Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

Mkoa wa Arusha na Kilimanjaro karibu majimbo yote yako upinzan sasa atachaguaje mawazir ama manaibu waziri ambao sio chama chake si kinyume na katiba?, but anyway toka nchi hii ipate Uhuru ukanda wa kaskazin from manyara, arusha plus Kilimanjaro wamekuwa wakitoa mawazir na manaibu wengi tu tena uwaziri mkuu ndio tusiseme utadhan nafasi hiyo ilikuwa preserved rasmi kwa watu wa ukanda huo tu. Mbona kipindi chote hicho watz hawakulalamika pale mikoa ama wilaya zao hazikupata mawazir ama manaibu ? Kwa sasa ndio m naona mnaonewa? Si shabiki wa ccm but UKWELI ubaki ulivyo mm ni mzalendo ambaye nilikuwa naumia sana baadhi ya mikoa ilipokuwa inapuuzwa huku mingine ikipewa kipaumbele
Inawezekana unachangia usichokielewa ama umepotosha makusudi. Mada ni kuwa Ni Kanda ya Ziwa na Kusini ndiko Trip zimezidi, ukitaka hayo mengine anzisha mada yake.
 
Hata kama ww ndio PM hutakwenda kwenu kisa ni PM?, kumbuka nje na pm wake yy ni mbunge hivyo anawajibika kama wabunge wengine kutembelea jimbo lake na kusikiliza kero za wananchi wa jumbo lake. Hujui baada ya 4 yrs waliomchagua watamuhukumu kwa kipindi alichowatumikia, so akiwasusa kisa kapewa u pm 2020 atajiteteaje jimbon kwake
Basi angekataa uPM. Maana sasa hivi ni nchi nzima na Ruangwa.
 
Tabora Tupo kanda gani ? Au mpk mtani Hashimu Rungwe awe rais ndo atapita pita pale akienda KG
 
Tunaombwa tuubili Amani ya ukabira, sasa ngoja nasisi tutafute vyeo ili tupeleke maendeleo nyumbani kwetu.
 
Kweni mtu kwenda kwao maana yake waTanzania wengine siyo wa kwake?kwanza we mtoa mada kwenu wapi na ulienda lini kwa mala ya mwisho?misiba ya huko kwenu hua unahudhuria?tukikuchunguza tutakuta wewe ni mtu unatoa kibanzi cha jicho la mwenzio
Mimi siyo Mbaguzi pia siyo Rais wala PM au any Minister.
 
Basi angekataa uPM. Maana sasa hivi ni nchi nzima na Ruangwa.
Mkuu vitu vingine huwa havihitaji siasa tumeshuhudia ziara za pm mikoa mingi hapa nchin ndan ya muda mfupi ikiwemo Dar, Dodoma, Arusha, Katavi, Rukwa, Manyara ,Mtwara, Lindi,Pwan n.k hii ikumbukwe ni ndan ya Mwaka 1 pia mikoa ambayo bado hajaitembelea raisi, makamu wa raisi au mawazir wameshaitembelea kwa hiyo ni ratiba tu huwez kutembelea mikoa yote kila mwaka
 
Huu uzi umeandikwa kinafiki sana. Kaka Kassim alikuwa Arusha ambapo amekaa wiki nzima akishughulikia suala la faru John na mengine ya kiserikali. Ina maana Arusha ndipo alipozaliwaa waziri mkuu?.
Tatizo una mihemko, soma vizuri utaelewa content ya mada.
 
Mkuu vitu vingine huwa havihitaji siasa tumeshuhudia ziara za pm mikoa mingi hapa nchin ndan ya muda mfupi ikiwemo Dar, Dodoma, Arusha, Katavi, Rukwa, Manyara ,Mtwara, Lindi,Pwan n.k hii ikumbukwe ni ndan ya Mwaka 1 pia mikoa ambayo bado hajaitembelea raisi, makamu wa raisi au mawazir wameshaitembelea kwa hiyo ni ratiba tu huwez kutembelea mikoa yote kila mwaka
Soma vizuri Uzi utaelewa kilichoandikwa.
 
Wewe mwongo na mchonganishi!!!!!

Salaam Wakuu.
Takribani ni Mwaka mmoja toka Serikali ya Awamu ya 5 ishike hatamu naona Trip za Wakubwa zaidi kwanzia PM zaidi ya 90% ni Kusini, yaani Lindi na Mtwara, mathalani PM baada ya Kutoka tu Arusha Juma lililopita kapitiliza Mtwara na leo hii Ruangwa ambako ndiyo jimbo lake, ni zaidi ya mara 3 anashinda huko wakati kuna Mikoa hajakanyaga Kusikiliza Kero za Wananchi wao wenyewe maana ndiyo inatia Uzito. Ikumbukwe ni Waziri Mkuu na si Mbunge wa kawaida.

Naye Mkulu toka State House ndiyo Kabisaaa, ameenda Chato naye si Chini ya Mara 3 na leo yupo huko kwa kisingizio eti kaenda Msibani.Mbona Bukoba walikufa Watanzania na wengi zaidi na jirani na Chato ila hajawahi Kanyaga?

Kama wewe si wa Kusini ama Kanda ya Ziwa hususani Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita nje na Dar es Salaam utasubiri saana.Kumbuka Ukweli hisia huja zaidi baada ya Kujionea.

Aliyoyakataza Muasisi wa Taifa hili la Tanznaia Hayati; Mwl. JK Nyerere yaani, Ukabila, Ukanda na Udini yanarejea kwa Kasi ya Ajabu saana, kwa Pamoja wapenda Tanzania tuyapinge kwa nguvu zetu zote.
 
Nazani kwa MOSHI hata wasipokuja wafanye tu mchakato wa fedha za maendelel....Ujio wao sio.muhimu kiviiiile kama kutuma tu chapaa za maendeleo na kuzisimamia. Wacha viongozi wetu waende mapumziko ya mwisho wa mwaka ni mfano mzuri wa kuigwa na sisi sote
 
Wewe tangu mwaka jana umeshaenda nyumbani kwenu mara ngpi? Na xmass umeilia wapi? Na ulipopata likizo hukwenda kwenu? Au ulitaka likizo akailie ngorongoro?
heri kuokasa nguo ya kuvaa kuliko kukosa uwezo wakufikiri, hebu ona unavyojitia aibu
 
Tatizo una mihemko, soma vizuri utaelewa content ya mada.
Sio suala la mihemko, content ni kwamba kuna upendeleo wa wazi unaofanywa na wakuu hao wawili. Sio kweli, ndio maana nimetoa mfano wa Arusha wa PM Kassim.
Kunajengeka dhana potofu kwamba Lindi na Mwanza ni mikoa miwili inayopata upendelea fulani. Sio kweli hata kidogo. Ndio yale yale aliyosema Mwalimu JKN kwamba watu wakishafilisika vichwani hukimbilia kwenye siasa nyepesi za ukanda na ukabila.
 
Salaam Wakuu.
Takribani ni Mwaka mmoja toka Serikali ya Awamu ya 5 ishike hatamu naona Trip za Wakubwa zaidi kwanzia PM zaidi ya 90% ni Kusini, yaani Lindi na Mtwara, mathalani PM baada ya Kutoka tu Arusha Juma lililopita kapitiliza Mtwara na leo hii Ruangwa ambako ndiyo jimbo lake, ni zaidi ya mara 3 anashinda huko wakati kuna Mikoa hajakanyaga Kusikiliza Kero za Wananchi wao wenyewe maana ndiyo inatia Uzito. Ikumbukwe ni Waziri Mkuu na si Mbunge wa kawaida.

Naye Mkulu toka State House ndiyo Kabisaaa, ameenda Chato naye si Chini ya Mara 3 na leo yupo huko kwa kisingizio eti kaenda Msibani.Mbona Bukoba walikufa Watanzania na wengi zaidi na jirani na Chato ila hajawahi Kanyaga?

Kama wewe si wa Kusini ama Kanda ya Ziwa hususani Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita nje na Dar es Salaam utasubiri saana.Kumbuka Ukweli hisia huja zaidi baada ya Kujionea.

Aliyoyakataza Muasisi wa Taifa hili la Tanznaia Hayati; Mwl. JK Nyerere yaani, Ukabila, Ukanda na Udini yanarejea kwa Kasi ya Ajabu saana, kwa Pamoja wapenda Tanzania tuyapinge kwa nguvu zetu zote.
kwa hiyo ulitaka hawa viongozi wasiende kwao?
 
Back
Top Bottom