Saudia cautions against maids from Tanzania

Sijali

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
2,660
1,801
RIYADH — The Ministry of Interior has warned Saudi citizens against traveling to the east African countries of Tanzania and Burundi to recruit domestic workers before official channels are open for the purpose after the completion of all legal procedures.

In a statement to the Saudi Press Agency, Muhammad Al-Marool, director general of the Department of Public Relations and Media at the Ministry of Interior, said the ministry received a notification from the Ministry of Foreign Affairs stating that the relevant authorities in Tanzania and Burundi are investigating some Saudi travelers accused of involvement in human trafficking.

The charges leveled against the Saudis include operating in these countries without official government permits and recruiting and exporting domestic workers illegally.

If convicted, these citizens face imprisonment for human trafficking and violating the conditions of visit visas.

The ministry urged all citizens to take into account the laws and regulations prevalent in countries they visit and do not violate them under any circumstances.
 
waarabu ni makatili mno wanajua kuwanyanyasa ndg zetu wanaokwenda kuwatumikisha huko bila kujali kuwa wao wanatumia nguvu na hawawalipi bure inasikitisha sana tena ni wengi wao wachache sana ndio wana utu.
 
Wewe una tatizo, vipi unakuwa mbaguzi kuituhumu jamii nzima, kila kabila, dini na taifa kuna watu wazuri, wabaya, makatili nk. Huwezi kusema waarabu wote makatili na wengi mnaotoa kauli kama hizi inaonyesha hamujawahi kufika huko Uarabuni.
 
Soma vizuri comment yangu hasa kipengele cha mwisho kabla hujaangusha tuhuma natumaini una.macho mazuri tu
 
Uweke huwo ushahidi hapa! Kwa maana kama ni kusema tu hata mimi ninafahamu Waafrika weusi wengi tu wanaofanya kazi Uarabuni kuanzia UAE mpaka Saudia na wanaishi vizuri wana maendelo na wanasaidia ndugu zao hapa nyumbani!
NAfikiri hujaelewa maada vizuri, issue sio kiasi cha pesa unacho lipwa; issue ni namna gani ubinadamu unafanywa kwa mtu mweusi. Ki ukweli, Waarabu hawan UTU unapofikia issue ya mtu mweusi.
 
I say, I know some will say it is work, but I would rather my people look for other types of work. Domestic work in the Middle East is a kind of slavery. One enjoys no rights and abuses are common place.
saying kind of slavery is entirely an understatement. Those people are brutal and inhumane. It is so sad that they are the custodians of the holy land coz their acts are completely contrary to the Islamic teaching.
 
NAfikiri hujaelewa maada vizuri, issue sio kiasi cha pesa unacho lipwa; issue ni namna gani ubinadamu unafanywa kwa mtu mweusi. Ki ukweli, Waarabu hawan UTU unapofikia issue ya mtu mweusi.

Nimeelewa sana, na ndiyo maana nikampa changamoto aniambie ni nchi gani Dunia hii ambapo sisi watu weusi tunaonyeshwa ubindamu? Yaani ni wapi ambapo mtu mweusi ataenda tena asiye na Elimu akafanye kazi za ndani halafu aonyeshewe utu?
 
Uweke huwo ushahidi hapa! Kwa maana kama ni kusema tu hata mimi ninafahamu Waafrika weusi wengi tu wanaofanya kazi Uarabuni kuanzia UAE mpaka Saudia na wanaishi vizuri wana maendelo na wanasaidia ndugu zao hapa nyumbani!
Mkuu usipotoshe. Professional jobs, nitakubaliana na wewe, lakini kazi za ndani siyo kweli. Nimekaa Sharjah na Doha hakuna mfanyakazi za ndani mweusi utakayekutana naye asirgret. Jamii ya Waarabu na Wahindi huwa wanatuona siye kama siyo watu. Kama wewe ni Muarabu useme tu kuwa unawatetea ndugu zako, lakini ukweli wenyewe ndio huo.
 
waarabu ni makatili mno wanajua kuwanyanyasa ndg zetu wanaokwenda kuwatumikisha huko bila kujali kuwa wao wanatumia nguvu na hawawalipi bure inasikitisha sana tena ni wengi wao wachache sana ndio wana utu.
Bora hata wangekuwa wanawalipa basi. Nina ushahidi kabisa wa binti wa kikenya aliekwenda na kunyang'nywa passport yake, mshahara hakupewa mwaka mzima kwa kisingizio cha kulipia ticket iliyompeleka na mbaya Zaidi baba mwenye nyumba alikuwa akimuingilia kinyume na maumbile ilhali mama anajua. Salama yake ilikuwa ni kutoroka siku moja waliposahau kumfungia. Alirudi Mombasa na nguo yake ya mwilini tu. Jamaa wana roho mbaya isiyomithilika.
 
Back
Top Bottom