Sawa huenda Hayati Magufuli alikuwa fisadi, Je hizo pesa zilitoka wapi?

Weka mchanganuo hapa wa kiasi alichokopa na alichopora toka kwa kila mtu,then tuambie ni kiasi gani vile vile kilitumika kwenye miradi yote,ukishafanya hivyo itakuwa rahisi sana kwa kila mtu kujua kama jamaa kweli alikuwa FISADI
Sina haja. Wafia legacy labda kwanza mtuambie ile Trillion 1.5 aliyoiba na CAG Assad akaiona alienda kuificha wapi? Au Rwanda?
 
Kwanini msifanye mpango CAG ama serikali ya mama wakaweka wazi kila mkopo aliochukua JPM,then waweke wazi vile vile kiasi ambacho kilitumika kwa kila mradi kwenye miradi yote chini ya uongozi wake?

Ili tuongee tukiwa na data kamili badala ya HISIA kama unavyofanya sasa!!
Vyote vya shujaa mwishowe vitawekwa hadharani ni swala la muda tu
 
Sina haja. Wafia legacy labda kwanza mtuambie ile Trillion 1.5 aliyoiba na CAG Assad akaiona alienda kuificha wapi? Au Rwanda?

Huna haja?..basi sawa yamekwisha!

Unaweza kutuambia hiyo 1.5 trillion aliyoiba na CAG Assad ilitokea wapi kwa kuzingatia maelezo ya mada hii?

Nb:kwanini asiulizwe Assad maana yeye bado yupo hai?
 
Huna haja?..basi sawa yamekwisha!

Unaweza kutuambia hiyo 1.5 trillion aliyoiba na CAG Assad ilitokea wapi kwa kuzingatia maelezo ya mada hii?

Nb:kwanini asiulizwe Assad maana yeye bado yupo hai?
Assad kazi yake kukagua mahesabu au kutunza hela za wizi? Yule jamaa alikuwa pepo mchafu kabisa
 
Kwanini msifanye mpango CAG ama serikali ya mama wakaweka wazi kila mkopo aliochukua JPM,then waweke wazi vile vile kiasi ambacho kilitumika kwa kila mradi kwenye miradi yote chini ya uongozi wake?

Ili tuongee tukiwa na data kamili badala ya HISIA kama unavyofanya sasa!!
 
Huyo Kibwengo alikuwa GWIJI la MIKOPO mikubwa ya KIBIASHARA.

Maana kwa Wazungu alikuwa hapati pesa.

Sasa hivi Rais Samia anafanya kazi ya kuchukua mikopo nafuu kutoka kwa Wazungu ili alipe Mikopo ya KIJUHA aliyokopa Magu.
Ondoa upopoma wako hapa.
 
Vyote vya shujaa mwishowe vitawekwa hadharani ni swala la muda tu

Kama bado havijawekwa hadharani mpaka sasa,kumbe hizo story za UFISADI wa JPM nyinyi mnazitoa wapi?

Indirectly unakiri kwamba kwa sasa mnapiga majungu tu na si zaidi ya hapo,

sasa subiri mpaka huo muda utapofika ili ukiombwa USHAHIDI wa TUHUMA zako juu yake utoe bila sarakasi kama hizi

Ushauri wangu kwako kwa sasa piga kimya tu maana unajitesa mwenyewe
 
Kwahiyo hapo ndio umeonyesha hizo 1.5 trillion alizoiba na Assad zilitokea wapi?
Akili zako zilikufa na Jiwe ama? Mkaguzi wa serikali amesema hela imeibiwa, mpaka leo hakuna maelezo imeenda wapi! Wewe unaniuliza ilikotoka wakati unajua watanzania kila siku tunalipa kodi kupitia VAT na TRA. Au unataka kusema hizo kodi jiwe alizitoa kwa mama yake nyumbani?
 
Nataka kwanza waniambie hizo trillions alizofisadi zilitokea wapi ili tuje kwenye swali lako,bado nasubiri majibu yao hapa
Hawanauwezo wakijibu sawali kamahilo.
Haya majitu sijui akili yamezikalia""

Magu alifanya miradi yakutisha na mambomengi ya maendeleo wakayaona kwamacho wakakosa hoja wakaja na ujinga kwamba eti hawataki maendeleo ya vitu kama bwawa la nyerere, ubungo flyover, tazara barabara kama ya kimara mail moja.
Daraja la busisi,mastendi ya bus, ndege naviwanja vyake namengine mengi hayaelezeki wakasema hawataki hayoyote wanataka maendeleo ya watu sio vitu.

Vitu walivyo viona na wakasema hawavitaki hawasemi viligharimu sh, ngapi' saizi wanasema hakufanya chochote alikuwa muizitu, hawa watu ni matope kabisa.
 
Nimesoma hiyo habari ya huyo jamaa,anasema JPM ndani ya miaka 5 alikopa kitu kama 29 trillions,sawa tuseme yupo SAHIHI na hizo data zake

Sasa ninachoomba kutoka kwako ni mchanganuo wa MIRADI yote iliyofanyika (iliyokamilika na ambayo haikukamilika ) ndani ya hiyo miaka 5

Katika huo mchanganuo nionyeshe gharama zilizotumika kwa kila mradi ili tupate jumla ya pesa/fedha zilizotumika kwa miradi yote ndani ya miaka 5

Baada ya kufanya hivyo,wote tutajua sasa kumbe kiasi kilichotumika kwenye miradi yote ni x,tutachukua hizo 29 trillions tutoe kiasi x then kilichobaki ndio jamaa alikfisadi

Nafikiri mpaka hapo hakuna mtu atakayebisha kwamba JPM alikuwa FISADI

Nasubiri mchanganuo wako ndugu au kama vp muombe huyo Balille akusaidie!!
 
Akili zako zilikufa na Jiwe ama? Mkaguzi wa serikali amesema hela imeibiwa, mpaka leo hakuna maelezo imeenda wapi! Wewe unaniuliza ilikotoka wakati unajua watanzania kila siku tunalipa kodi kupitia VAT na TRA. Au unataka kusema hizo kodi jiwe alizitoa kwa mama yake nyumbani?
Mnahasira mbaka akili zinakosa sehemu ya kukaa vichwani mwenu alafu mnashindwa kujiuliza, CAG alisema tr 1.5 zilitumika bila kuidhinishwa, sasa ndio muulizeni zilitumika wapi? Ndioutaambiwa ziliwajengea mamazenu hospital kijijini kwenu.

Ukituliza akili kidogo utaona hunahaja ya kupambana na marehemu.

Believe me.
 
Hawanauwezo wakijibu sawali kamahilo.
Haya majitu sijui akili yamezikalia""

Magu alifanya miradi yakutisha na mambomengi ya maendeleo wakayaona kwamacho wakakosa hoja wakaja na ujinga kwamba eti hawataki maendeleo ya vitu kama bwawa la nyerere, ubungo flyover, tazara barabara kama ya kimara mail moja.
Daraja la busisi,mastendi ya bus, ndege naviwanja vyake namengine mengi hayaelezeki wakasema hawataki hayoyote wanataka maendeleo ya watu sio vitu.

Vitu walivyo viona na wakasema hawavitaki hawasemi viligharimu sh, ngapi' saizi wanasema hakufanya chochote alikuwa muizitu, hawa watu ni matope kabisa.

Haaah haaah mkuu usiwapeleke speed speed kama hivyo,watakimbia wote hapa,twende nao taratiiiiiibu mpaka wakome kuzusha mambo

Walikuwa wanafikiri tumesahau waliyokuwa wanayasema kipind JPM yupo anapiga kazi?
 
Back
Top Bottom