukujibu kwani wote wanaomkashfu JPM wote wana ulemavu wa Akili.
Yaani ile sehemu ya ubongo, badala ya kuwepo ubongo kuna mchanga.
 
Naungana nawewe,huenda ndio sababu inayomfanya Magufuli awe raisi wa kwanza ambae kwa kipindi kifupi mnoo amefanya mambo makubwa ambayo yaliwashinda viongozi wa tatu waliotawala nchi kwa miaka 30 mfululizo.
Sema aliyefanya mambo ya Kingese kuliko yoyote.
 
Mimba waliyodungwa na Magufuli inawatesa sana hao jamaa wa ufipa lakini ndimu na malimao zitawasaidia
Akazikwe pale kumbe kwake. Ni magufuli aliyepora korosho za wakulima huko kusini akitumia wajeda. Matokeo yake mbong'o alirudi na masandarusi ya NOTI Yakima ya kwake
 
Back
Top Bottom