Sasa ni Kanda ya Ziwa na Kusini Basi

Tangu zamani za Nyerere sehemu za kutembelewa zilikya hizo hizo, lakini shule; umeme vijijini; lami; na hospitali nzuri zore zikajengwa Kaskazini kwa savabu mawaziri nyeti na watendaji wakuu wote walikuwa wa huko. Waziri Mkuu 4 times.

Kinachoendelea sasa hivi ni hicho hicho ila pia sasa wanapeleka vodacom Ruangwa na airport Geita na Mugumu. Zamani hata airport ya Mbeya ilinyimwa bajeti ili ikajengwe Arusha Airport huku na KIA iko pua na mdomo.

Wacha machozi ya mamba, ni Tanzania yetu wote tuwaache na wengine wafaidike na rasilimali ya taifa.

Bill Marconi.

Mkuu kama unaona kutotembelea Mikoa mingine ni sawa na kutembelea mingine hapo sawa, ngoja tuone 2020, itafika tu. Aende akaombe Kura huko huko anakoshinda.
 
Ndikwega, wewe huna lamaana unaloliongea bali ni chuki binafsi dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ubaguzi au ukabila hauthibitishwi kwa ziara za viongozi, Viongozi wako wa Li-chadema hususan Mbowe mbona mara nyingi sana wamekuwa wakiendesha shughuli zao za kisiasa Kanda ya Ziwa na Kati, je inamaana wamewatenga Wana Kilimanjaro? Lowasa amekuwa akihangaika na Kanda ta Ziwa je ina maana hawataki au anawabagua Wana Arusha? Mbona watu wengine mnakosa mambo ya kupost? Kwanini upost ujinga na upumbavu chonganishi kiasi hiki kwenye mitandao ya kijamii? Ukikamatwa ili ufafanue kwanini unaandika uchochezi wewe unalalamika eti umeonewa? Cyber crime Act lazima watu wa aina yako iwatafune. kwa hakika nawaomba wana usalama na wapenda amani ktk Taifa hili, naomba wakushughulikie ipasavyo bila kukuonea lakini lazima uwajibike kwa uchonganishi wako. Na mimi kwa Elimu yangu ndogo ya sheria nitakuwa tayari kuisaidia Serikali kuhakikisha unawajibika.
Unadhani ukinifunga Mimi ndiyo utamaliza mawazo huru ya watu kama Mimi? Mkuu hakuna kitakachopungua kumbuka mazingira yote hayo yapo kwa kila binadamu na si fulani tu. Acha kulingia sheria kandamizi, usipende kushikiwa akili na mtu jaribu kutumia akili yako na si tumbo lako.
 
Si ndio maana tunajenga na Kiwanja cha ndege ili siku tuwe tunakwenda na Kurudi. (Saa mbili yupo Ofisini ikulu jioni anarudi Chato, ni mwendo huo huo mpaka awamu iishe)
Inasikitisha kuona mtu anasafiri sana nje kuliko safari za kuwaona wazazi wake by JPM 2015
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom