Saudia cautions against maids from Tanzania

Saudia cautions against maids from Tanzania

Nimeelewa sana, na ndiyo maana nikampa changamoto aniambie ni nchi gani Dunia hii ambapo sisi watu weusi tunaonyeshwa ubindamu? Yaani ni wapi ambapo mtu mweusi ataenda tena asiye na Elimu akafanye kazi za ndani halafu aonyeshewe utu?
Studip!! Unaweza kulinganisha mfanyakazi anaefanya kazi za ndani Norway, Sweden Denmark na Mfanyakazi wa ndani anayefanya kazi Saudi Arabia, kuwati na Irani? Hizi akili zingine mnatoa wapi? Yaaani wewe nimekuweka kwenye ignore list ila bado post zako naziona ila wewe ni aidha mtoto au uko mentally retarded!!!! Post zako nyingi ni za kitoto toto na kitahira tahira tu.
 
Alafu hawa jamaa miaka inaenda lakini ni wagumu sana kubadilika kwa kisingizio cha utamaduni...mtu anayeamini kuwa anachoamini yeye tu ndio cha muhimu kuliko wengine ni vigumu sana kukubali usawa.

Nchi nyingi za Ulaya dini ya kiislam imepewa uhuru mkubwa na Waumini wanaabudu kwa uhuru lakini ukiwa Uarabuni ni kinyume chake kabisa.
 
Aisee, hao jamaa wewe waone tu wakiwa wantembea barabarani usiombe kuwa mfanyakazi wao, ni sawa na akina Kanjibha na Shabani wa ze comedy hapo katika michezo ya runinga ya Tz, hawatofautiani hata nukta moja ila waarabu wamezidi
Mimi nimekuwa nikufuatlia sana hizo taarifa zao huko ughaibhuni ni majanga matupu.
Kwanza, wanachukua visa/passport za hao waafrika hii haijarishi anatoka nchi ipi.
Pili, anatumikishwa sana.
Tatu, hakuna mshahara.
Nne, anafanywa kama mke wa waarabu wanohitaji mapenzi mbaya zaidi ni 0713
Kwa hiyo, kule kama unahitaji kazi wewe tuma maombi kwa kampuni ila siyo kuchukulia kama mfanyakazi wa ndani. Na taarifa zaidi, pana middle men waoanzisha kampuni hewa ili kuwa kutoa ajila ila hakuna kazi ni utumwa tu.

Na katika hili wewe tafuta taarifa za wafanyakazi wanaoenda huko uarabuni utaona, wengi ndicho kinachowatokea link hii In Search of Jobs, Cameroonian Women May End Up as Slaves in Middle East | Inter Press Service
Ila siyo kuwa wote wanateswa ila asilimia nyingi wanajuta kwenda huko uarabuni na sio nchi moja zote wanatabia sawa.
Kwa hiyo jamani, tuwe makini na hao jamaa siyo Watu "ni watu hewa" yaani muonekano na matendo yao ni vitu viwili tofauti kabisaaaa asikuambie mtu.
Moja hiyo..
Bibi amuuza mjukuu wake albino kwa wauaji huko Busega. Mama mzazi wa mtoto huyo amuokoa na kumnusuru na ukatili ambao ungeliweza kutokea.

Albino.JPG


Mauaji ya watu wenye ualbino yameota mizizi katika jamii ya Kitanzania na wanaharakati wa haki za binaadamu wameeleza kuwa wimbi hilo limechukua uhai wa Albino sabini na tano nchini Tanzania tangu mwaka wa elfu mbili na viungo vyao kutumika katika masuala ya kishirikina.

Kadhalika, takwimu za kutoka mwaka 2006 zinaonyesha kuwa Albino 74 wameshauawa kikatili, huku 56 wakinusurika kifo, na kati yao 11 wameongezewa ulemavu mwingine wa kudumu.
Mbili hiyo....
SUNDAY, DECEMBER 7, 2014 Mwannchi.co.tz
Ripoti: Tanzania kinara wa utumwa A.Mashariki

Tatu hiyo...
choma.gif

choma.gif
hapa nchini mfanyakazi wa ndani achomwa chomwa na pasi....
FYATU
Invisble275 Ukatili, unyanyasishaji, uovu na ubaya upo kila kona na upo hata humu nchini....
 
Studip!! Unaweza kulinganisha mfanyakazi anaefanya kazi za ndani Norway, Sweden Denmark na Mfanyakazi wa ndani anayefanya kazi Saudi Arabia, kuwati na Irani? Hizi akili zingine mnatoa wapi? Yaaani wewe nimekuweka kwenye ignore list ila bado post zako naziona ila wewe ni aidha mtoto au uko mentally retarded!!!! Post zako nyingi ni za kitoto toto na kitahira tahira tu.


Ndugu hata mimi naweza kukuletea ushahidi wa watu weusi wanavyopata shida huko Norway au sijui Uswidi, haya mambo ya kujidanganya kwamba sisi kama watu weusi Wazungu wanatuthamini ndiyo yanayoturudisha nyuma!

Wote Wazungu na Warabu wanatuona sisi kama daraja la mwisho kabisa la kibinadamu na kama Watu weusi wanateswa Uarabuni siyo kwa sababu ni weusi bali kwa sababu sheria za kazi za Uarabuni siyo sawa na za Ulaya, hata Wahindi na Wapakistani wanalalamika kunyanyaswa huko pmj na Wazungu wenyewe wananyanyaswa huko pia, hivyo kama Wazungu hawatesi watu weusi siyo kwa sababu wanatupenda HAPANA, ni kwa sababu sheria inawabana, ni rahisi kihivyo tu, lkn Mzungu hata siku moja hapendi mtu mweusi!

Na ninakuhakikishia leo hii ukipiga kura ya maoni kwa Wazungu Norway ukawaambia wachague wahamiaji wa ktk Afrika kwetu yaani sisi weusi na Wahamiaji Waarabu, zaidi ya 80% ya Wazungu watachagua Waarabu, na huyo ndiyo UKWELI!
 
RIYADH — The Ministry of Interior has warned Saudi citizens against traveling to the east African countries of Tanzania and Burundi to recruit domestic workers before official channels are open for the purpose after the completion of all legal procedures.

In a statement to the Saudi Press Agency, Muhammad Al-Marool, director general of the Department of Public Relations and Media at the Ministry of Interior, said the ministry received a notification from the Ministry of Foreign Affairs stating that the relevant authorities in Tanzania and Burundi are investigating some Saudi travelers accused of involvement in human trafficking.

The charges leveled against the Saudis include operating in these countries without official government permits and recruiting and exporting domestic workers illegally.

If convicted, these citizens face imprisonment for human trafficking and violating the conditions of visit visas.

The ministry urged all citizens to take into account the laws and regulations prevalent in countries they visit and do not violate them under any circumstances.
Nakala kwa Abass Mtemvu .
 
Mkuu nakubali wapo ila siyo kwa kiwango kama wanavyoteswa huko Uarabuni. Nakumbuka kuna rafiki yangu mmoja (Mwarabu wa Bongo) aliwahi kuniambia kuwa sisi jamii ya kiafrica ndo tunawadekeza wafanyakazi wa ndani, akaenda mbali kwa kusema kitendo cha kula nao meza moja au hata kama siyo meza moja ila kuwaruhusu wafanyakazi wa ndani kupakuwa chakula ambacho boss wake anakula. Akasema wao waarabu Mfanyakazi wa ndani anakula kile kinachobaki baada ya familia kula, yaani makombo. Hapo ndipo nilianza kuona kuwa jamii ya kiarabu hamna utu. Hamthamini ubinadamu wa mtu mwingine.

Mtu mweusi by nature ndio mfano unaokaribiana na Mungu, hawa wengine ni mifano inayokaribiana na shetani. Basi tu uwongo umetungwa hap katikati, ila ukweli utajulikana na madhila yote haya yatageuka heshima.
 
Wewe Vikki dunia inavyokwenda!utakeusitake ushenzi wanafanyiwa.....Na sui hui dada tu Kuna Moana katoto ka kiarabu wa mound alikuwa anaingiliwa kinyume Na maumbile Na mjomba wake.....hku akimtisha kuwa atAmuuwa akijakutoa siri ya anachofanyiwa,we faiza mboga nane bado hujui mambo mengi
Lini mnarudi UDOM? au baba nanii hajawataka tena?
 
Hivi unadhani Polisi wa huko watakujali? Utaenda pale watakuangalia tu. Waarabu waone tu wanajifanya wacha Mungu lakini wengi wao hawana Mungu ni wanyama tu. Hasa kama wewe siyo mwarabu mwenzao. Balozi zetu nazo ndo hivyo, Ukienda Ubalozini wakati mwingine watanzania wenzio wakijua una matatizo kila siku utakuwa unapigwa tarehe tu. Mimi nawashauri dada zetu, kama ni kazi za ndani bora hapa kwetu. Hata kama Boss atakunyanyasa Nauli siyo kubwa utaondoka kurudi kwenu.

Si kweli, kwanza hii mada ukiisoma vizuri, kama unaelewa kilichoandikwa post namba moja, ni kuwa Serikali ya huko inajali na inatahadharisha raia zake kutochukuwa wafanyakazi bila kufata sheria na kanuni za kwao na za nchi husika.

Pia jisomee hii halafu useme ni wapi yametokea? :

Msichana abakwa hadi kufa
 
Wapo wanaotendewa wema na kufanikiwa lakini 95% wanakumbana na ukatili wa kutisha ambao hauwezi kufikiria mwanadamu wa kawaida aweza kumtendea mwenzake licha ya mataifa yao kujipambanua ni ya kistaarabu na yenye kufuata misingi ya dini fulani. Hata kule Magharibi kwa mashoga na "makafir" hawatendei domestic workers hivi.

La ajabu hata leo atangazwe mtu karudi toka mashariki ya kati hana miguu kwa ajili ya ukatili, kesho utakuta vibinti vimekamatwa vinasafirishwa kwenda huko kwa hiyari yao.
 
Yani tumeshafanywa chimbo la beki tatu? Tz imeshakuwa Iringa. Tusidhalilike kwa hili wandugu. Na hizo balozi zetu huko hovyo kabisa kuruhusu huu ujinga
Demu wako akienda au dada yako, Kutwa mizinga, wabongo kwa unafiki hamjambo, kujifanya hili linawauma sana,
Albino mnakata viungo wakiwa wazima,
Wafanyakazi wa ndani mnanyanyasa tena weusi wenzenu,
 
Lini mnarudi UDOM? au baba nanii hajawataka tena?
Udom nikafanye nn mbona unatoka mke ya mada....au Na we unatetea ujinga wanaofanyiwa madada wa kazi Nko umangani
 
Wewe Vikki dunia inavyokwenda!utakeusitake ushenzi wanafanyiwa.....Na sui hui dada tu Kuna Moana katoto ka kiarabu wa mound alikuwa anaingiliwa kinyume Na maumbile Na mjomba wake.....hku akimtisha kuwa atAmuuwa akijakutoa siri ya anachofanyiwa,we faiza mboga nane bado hujui mambo mengi
KWANI VIPI UMESIKIA YA MFANYABIASHARA MOSHI AU TUSEME WATU WOTE WA MOSHI WAKO HIVYO
 
Wapi ambako wewe kama Mwafrika mweusi utafanya kazi za ndani na usinyanyasike? Nitajie sehemu moja tu!
Bora hata wangekuwa wanawalipa basi. Nina ushahidi kabisa wa binti wa kikenya aliekwenda na kunyang'nywa passport yake, mshahara hakupewa mwaka mzima kwa kisingizio cha kulipia ticket iliyompeleka na mbaya Zaidi baba mwenye nyumba alikuwa akimuingilia kinyume na maumbile ilhali mama anajua. Salama yake ilikuwa ni kutoroka siku moja waliposahau kumfungia. Alirudi Mombasa na nguo yake ya mwilini tu. Jamaa wana roho mbaya isiyomithilika.
Waarabu kama waarabu wengi wao si watu wazuri ila tusihusishe na dini
 
Huyo alikuwa anapenda tu mwenyewe kwani hakujuwa namba za polisi au ubalozi wake?

Hilo mbona hata hapa JF nimelisoma MMU kuwa linafanyika hapa nchini na watu wanaingia JF kujisifu na mpaka limebuniwa jina "beki tatu". Au huyajui hayo?
Waarabu sio nadhani ukiishi nao kwenye maeneo yao ndio utawajua vizuri ni wanafiki na wabaguzi balaa ata mungu kawasema kwenye Quraan ingawa sio wote ila wengi wao
 
Ni wapi nimehusisha Dini? Na isitoshe ni watu gani wazuri kwetu weusi? Ni wapi ambako mtu mweusi habaguliwi mpaka muwaseme Waarabu peke yao?
Mi nimeishi na waarabu na ninaishi na wazungu kiukweli mzungu ata kama anakubagua hakuonyeshi na anajali haki za binadamu yani haki zako zote kama binadamu atakupa ila muarabu anakubagua uku unaonaona na haki yako kama binadamu hakupi
 
Ni wapi nimehusisha Dini? Na isitoshe ni watu gani wazuri kwetu weusi? Ni wapi ambako mtu mweusi habaguliwi mpaka muwaseme Waarabu peke yao?

Mkuu, kuhus waarabu kusemwa ni kutokana na uzi na wanajamvi tukaona tuseme mengine zaidi yaliyojificha chini ya zulia baada ya huyo waziri wao kuonesha kuwa wanafata wafanyakazi wa kuwasaidia kazi huku Tz na Burundi, ndipo tukaona ni vyema wanajamvi JF waelewe kuwa hao waarabu sio watu ni WATU HEWA, sasa kama nawe umo [u mwaarabu] utatusamehe tu bure, maana ndivyo mulivyo!! Na kama ni rafikizo, basi waelimishe wabadilike huo ujinga wafanyao.
Kwa mfano, mdada anabakwa na mwarabu na mkewe anamsaidia ili ambake vizuri/aendelee kumbaka hapo unadai hao ni watu? wanautu? sio watu hewa hao? ok, watete tena.

ila pia Kama wanajamvi wameingiza mambo ya dini hilo ni tatizo maana dunia nzima watu wanadini ila matendo yao haya na usiano na dini zao, ndiyo maana hata baadhi ya viongozi wa dini wanasema fuata maneno yangu na sio matendo yangu'

Pia, kama unahitaji kuelewa unyama wa hao waarabu ingia google utaona , mf. serikali ya Cameroon imeteua balozi wa kutetea wasichana wa Cameroon huko ughaibhuni kuwait, saudia, dubai.

Hebu angalia hizo link utajua tunachosema kuwa ni majanga

Arabs Habitually Rape And Enslave African Women.

Enslaved Cameroonians in Kuwait write to Biya - Cameroon News - News in Cameroon - Live News - Daily News Cameroon - Live News in Cameroon,

hii link utaona ni mataifa mangapi yanalalamika hapo In Search of Jobs, Cameroonian Women May End Up as Slaves in Middle East | Inter Press Service

Women from Sierra Leone 'sold like slaves' into domestic work in Kuwait | Pete Pattisson


kwa hiyo soma hizo link zote kama unaweza kusoma na kama una bando ya internet ili uone hao waarabu koko wako wanachowafanyia wanawake wa afrika wanoenda kufanya kazi huko uarabuni.

Ila issue ya dini hicho ni kitu kingine kabisaa wala hakina uhusiano na wanachowafanyia waafrika kule kwao.
Tena ujue kuwa waarabu ndiyo wa kwanza kuanzisha utumwa hapa afrika na hawakuwa tayari kuacha hiyo tabia.
sasa wewe watete tu ial kama wewe sio mwaarabu, siku ukienda au ndugu yako akiingizwa huko ndiyo utajuta/utamhurumia.

Asante.
 
Back
Top Bottom