Moja hiyo..
Bibi amuuza mjukuu wake albino kwa wauaji huko Busega. Mama mzazi wa mtoto huyo amuokoa na kumnusuru na ukatili ambao ungeliweza kutokea.
Mauaji ya watu wenye ualbino yameota mizizi katika jamii ya Kitanzania na wanaharakati wa haki za binaadamu wameeleza kuwa wimbi hilo limechukua uhai wa Albino sabini na tano nchini Tanzania tangu mwaka wa elfu mbili na viungo vyao kutumika katika masuala ya kishirikina.
Kadhalika, takwimu za kutoka mwaka 2006 zinaonyesha kuwa Albino 74 wameshauawa kikatili, huku 56 wakinusurika kifo, na kati yao 11 wameongezewa ulemavu mwingine wa kudumu.
Mbili hiyo....
SUNDAY, DECEMBER 7, 2014 Mwannchi.co.tz
Ripoti: Tanzania kinara wa utumwa A.Mashariki
Tatu hiyo...
hapa nchini mfanyakazi wa ndani achomwa chomwa na pasi....
FYATU
Invisble275 Ukatili, unyanyasishaji, uovu na ubaya upo kila kona na upo hata humu nchini....