Saudia cautions against maids from Tanzania

Saudia cautions against maids from Tanzania

Wewe ni lazima utakuwa mwarabu tu. Yaani unataka kufananisha manyanyaso ya mbongo na ya mwarabu?! Waarabu watakucharaza viboko, watakubaka, na wakikuchoka watakuua sio kukurudisha kwenu.

Tatizo lako nafikiri umeweka jazba mbele klk uhalisia, ukifanya utafiti wa jinsi wasichana wa kazi au watoto kwa ujumla kuanzia watoto wanaoishia na wazazi wa kufikia mpaka wenye ulemavu wanavyonyanyasika hapa TanZania huwezi kuamini, sema tofauti tu kwamba jambo lolote lile likifanyika Uarabuni au sijui Ulaya hata liwe dogo kiasi gani utalisikia lkn hapa nyumbani kama mtoto kabakwa mtoni huko Tunduru au sijui Rorya ni nani anajua? Hiyo ndiyo tofauti!
 
Ubaya ni ubaya tu, haijalishi kama umetendwa na mwarabu, mzungu, mhindi au Mtz. Kila anayafanya ni mnyama tu hata kama ni wa kabila langu. Ninachomaanisha mimi si kwamba hakuna waafrika wakatili, bali waarabu ukatili wao ni wa daraja A.
 
Mkuu, Ni kweli kabisaa hawafai, maana kwa waarabu ni bora ukutane na simba kumi walio na njaa polini kuliko kitoto cha mwarabu hapahapa Dar au popote pale duniani.
Nawaza kwa sauti ila ndiyo hivyo jamani.
 
Sijawahi kukaa na kufikiri kuwa kuna Siku mtu atawatetea Waarabu kwa ukatili na ukatili wote huo ambao upo wazi bado mnatetea ili iweje sasa..,
 
Alafu hawa jamaa miaka inaenda lakini ni wagumu sana kubadilika kwa kisingizio cha utamaduni...mtu anayeamini kuwa anachoamini yeye tu ndio cha muhimu kuliko wengine ni vigumu sana kukubali usawa.

Nchi nyingi za Ulaya dini ya kiislam imepewa uhuru mkubwa na Waumini wanaabudu kwa uhuru lakini ukiwa Uarabuni ni kinyume chake kabisa.
Mkuu mbona kama upo nje ya mada.
 
We mtu mweusi kama huna tatizo lolote kwanini ubagulie? mbona sie hatuwabague watu weupe? ni kwa sababu sie ni wema sana au hatuna sababu ya kuwabagua?
 
Haya malalamiko ya mtu mweusi kubaguliwa ni kwa sababu mtu mweusi mwenyewe anaona weusi wake ni kasoro.
 
RIYADH — The Ministry of Interior has warned Saudi citizens against traveling to the east African countries of Tanzania and Burundi to recruit domestic workers before official channels are open for the purpose after the completion of all legal procedures.

In a statement to the Saudi Press Agency, Muhammad Al-Marool, director general of the Department of Public Relations and Media at the Ministry of Interior, said the ministry received a notification from the Ministry of Foreign Affairs stating that the relevant authorities in Tanzania and Burundi are investigating some Saudi travelers accused of involvement in human trafficking.

The charges leveled against the Saudis include operating in these countries without official government permits and recruiting and exporting domestic workers illegally.

If convicted, these citizens face imprisonment for human trafficking and violating the conditions of visit visas.

The ministry urged all citizens to take into account the laws and regulations prevalent in countries they visit and do not violate them under any circumstances.
Wakifika huko wanafanywa watumwa too bad!! Na hii imekuwepo tangu miongo kadhaa ndo wanagundua Leo!! Lakin syo mbaya Sana!!...sasa waje wenye mabwana zao usikie wanavobwatuka kuwatetea .....polee Africa na poleeni Waafrika
 
We mtu mweusi kama huna tatizo lolote kwanini ubagulie? mbona sie hatuwabague watu weupe? ni kwa sababu sie ni wema sana au hatuna sababu ya kuwabagua?
Inferiority complex. ...the weaker are oppressing the stronger. ...mtu mweusi anatakiwa kuifahamu hiyo ndiyo ataweza kutoka. ...
 
Haya malalamiko ya mtu mweusi kubaguliwa ni kwa sababu mtu mweusi mwenyewe anaona weusi wake ni kasoro.
Mind control techniques. ..wanazotumia watu weupe. ...
 
Back
Top Bottom