Mchungaji aingia kwenye mgogoro wa ndoa baba mke wake kisa binti wa kanisani

Masquarrader

Member
Aug 17, 2018
62
38
Inadaiwa mchungaji wa Kanisa la Restoration Bible Church huko ruaha Iringa ameingia kwenye mgogoro wa kifamilia na kanisa kutokana na mchungaji huyo aliyefahamika kwa jina moja la Jeremia kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mdada aliyejulikana kwa jina la Vaileth ambae pia amempa kacheo flan bila kuzingatia vigezo kanisani hapo.

Inaelezwa mchungaji huyo amekuwa na mahusiano na Dada huyo kwa muda was miaka miwili na sasa Vaileth amekuwa ndio mwenye sauti kanisani hapo kwani anachokipanga yeye ndicho hufanyika kanisani hapo hata akiamua siku ya kaz hakuna ibada basi haifanyiki.

Kutokana na hilo mama mchungaji ametishia kuanzisha kampeni ya kuondoka kwenye ndoa kwakuwa suala la mapenzi ya wawili hao la muda Askofu anakijua ila analea ujinga huo.

Habari zaidi nitawapasha wiki ijayo kuna kongamano linakuja kufanyika hapa iringa mjini tutapata uhakika toka kwa wenzetu wa huko ruaha maana jamaa akija lazima watakuwa beneti.
 
Ungekuwa mke wa mchungaji,ningekushauri ufunge na kuomba tu..

Mchungaji nae ni binadam mdhaifu.

Ni kweli mkuu!ni kupiga goti na kufunga kwa mwaka mzima!unamlilia Mungu ambadilishe mumeo!
Na pia kujishusha na kujinyenyekeza kwa mume!ndoa zenyewe hizi chache sana!
 
Mchungaji anatafuna kondoo wake mbaka anasahau familia, safi kabisa.
 
Inaelezwa mchungaji huyo amekuwa na mahusiano na Dada huyo kwa muda was miaka miwili na sasa Vaileth amekuwa ndio mwenye sauti kanisani hapo kwani anachokipanga yeye ndicho hufanyika kanisani hapo hata akiamua siku ya kaz hakuna ibada basi haifanyiki.
hii Kali Masquarrader,
 
Masquarrader,
Kwani penzi lao ni suala jinai? Linaadhiri vipi utekelezaji wa sera ya Tanzania ya viwanda? Huyu mama mchungaji anapaswa kujua wazi kwamba hakuna mwenye hati miliki ya penzi isipokuwa anapaswa kuwa mbia na atambue pia mwenye hisa nyingi ndiye ana nguvu kimaamuzi..asante!
 
Haishangazi
Samsoni mteule alizidiwa kete na Delilah
Adam hakuweza kuchomoa mbele ya Hawa.
Mchungaji huyo kiumbe dhaifu ni nani hata asiingie ktk majaribu?
Huyo mwanamke huwa anashawishiwa kwanza...ndipo amzaini mwanamme..kunakuwa na nguvu nyuma yake.. ...
Sasa angefanya hivyo mke ungesema hivyo hivyo?
 
Back
Top Bottom