kwakina itafakari
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 599
- 1,183
Kwa mujibu wa HADITHI zenu za karibuni ni kwamba JPM alikuwa bonge la kiongozi FISADIA katika hii nchi haijawahi kutokea ,
yaani kwa hesabu za haraka haraka ndani ya utawala wake wa miaka 6,ameiba zaidi ya 7trillion za kitanzania
Sawa,yafuayato yote ni kwa mujibu wenu nyinyi wenyewe tangu JPM akiwa hai
Katika kipindi cha utawala wake UCHUMI wa nchi ulikufa kabisa kutokana na sera zake mbovu na CHUKI zake kwa MATAJIRI,hali iliyopelekea wawekezaji kuondoka na kufunga viwanda vyao
Wawekezaji wapya waliogopa kuja nchini kutokana na utawala wake wa kidikteta
Aliharibu ama kuuwa kabisa sekta binafsi nchini hivyo kupelekea nchi kuwa na mzunguko mdogo wa kifedha mtaani,yaani hali ilikuwa mbaya
Alikuwa akipika takwimu kuonyesha uchumi unakuwa ili hali uchumi ulikuwa hoi bin taaban
Maduka makubwa kariakoo na karibu nchi nzima yalikuwa yakifungwa, na ndio sababu
Alikuwa akipika takwimu za makusanyo kila mwezi kwa kushirikiana na TRA ili hali makusanyo yalikuwa haba kabisa
Alitengwa na jamii za kimataifa na kunyimwa misaada kutokana na kuminya demokrasia nchini
Alikuwa akilipa madeni kimya kimya kutokana na amri za mahakama za kimataifa baada ya kukurupuka kuvunja mikataba ya kampuni mbali mbali
Aliua kabisa bandari ya Dar kiasi kulikuwa hakuna kabisa meli zilizokuwa zinakuja hapo bandarini(wafanyabiashara walikimbilia bandari za Mombasa,Msumbiji na DURBAN)
Alikuwa anakopa sana mikopo isiyo rafiki kwa nchi ili
Kununua ndege kwa cash
Kununua wapinzani
Kuhamishia serikali Dodoma
Kujenga bwawa la Nyerere
Kujenga SGR
Kujenga daraja la Busisi(kuwafurahisha wakwe)
Kujenga airport ya chato (international?)
Na mambo mengine kibao kama kujenga barabara,hospitali,madaraja,kukarabati viwanja vya ndege nk nk( tunataka maendeleo ya watu na sio vitu ....mnakumbuka?)
Sasa swali langu kwenu WAUNGWANA, kutokana na hayo yote hapo juu mliyokuwa mkituambia (msidhani tumesahau)
Je hayo matrillions aliyofisadi JPM yalikuwa yanatokea wapi..???