Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

Mkuu wewe ni typical mtanzania, yaani kichwa kigumu kuelewa na kujiongeza. Teuzi zimekuwa na uelekeo wa upande mmoja, ziara ndio huko unakosema, majanga ya wakulima na wafugaji hayajasemewa, tetemeko limetelekezwa, wengine wamebomolewa nyumba bila hata kauli ya kuwafariji ila machinga wa Mwanza waliotolewa waliko kinyume na sheria wakazuiliwa kuondolewa na viongozi wakaonesha wanajua hadi eneo la Kiloleli hakuna biashara. Hapo haujongelea fedha ya nini sijui ikajenge rami huko. Barabara niliyopita 1990 kule mbeya wakati naenda kuanza form one hadi leo tunabanana humo humo yaani toka Simike hadi Nzovwe kama una ka Vitz halafu kako chini kananata barabarani matairi yanabaki yanaelea. Nchi ina wenyewe saizi wanalipiza kaskazini walivyokula bata kwa hiyo kama hauko Ntwara Lindi, hauko Kaskazini ambako wameshiba tayari na hauko Ziwa ambako ndio zamu yao kula, ishia kuchekea chooni tu
Mengine msiwe mnafuata mkumbo, heb kawaulize watu wa kanda ya ziwa waliokuwa wanategemea ziwa kwa ajiri ya uvuvi usikie kama hawatakuambia ziwa limefungwa had samaki wawe wakubwa na ukikamatwa unaenda jera kwa kukiuka kanuni

Ukerewe, Bunda n.k watu wanalia hali ya chakula ni mbaya na wanaomba msaada wa chakula haraka sana

Hakuna jipya hata kama akija kwenu bali utaona sura yake tu halaf anaondoka THINK BIG
 
Wewe tangu mwaka jana umeshaenda nyumbani kwenu mara ngpi? Na xmass umeilia wapi? Na ulipopata likizo hukwenda kwenu? Au ulitaka likizo akailie ngorongoro?
Mbona hujajibu hoja? Umekimbilia kutokwa povu?
Huo ndio ukweli itafika wakati kila kanda tutataka rais atoke.time will tell
 
Kule mashariki tulivyo wanyenyekevu tunasubiri kuona sura ya mgombea wakati wa campaign, tukipewa khanga, vitenge, vilemba, kofia na t-shirt tunapiga makofi wa nguvu zote.
Mh! Mtu wangu wewe upo mashariki ipi kwani.
Kiukweli umeniacha
 
Ile sheria bado IPO msijisahau sana matatizo tuliyo nayo yanatosha msiongeze mengine
 
So hatakiwi kwenda kanda ya ziwa ambako ndio nyumbani kwao likizo? Huko uliko hakuna serikali mpaka rais aje? Is it even an issue to discuss? kwamba unalalamika rais hajaja mkoa wako? Kwamba rais akija mvua itanyesha siku hiyo uanze na kulima? ebu jifunze kutumia hata hako kaakiri kadogo ulikopewa
Mbona hujajibu hoja? Umekimbilia kutokwa povu?
Huo ndio ukweli itafika wakati kila kanda tutataka rais atoke.time will tell
 
Mengine msiwe mnafuata mkumbo, heb kawaulize watu wa kanda ya ziwa waliokuwa wanategemea ziwa kwa ajiri ya uvuvi usikie kama hawatakuambia ziwa limefungwa had samaki wawe wakubwa na ukikamatwa unaenda jera kwa kukiuka kanuni

Ukerewe, Bunda n.k watu wanalia hali ya chakula ni mbaya na wanaomba msaada wa chakula haraka sana

Hakuna jipya hata kama akija kwenu bali utaona sura yake tu halaf anaondoka THINK BIG
Ukerewe na Bunda kote hawajakanyaga hao Wakubwa.
 
Mbona hujajibu hoja? Umekimbilia kutokwa povu?
Huo ndio ukweli itafika wakati kila kanda tutataka rais atoke.time will tell
Soon will be mkuu. Unajua hata Wenje kafanyiwa hujuma ili Wamfurahishe tu mungu wao asijesema hapendwi nako huko. Walishindwa BK na Ukerewe angalia anavyoonesha sura ya hasira juu yao wazi wazi.
 
So hatakiwi kwenda kanda ya ziwa ambako ndio nyumbani kwao likizo? Huko uliko hakuna serikali mpaka rais aje? Is it even an issue to discuss? kwamba unalalamika rais hajaja mkoa wako? Kwamba rais akija mvua itanyesha siku hiyo uanze na kulima? ebu jifunze kutumia hata hako kaakiri kadogo ulikopewa
Acha ujinga wewe, kwani Kipindi cha Uchaguzi anakuja kufanya nini, au ndiyo analeta Mvua? Be Logical!
 
Acha ujinga wewe, kwani Kipindi cha Uchaguzi anakuja kufanya nini, au ndiyo analeta Mvua? Be Logical!
Am practically very logical. Its just that your brain is too slow to process anything. Kimsingi kipindi cha kampeni alikuwa anaomba ridhaa ili awe rais alete maendeleo. Kujumu lake kwa sasa ni kuweka mikakati ya kuleta maendeleo. After 5 years utakachouliza si mara ngapi amekutembelea mkoa wako au jimbo lako bali ameleta maendeleo? Pole utakuwa unajikuna kichwa cz you can't process anything, everything is jammed.
 
Ndikwega, wewe huna lamaana unaloliongea bali ni chuki binafsi dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ubaguzi au ukabila hauthibitishwi kwa ziara za viongozi, Viongozi wako wa Li-chadema hususan Mbowe mbona mara nyingi sana wamekuwa wakiendesha shughuli zao za kisiasa Kanda ya Ziwa na Kati, je inamaana wamewatenga Wana Kilimanjaro? Lowasa amekuwa akihangaika na Kanda ta Ziwa je ina maana hawataki au anawabagua Wana Arusha? Mbona watu wengine mnakosa mambo ya kupost? Kwanini upost ujinga na upumbavu chonganishi kiasi hiki kwenye mitandao ya kijamii? Ukikamatwa ili ufafanue kwanini unaandika uchochezi wewe unalalamika eti umeonewa? Cyber crime Act lazima watu wa aina yako iwatafune. kwa hakika nawaomba wana usalama na wapenda amani ktk Taifa hili, naomba wakushughulikie ipasavyo bila kukuonea lakini lazima uwajibike kwa uchonganishi wako. Na mimi kwa Elimu yangu ndogo ya sheria nitakuwa tayari kuisaidia Serikali kuhakikisha unawajibika.
 
Salaam Wakuu.
Takribani ni Mwaka mmoja toka Serikali ya Awamu ya 5 ishike hatamu naona Trip za Wakubwa zaidi kwanzia PM zaidi ya 90% ni Kusini, yaani Lindi na Mtwara, mathalani PM baada ya Kutoka tu Arusha Juma lililopita kapitiliza Mtwara na leo hii Ruangwa ambako ndiyo jimbo lake, ni zaidi ya mara 3 anashinda huko wakati kuna Mikoa hajakanyaga Kusikiliza Kero za Wananchi wao wenyewe maana ndiyo inatia Uzito. Ikumbukwe ni Waziri Mkuu na si Mbunge wa kawaida.

Naye Mkulu toka State House ndiyo Kabisaaa, ameenda Chato naye si Chini ya Mara 3 na leo yupo huko kwa kisingizio eti kaenda Msibani.Mbona Bukoba walikufa Watanzania na wengi zaidi na jirani na Chato ila hajawahi Kanyaga?

Kama wewe si wa Kusini ama Kanda ya Ziwa hususani Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita nje na Dar es Salaam utasubiri saana.Kumbuka Ukweli hisia huja zaidi baada ya Kujionea.

Aliyoyakataza Muasisi wa Taifa hili la Tanznaia Hayati; Mwl. JK Nyerere yaani, Ukabila, Ukanda na Udini yanarejea kwa Kasi ya Ajabu saana, kwa Pamoja wapenda Tanzania tuyapinge kwa nguvu zetu zote.
Tangu zamani za Nyerere sehemu za kutembelewa zilikya hizo hizo, lakini shule; umeme vijijini; lami; na hospitali nzuri zore zikajengwa Kaskazini kwa savabu mawaziri nyeti na watendaji wakuu wote walikuwa wa huko. Waziri Mkuu 4 times.

Kinachoendelea sasa hivi ni hicho hicho ila pia sasa wanapeleka vodacom Ruangwa na airport Geita na Mugumu. Zamani hata airport ya Mbeya ilinyimwa bajeti ili ikajengwe Arusha Airport huku na KIA iko pua na mdomo.

Wacha machozi ya mamba, ni Tanzania yetu wote tuwaache na wengine wafaidike na rasilimali ya taifa.

Bill Marconi.
 
Na singida pia wasukuma? Sasa mbona na huko ameenda. Acheni siasa za kipumbavu. Kwani rais akija mikoa yenu ndio mtakula?
Wataacha 2020 mtakaposhindwa kupokelewa kwenye baadhi ya kanda, ilikuwa kaskazini ila amini maneno ya mtu huyu muungwana kuna kanda kama nyanda za juu kusini itakuja kuwaumiza kichwa..... Kitu kikiongelewa usihemke fikiria kwa nini kinaongelewa sana na kinapata wachangiaji wengi,,, nasubir nami unitusi kama ulivofanya hapo juu......
 
Mbona mwandishi povu linakutoka sana ulitaka aende wapi mbona mnawapangia viongoz acheni hizo
 
Back
Top Bottom