Saudia cautions against maids from Tanzania

Saudia cautions against maids from Tanzania

Mkuu usipotoshe. Professional jobs, nitakubaliana na wewe, lakini kazi za ndani siyo kweli. Nimekaa Sharjah na Doha hakuna mfanyakazi za ndani mweusi utakayekutana naye asirgret. Jamii ya Waarabu na Wahindi huwa wanatuona siye kama siyo watu. Kama wewe ni Muarabu useme tu kuwa unawatetea ndugu zako, lakini ukweli wenyewe ndio huo.

Nakubaliana na wewe lkn swali ni kwamba ni wapi ambapo mtu mweusi anaonekana kama mtu? Hiyo ndiyo hoja yangu!
 
Mkuu usipotoshe. Professional jobs, nitakubaliana na wewe, lakini kazi za ndani siyo kweli. Nimekaa Sharjah na Doha hakuna mfanyakazi za ndani mweusi utakayekutana naye asirgret. Jamii ya Waarabu na Wahindi huwa wanatuona siye kama siyo watu. Kama wewe ni Muarabu useme tu kuwa unawatetea ndugu zako, lakini ukweli wenyewe ndio huo.
hata hapa tz kuna waswahili huwanyanyasa wafanyakazi wao wa ndani
 
Wewe una tatizo, vipi unakuwa mbaguzi kuituhumu jamii nzima, kila kabila, dini na taifa kuna watu wazuri, wabaya, makatili nk. Huwezi kusema waarabu wote makatili na wengi mnaotoa kauli kama hizi inaonyesha hamujawahi kufika huko Uarabuni.
kama wewe unabisha kauli za watu juu ya ukatili basi kufika kwako huko hukuwa kama mfanyakazi wa ndani. Jaribu kwenda kuwa boi wa muarabu halafu uje kubisha tena. Itakuwa ulienda kwa 'Ami' yako kutembea. Tunaongea kwa kuona mifano dhahiri jinsi wanavonyanyasa watu huko.
 
EEeeeh kweli eeh, Lakini baada ya kukuopowa juu ya mti huko msituni??
je, wewe una Scanner ya kusoma ROHO za watu? ha ha ha...

malisak "Hakuna mtu/jinsia au kabila lililokamilika .. mapungufu/mazuri/maovu nk yapo katika kila jamii....

Faridi usiumize kichwa.... Chuki,bughudha, ubaguzi na povu zimeshapigiliwa misumari ndii !!!
 
hata hapa tz kuna waswahili huwanyanyasa wafanyakazi wao wa ndani
Mkuu nakubali wapo ila siyo kwa kiwango kama wanavyoteswa huko Uarabuni. Nakumbuka kuna rafiki yangu mmoja (Mwarabu wa Bongo) aliwahi kuniambia kuwa sisi jamii ya kiafrica ndo tunawadekeza wafanyakazi wa ndani, akaenda mbali kwa kusema kitendo cha kula nao meza moja au hata kama siyo meza moja ila kuwaruhusu wafanyakazi wa ndani kupakuwa chakula ambacho boss wake anakula. Akasema wao waarabu Mfanyakazi wa ndani anakula kile kinachobaki baada ya familia kula, yaani makombo. Hapo ndipo nilianza kuona kuwa jamii ya kiarabu hamna utu. Hamthamini ubinadamu wa mtu mwingine.
 
Kufanya kazi kwa mwarabu ni sawa na kuuza utu wako. Jamaa wanakuona kama ndezi vile
Kuna DadA mmoja aliendaga huko kufanya kazi alikuwa anasema Kuna mwenzake mmoja alikuwa anagongwa daily Na majamaa tena walikuwa wanamuambia asiwe anavaa chupi yaani wakikuelezea inasikitisha sana
 
Kuna DadA mmoja aliendaga huko kufanya kazi alikuwa anasema Kuna mwenzake mmoja alikuwa anagongwa daily Na majamaa tena walikuwa wanamuambia asiwe anavaa chupi yaani wakikuelezea inasikitisha sana

Huyo alikuwa anapenda tu mwenyewe kwani hakujuwa namba za polisi au ubalozi wake?

Hilo mbona hata hapa JF nimelisoma MMU kuwa linafanyika hapa nchini na watu wanaingia JF kujisifu na mpaka limebuniwa jina "beki tatu". Au huyajui hayo?
 
Kuna mbunge mmoja wa Ccm alikuwa na hii biashara. Wabunge wa upinzani waliipinga bungeni lakini wale wale wa makofi pwa pwa pwaaaa walimpongeza ati anawatafutia kazi.
 
Duuuh, hii kali.

Bora hata wangekuwa wanawalipa basi. Nina ushahidi kabisa wa binti wa kikenya aliekwenda na kunyang'nywa passport yake, mshahara hakupewa mwaka mzima kwa kisingizio cha kulipia ticket iliyompeleka na mbaya Zaidi baba mwenye nyumba alikuwa akimuingilia kinyume na maumbile ilhali mama anajua. Salama yake ilikuwa ni kutoroka siku moja waliposahau kumfungia. Alirudi Mombasa na nguo yake ya mwilini tu. Jamaa wana roho mbaya isiyomithilika.
 
Huyo alikuwa anapenda tu mwenyewe kwani hakujuwa namba za polisi au ubalozi wake?

Hilo mbona hata hapa JF nimelisoma MMU kuwa linafanyika hapa nchini na watu wanaingia JF kujisifu na mpaka limebuniwa jina "beki tatu". Au huyajui hayo?
Hivi unadhani Polisi wa huko watakujali? Utaenda pale watakuangalia tu. Waarabu waone tu wanajifanya wacha Mungu lakini wengi wao hawana Mungu ni wanyama tu. Hasa kama wewe siyo mwarabu mwenzao. Balozi zetu nazo ndo hivyo, Ukienda Ubalozini wakati mwingine watanzania wenzio wakijua una matatizo kila siku utakuwa unapigwa tarehe tu. Mimi nawashauri dada zetu, kama ni kazi za ndani bora hapa kwetu. Hata kama Boss atakunyanyasa Nauli siyo kubwa utaondoka kurudi kwenu.
 
Huyo alikuwa anapenda tu mwenyewe kwani hakujuwa namba za polisi au ubalozi wake?

Hilo mbona hata hapa JF nimelisoma MMU kuwa linafanyika hapa nchini na watu wanaingia JF kujisifu na mpaka limebuniwa jina
"beki tatu". Au huyajui hayo?
Wewe Vikki dunia inavyokwenda!utakeusitake ushenzi wanafanyiwa.....Na sui hui dada tu Kuna Moana katoto ka kiarabu wa mound alikuwa anaingiliwa kinyume Na maumbile Na mjomba wake.....hku akimtisha kuwa atAmuuwa akijakutoa siri ya anachofanyiwa,we faiza mboga nane bado hujui mambo mengi
 
Kwanza jifunze kuandika vizuri, nikikuelewa ntakujibu.
 
Aisee, hao jamaa wewe waone tu wakiwa wantembea barabarani usiombe kuwa mfanyakazi wao, ni sawa na akina Kanjibha na Shabani wa ze comedy hapo katika michezo ya runinga ya Tz, hawatofautiani hata nukta moja ila waarabu wamezidi
Mimi nimekuwa nikufuatlia sana hizo taarifa zao huko ughaibhuni ni majanga matupu.
Kwanza, wanachukua visa/passport za hao waafrika hii haijarishi anatoka nchi ipi.
Pili, anatumikishwa sana.
Tatu, hakuna mshahara.
Nne, anafanywa kama mke wa waarabu wanohitaji mapenzi mbaya zaidi ni 0713
Kwa hiyo, kule kama unahitaji kazi wewe tuma maombi kwa kampuni ila siyo kuchukulia kama mfanyakazi wa ndani. Na taarifa zaidi, pana middle men waoanzisha kampuni hewa ili kuwa kutoa ajila ila hakuna kazi ni utumwa tu.

Na katika hili wewe tafuta taarifa za wafanyakazi wanaoenda huko uarabuni utaona, wengi ndicho kinachowatokea link hii In Search of Jobs, Cameroonian Women May End Up as Slaves in Middle East | Inter Press Service
Ila siyo kuwa wote wanateswa ila asilimia nyingi wanajuta kwenda huko uarabuni na sio nchi moja zote wanatabia sawa.
Kwa hiyo jamani, tuwe makini na hao jamaa siyo Watu "ni watu hewa" yaani muonekano na matendo yao ni vitu viwili tofauti kabisaaaa asikuambie mtu.
 
Bora hata wangekuwa wanawalipa basi. Nina ushahidi kabisa wa binti wa kikenya aliekwenda na kunyang'nywa passport yake, mshahara hakupewa mwaka mzima kwa kisingizio cha kulipia ticket iliyompeleka na mbaya Zaidi baba mwenye nyumba alikuwa akimuingilia kinyume na maumbile ilhali mama anajua. Salama yake ilikuwa ni kutoroka siku moja waliposahau kumfungia. Alirudi Mombasa na nguo yake ya mwilini tu. Jamaa wana roho mbaya isiyomithilika.

mkuu siyo wa kikenya tu binti au mwanamke hadi wanaume wanageuzwa 0713
mfano, cheki hii link In Search of Jobs, Cameroonian Women May End Up as Slaves in Middle East | Inter Press Service

Yaani ni majanga huko si saudia, kuwait, dubai kote ndiyo tabia zao hizo.
 
Wewe una tatizo, vipi unakuwa mbaguzi kuituhumu jamii nzima, kila kabila, dini na taifa kuna watu wazuri, wabaya, makatili nk. Huwezi kusema waarabu wote makatili na wengi mnaotoa kauli kama hizi inaonyesha hamujawahi kufika huko Uarabuni.
Wewe una tatizo, vipi unakuwa mbaguzi kuituhumu jamii nzima, kila kabila, dini na taifa kuna watu wazuri, wabaya, makatili nk. Huwezi kusema waarabu wote makatili na wengi mnaotoa kauli kama hizi inaonyesha hamujawahi kufika huko Uarabuni.
Wewe lazima utakuwa mwarabu....!!! Kafikishe ujumbe kwa wenzako.
 
NAfikiri hujaelewa maada vizuri, issue sio kiasi cha pesa unacho lipwa; issue ni namna gani ubinadamu unafanywa kwa mtu mweusi. Ki ukweli, Waarabu hawan UTU unapofikia issue ya mtu mweusi.
Yaani kumuelewesha Barbarosa ni ngumu mno, Yaani huyu anaonekana ni mdogo kiumri na hajui mambo mengi na kama ana umri mkubwa basi ni mentally retarded. Yaani nimekuwa naangalia posts zake kweli huyu iko shida nilizosema hapo juu.
 
Wapi ambako wewe kama Mwafrika mweusi utafanya kazi za ndani na usinyanyasike? Nitajie sehemu moja tu!
Hata hapa nyumbani kuna kesi kadhaa za unyanyasaji lakini si kwa kiwango hicho kinachopatikana uarabuni.

Malaamiko yamekuwa mengi, na si Tanzania tu hata Uganda, Kenya...wamekuwa na malalamiko haya haya.

Alafu tatizo kubwa Uarabuni ni kwamba jamii nzima inakuwa dhidi yako, ni mara chache sana utapata msaada ili utoroke.
 
Back
Top Bottom