yupo mmoja wadawa!Hivi kuna Waziri , Naibu Waziri toka Arusha NA Kilimanjaro
Unafikiri Angela Kairuki ni Mhaya!? Kalagabaho ubaki na Ubaguzi wako.Hivi kuna Waziri , Naibu Waziri toka Arusha NA Kilimanjaro
Utakwenda jela kama Lema endelea tuoneSalaam Wakuu.
Takribani ni Mwaka mmoja toka Serikali ya Awamu ya 5 ishike hatamu naona Trip za Wakubwa zaidi kwanzia PM zaidi ya 90% ni Kusini, yaani Lindi na Mtwara, mathalani PM baada ya Kutoka tu Arusha Juma lililopita kapitiliza Mtwara na leo hii Ruangwa ambako ndiyo jimbo lake, ni zaidi ya mara 3 anashinda huko wakati kuna Mikoa hajakanyaga Kusikiliza Kero za Wananchi wao wenyewe maana ndiyo inatia Uzito. Ikumbukwe ni Waziri Mkuu na si Mbunge wa kawaida.
Naye Mkulu toka State House ndiyo Kabisaaa, ameenda Chato naye si Chini ya Mara 3 na leo yupo huko kwa kisingizio eti kaenda Msibani.Mbona Bukoba walikufa Watanzania na wengi zaidi na jirani na Chato ila hajawahi Kanyaga?
Kama wewe si wa Kusini ama Kanda ya Ziwa hususani Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita nje na Dar es Salaam utasubiri saana.Kumbuka Ukweli hisia huja zaidi baada ya Kujionea.
Aliyoyakataza Muasisi wa Taifa hili la Tanznaia Hayati; Mwl. JK Nyerere yaani, Ukabila, Ukanda na Udini yanarejea kwa Kasi ya Ajabu saana, kwa Pamoja wapenda Tanzania tuyapinge kwa nguvu zetu zote.
Tatizo la Nchi hii ni wapiga Kura wasio na elimu na tume ya uchaguzi. Kimsingi watu wengi wamesha mkinai na kwahakika hawata mpa kura 2020 ila tume watasoma matukio kinyumenyume.Labda 2020 kudanganya wakati wa Kuomba Kura.
Ukitaka uzimie fuatilia wakurugenzi wa Halmashauri karibu asilimia 70 wanatoka kanda pendwa yaani karibu na inakotoka kofia. Mungu awape nini awamu hii?Unafikiri Angela Kairuki ni Mhaya!? Kalagabaho ubaki na Ubaguzi wako.
Usihofu bado ana miaka 4 atakuja tu.nakumbuka kijamaa kilisema kinazunguka nchi nzima kuwashukuru waliompigia kura,alianza kanda ya ziwa akahusisha na baadhi ya mikoa along mwanza dar road tu..zenji alienda kumwaga sumu za fitna..
sijui mbeya tulikomzomea 2015 atakuja lini kutushukuru wapiga kura ?
Hebu tuambie akija huko itafaidika na nini?If that is the case, during campaign the Ogah should let RC's campaign for him.
Kwahiyo unataka kijijini kwenu mjengewe international airport?Ukanda ni muhimu katika strategies of development planning but such plans should be distributed equally and fairly.
kusini ipi mkuu? huu ni uwongo uliopitilizansumaye alimaliza miaka kumi hakuwahi kukanyaga kusini
Umeandika uongo uliopitiliza,hawa watu hawapo ziarani acheni kupotosha kwa maksudi wapo likizo,wewe xmass umeenda kwenu ulitaka wakiwa likizo waje kwako acha umbeaMkuu wewe ni typical mtanzania, yaani kichwa kigumu kuelewa na kujiongeza. Teuzi zimekuwa na uelekeo wa upande mmoja, ziara ndio huko unakosema, majanga ya wakulima na wafugaji hayajasemewa, tetemeko limetelekezwa, wengine wamebomolewa nyumba bila hata kauli ya kuwafariji ila machinga wa Mwanza waliotolewa waliko kinyume na sheria wakazuiliwa kuondolewa na viongozi wakaonesha wanajua hadi eneo la Kiloleli hakuna biashara. Hapo haujongelea fedha ya nini sijui ikajenge rami huko. Barabara niliyopita 1990 kule mbeya wakati naenda kuanza form one hadi leo tunabanana humo humo yaani toka Simike hadi Nzovwe kama una ka Vitz halafu kako chini kananata barabarani matairi yanabaki yanaelea. Nchi ina wenyewe saizi wanalipiza kaskazini walivyokula bata kwa hiyo kama hauko Ntwara Lindi, hauko Kaskazini ambako wameshiba tayari na hauko Ziwa ambako ndio zamu yao kula, ishia kuchekea chooni tu
Huu uzi umeandikwa kinafiki sana. Kaka Kassim alikuwa Arusha ambapo amekaa wiki nzima akishughulikia suala la faru John na mengine ya kiserikali. Ina maana Arusha ndipo alipozaliwaa waziri mkuu?.Salaam Wakuu.
Takribani ni Mwaka mmoja toka Serikali ya Awamu ya 5 ishike hatamu naona Trip za Wakubwa zaidi kwanzia PM zaidi ya 90% ni Kusini, yaani Lindi na Mtwara, mathalani PM baada ya Kutoka tu Arusha Juma lililopita kapitiliza Mtwara na leo hii Ruangwa ambako ndiyo jimbo lake, ni zaidi ya mara 3 anashinda huko wakati kuna Mikoa hajakanyaga Kusikiliza Kero za Wananchi wao wenyewe maana ndiyo inatia Uzito. Ikumbukwe ni Waziri Mkuu na si Mbunge wa kawaida.
Naye Mkulu toka State House ndiyo Kabisaaa, ameenda Chato naye si Chini ya Mara 3 na leo yupo huko kwa kisingizio eti kaenda Msibani.Mbona Bukoba walikufa Watanzania na wengi zaidi na jirani na Chato ila hajawahi Kanyaga?
Kama wewe si wa Kusini ama Kanda ya Ziwa hususani Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita nje na Dar es Salaam utasubiri saana.Kumbuka Ukweli hisia huja zaidi baada ya Kujionea.
Aliyoyakataza Muasisi wa Taifa hili la Tanznaia Hayati; Mwl. JK Nyerere yaani, Ukabila, Ukanda na Udini yanarejea kwa Kasi ya Ajabu saana, kwa Pamoja wapenda Tanzania tuyapinge kwa nguvu zetu zote.
Halafu wajinga wajinga wanasapoti ujinga kama huu. Ukanda na Ukabila vitatugawa hakika.Pm amezuru kwao mara 4 ndani ya mwaka 1.
> mara ya kwanzai....akatoa kauli ya kupiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa.
>mara ya pili ...akakagua shule ya sekondari iliyo ungua.
>mara ya 3 ...akafungua duka la msd
>mara ya 4 ndo sasa.
mbona mikoa mingine hajakanyaga hata mara 1?