Ushauri: Sijapata mtoto kwenye ndoa nahitaji wa kuzaa naye nje. Naumia kwa msongo wa mawazo (Depression)

Mao ze dong

JF-Expert Member
Aug 28, 2012
941
1,006
Natumai wote mu wazima wa afya .

Mimi ni kijana wa miaka 31 kwasasa na toka niko na miaka 25 nilikua na hamu sana ya kupata mtoto na kuwa na familia kiujumla. Kama unavyojua maisha ya ujana kuna ujinga na makosa mengi tunafanya, nikiri kwamba nilifanikiwa kuwapa mimba mabinti wawili katika mahusiano ya nyuma katika vipindi tofauti, ila wote walizitoa kitendo ambacho kiliniuma sana sababu ikiwa ni mapema kwao kuwa mama maana pia bado walikua wanasoma na walikua kwa wazazi wao hivyo waliogopa kuzalia nyumbani.

Mwaka juzi mwez wa 4 nilifanikiwa kufunga ndoa na mimi na mke wangu hatuja fanikiwa kupata mtoto.

Mke wangu huwa hormone zake hazija balance na inaweza kupita ata miezi mi 3 hajaona period. Tumeenda hospitali na kutumia madawa ya kienyeji ila bado haijakaa sawa.

Nampenda mke wangu sana na nina msapoti sana ila nimefika maali nakata tamaa maana pia umri wanguunasonga na ninaumia sana kutokua na wakuniita baba.

NAHITAJI WA KUZAA NAE KWA MASHARTI MADOGO TU.

Sijawai kuwaza kutoka nje ya ndoa yangu kwani mimi sio mtu wa wanawake sana na muda mwingi nipo kimya na kwa umri wangu sasa sio mtu wakufikiria pisi bali kujenga familia.

Nahitaji mdada wa kuzaa nae tu ata mtoto mmoja tu na mimi niitwe baba maana kuna wakat nawaza napambana sana kutafta pesa ila namtaftia nani kama sina mtoto.

Niko tayari kumuudumia yeye na mtoto na tutapanga malezi ya uyo mtoto kwa kadri ya makubaliano yetu. Kipato changu sio kikubwa sana ila kinatosheleza mahitaji ya msingi na kufanya maendeleo.

Kwetu tumezaliwa wa tatu, wanaume wawili na msichana mmoja na ndugu zangu wote wamebaatika uzao wa mapacha. Natamani sana namimi nishike wangu

Kwasasa nina miradi niliyo wekeza na nahitaji kuwa na warithi (watoto) maana maisha haya hatujui wakati gani unadondoka.

Kimuonekano mimi ni mrefu, maji ya kunde na kitaaluma mimi ni IT. Aina ya mdada ambaye ningependa kuzaa nae awe tu ni mature, mwenye malengo, msikivu na anayependa kujishughulisha. Asizidi miaka 30

Kama upo tayari please nitumie message kupitia telegram kwa kubonyeza link apo chini or njoo inbox apa apa jf.

Nina mengi ya kuandika kwa hali ninayopitia ila naomba niishie apa kwa leo.
images%20(2).jpg
 
View attachment 2233943
Mzeya vipi tufanye exchange...mie nipe mkeo mie nikupe gelofrend wangu maana ananisumbua anataka mtoto wakati mie sina mpango wakuwa baba maishani mwangu.

Huyo mke wako naona atanifaa mie
 
Mruhusu mkeo aje kwangu atashika ujauzito alafu mtoto atakuwa wakwenu Mimi ninao wananitosha

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Balaa wapi bwana...wewe unadhani mie kwa ugegedaji wangu huu nijaribu kuzaa sii karma itahakikisha napata mtoto wa kike ili na mie nisikie uchungu jinsi vihandsome boy vitakavyokiwa vinavyo mpelekea moto mbususu yake.
Au mbaya zadi naweza nikamkula mwenyewe hiyo mbususu kama ni mzuri sana
Aisee,mshkaji umeshindikana mazima
 
Mwaka juzi umefunga ndoa..Leo unakata tamaa...
Mi nna ndugu yangu anapewaga maono ndotoni mmea mmoja anaujua mwenyewe anawachemshia watu anawapa for free na mimba wanashika.
Ameshasaidia mpaka mabosi government wake zao.marafiki nk.
Usikate tamaa mapema.kuna wenye miaka kumi hawana watoto
Mmea uliopo kwenye avara yangu siyo!
 
Mkuu usikate tamaa mbona wengi wanapitia changamoto kama zako lakini Mungu huwakumbuka.

Mimi baada ya kuoa nilikaa miezi 8 hivi hola japo kila mwezi wife ana bleed na tunatiana mwanzo mwisho, ikabidi niende hapo rabinisia hospital nikapewa dawa za kuimalisha sperm lakini wapi ikagoma, nikahama hospital nikaenda kairuki Kwa doctor mmoja maarufu kama Piere akamuandikia dawa ( nakumbuka ilikuwa kama lectrozole kama sijakosea) wife vidonge 5 nikalipia 10K, huwezi amani wife alimeza na mwezi huo huo akanasa.
Mbaya zaidi tukaona tusitumie majira Bali tutumie kalenda kutokana na changamoto tumeopitia yaani mtoto Ile kafika miezi 6 akanasa nyingine, hapa hata hamu Sina tena ya kutaka watoto.
 
Back
Top Bottom