Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,135
Nyerere angekuwa na fikra hizi sijui Butiama pangekuaje?
Hujui ulinenalo, umekalia Ukada tu.Sio suala la mihemko, content ni kwamba kuna upendeleo wa wazi unaofanywa na wakuu hao wawili. Sio kweli, ndio maana nimetoa mfano wa Arusha wa PM Kassim.
Kunajengeka dhana potofu kwamba Lindi na Mwanza ni mikoa miwili inayopata upendelea fulani. Sio kweli hata kidogo. Ndio yale yale aliyosema Mwalimu JKN kwamba watu wakishafilisika vichwani hukimbilia kwenye siasa nyepesi za ukanda na ukabila.
Mkuu pointi zimekuishia. Happy new year, tuombe tufike salama.Hujui ulinenalo, umekalia Ukada tu.
Ikiwa uelewa wako ni mdogo sio ajabu kuona kana kwamba kinachoandikwa hakiendani na mada husika. Mnataka kuleta mawazo ya kipuuzi ya ukanda na ukabila, hakuna atakayekubaliana nanyi hata kidogo. Danganyeni hao hao watoto wadogo.Kituko kweli, hata kujistukia huwezi kuwa unaandika vitu vya ajabu? Kweli mmepumbazwa akili yote.
Kule mashariki tulivyo wanyenyekevu tunasubiri kuona sura ya mgombea wakati wa campaign, tukipewa khanga, vitenge, vilemba, kofia na t-shirt tunapiga makofi wa nguvu zote.
Kaskazini huu upumbavu walishauacha long time kitambo.Hata huku kati pia, makao makuu hadi ntoborwa, tunangoja khanga , kofia na tisheti tu za rangi zetu pendwa ......kwisha habari!
HayaUtaje Uongo na Uchonganishi wangu kwanza.
Ameenda Huko Kusini Mara 4 wakati huko kwingine unakokusema ameenda si zaidi ya Mara moja nazo ni sehemu chache tu. Sasa sijui hata hesabu hujui. Four times wakati maeneo mengine nje na Dar es Salaama na Dodoma ambako ameenda haizidi Mara mbili. Unanipa kazi kukuelewesha mtu ambaye una closed mind. Ngoja nikuache hivyo hivyo maana unataka ushindani tu.Haya
1. Hebu onyesha hiyo 90% ya trip za PM umezipataje!!! (3/idadi ya trip zake * 100 = 90%? fanya kama utapata jibu
tofauti basi ndio maana nimesema wewe mwongo!!!!!!)
2. Ulitaka akitoka Arusha aende mapumuziko wapi? (taja)
3. Je kwani ratiba zake anayezijua ni yeye au wewe? mpaka ulalamike mikoa mingine hajafika kweli?
4. Una uhakika gani uliyemwita mkulu kwenda huko amesingizia msiba? (aya yako ya 2)
5. aya yako ya 3 maneno hayo yamejengwa na chuki kwa hiyo unatushawishi kanda zingine tuchukie eti hawajaja
kwenye kanda tunazokaa haitatusaidia maana tunajua zamu zetu zitafika watakuja na hata huko Bukoba watafika.
Ukabila, udini ukanda ni vitu ambavyo kwa sasa havisikiki masikioni mwa watu sijui hiyo kasi yake unalinganishaje na awamu ya 2, 3 na 4
Closed mind ndiyo nini?, kwa kweli niache tu rafiki. watanzania tunapendana wewe unag'ang'ana kutuchonganisha!!!!Ameenda Huko Kusini Mara 4 wakati huko kwingine unakokusema ameenda si zaidi ya Mara moja nazo ni sehemu chache tu. Sasa sijui hata hesabu hujui. Four times wakati maeneo mengine nje na Dar es Salaama na Dodoma ambako ameenda haizidi Mara mbili. Unanipa kazi kukuelewesha mtu ambaye una closed mind. Ngoja nikuache hivyo hivyo maana unataka ushindani tu.
KAMA T SHIRT FREEDOMFORLEMA au FREEDOMFORNEBANASAKule mashariki tulivyo wanyenyekevu tunasubiri kuona sura ya mgombea wakati wa campaign, tukipewa khanga, vitenge, vilemba, kofia na t-shirt tunapiga makofi wa nguvu zote.