GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,713
- 109,146
Wenyewe ( hasa Watangazaji ) wao Wanasema kuwa hata Rangi za Herufi zao Tatu EFM zina Rangi zinazoshabihiana na Rangi ya Klabu Bora na Kubwa nchini Tanzania na Afrika ya Simba Sports Club.
Kipindi hicho Kipya kitaitwa Unguruma na Simba SC ambacho kitakuwa kina Udhamini wa Bia nzuri ya Pilsner na kitakuwa kinaenda Hewani ndani ya Kipindi chao cha Michezo cha Sports Headquarters ambacho ndicho Kipindi Bora cha Michezo kwa sasa Tanzania.
Haya GENTAMYCINE nawashauri wale Wengine ( Wasiojua Kigamboni Wavuvi FC ) nao wamuombe Rafiki yao Diamond Platinumz amwambie Mtu Wao Mtangazaj Maulid Kitenge na Wao wawe na Kipindi cha Kuwaongelea karika Redio yenye Ukigamboni Ukigamboni mtupu ya Wasafi FM ila kule EFM ni Kwetu Sisi wana Simba SC tu sawa?
Safi sana EFM Radio na Boss Mwana Simba SC Mwenzangu Majizzo. Hapa Umewanyoosha na Wataumia ile mbaya Kudadadeki zao.