Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,325
- 6,367
😂😂 basi we wapeleke taratibu mimi sipendagi kuwalazia damu wahuni sazingine inabidi kwenda nao sawatu maana watuwenyewe walio chaguana kujaribu kuuwa legacy ya magu woote hawana hoja zenye akili ni mahasiratu yasiyo pimika ndio maana unaona wanatukanatu.Haaah haaah mkuu usiwapeleke speed speed kama hivyo,watakimbia wote hapa,twende nao taratiiiiiibu mpaka wakome kuzusha mambo
Walikuwa wanafikiri tumesahau waliyokuwa wanayasema kipind JPM yupo anapiga kazi?