Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

Ndikwega

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,864
2,000
Salaam Wakuu.
Takribani ni Mwaka mmoja toka Serikali ya Awamu ya 5 ishike hatamu naona Trip za Wakubwa zaidi kwanzia PM zaidi ya 90% ni Kusini, yaani Lindi na Mtwara, mathalani PM baada ya Kutoka tu Arusha Juma lililopita kapitiliza Mtwara na leo hii Ruangwa ambako ndiyo jimbo lake, ni zaidi ya mara 3 anashinda huko wakati kuna Mikoa hajakanyaga Kusikiliza Kero za Wananchi wao wenyewe maana ndiyo inatia Uzito. Ikumbukwe ni Waziri Mkuu na si Mbunge wa kawaida.

Naye Mkulu toka State House ndiyo Kabisaaa, ameenda Chato naye si Chini ya Mara 3 na leo yupo huko kwa kisingizio eti kaenda Msibani.Mbona Bukoba walikufa Watanzania na wengi zaidi na jirani na Chato ila hajawahi Kanyaga?

Kama wewe si wa Kusini ama Kanda ya Ziwa hususani Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita nje na Dar es Salaam utasubiri saana.Kumbuka Ukweli hisia huja zaidi baada ya Kujionea.

Aliyoyakataza Muasisi wa Taifa hili la Tanznaia Hayati; Mwl. JK Nyerere yaani, Ukabila, Ukanda na Udini yanarejea kwa Kasi ya Ajabu saana, kwa Pamoja wapenda Tanzania tuyapinge kwa nguvu zetu zote.
 
G4rpolitics

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
3,760

Wewe tangu mwaka jana umeshaenda nyumbani kwenu mara ngpi? Na xmass umeilia wapi? Na ulipopata likizo hukwenda kwenu? Au ulitaka likizo akailie ngorongoro?
 
Ulukolokwitanga

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
8,404
2,000
Mkuu wewe ni typical mtanzania, yaani kichwa kigumu kuelewa na kujiongeza. Teuzi zimekuwa na uelekeo wa upande mmoja, ziara ndio huko unakosema, majanga ya wakulima na wafugaji hayajasemewa, tetemeko limetelekezwa, wengine wamebomolewa nyumba bila hata kauli ya kuwafariji ila machinga wa Mwanza waliotolewa waliko kinyume na sheria wakazuiliwa kuondolewa na viongozi wakaonesha wanajua hadi eneo la Kiloleli hakuna biashara. Hapo haujongelea fedha ya nini sijui ikajenge rami huko. Barabara niliyopita 1990 kule mbeya wakati naenda kuanza form one hadi leo tunabanana humo humo yaani toka Simike hadi Nzovwe kama una ka Vitz halafu kako chini kananata barabarani matairi yanabaki yanaelea. Nchi ina wenyewe saizi wanalipiza kaskazini walivyokula bata kwa hiyo kama hauko Ntwara Lindi, hauko Kaskazini ambako wameshiba tayari na hauko Ziwa ambako ndio zamu yao kula, ishia kuchekea chooni tu
 
Sharif

JF-Expert Member
Mar 13, 2011
2,471
2,000
nakumbuka kijamaa kilisema kinazunguka nchi nzima kuwashukuru waliompigia kura,alianza kanda ya ziwa akahusisha na baadhi ya mikoa along mwanza dar road tu..zenji alienda kumwaga sumu za fitna..
sijui mbeya tulikomzomea 2015 atakuja lini kutushukuru wapiga kura ?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom