Hahaaaa NA uanii washaaaribuu maliziaaaBora hata wangekuwa wanawalipa basi. Nina ushahidi kabisa wa binti wa kikenya aliekwenda na kunyang'nywa passport yake, mshahara hakupewa mwaka mzima kwa kisingizio cha kulipia ticket iliyompeleka na mbaya Zaidi baba mwenye nyumba alikuwa akimuingilia kinyume na maumbile ilhali mama anajua. Salama yake ilikuwa ni kutoroka siku moja waliposahau kumfungia. Alirudi Mombasa na nguo yake ya mwilini tu. Jamaa wana roho mbaya isiyomithilika.
Sadist= a person who derives pleasure in other people's sufferings.Hahaaaa NA uanii washaaaribuu maliziaaa