Sasa Lema, Nassari na CHADEMA wataamka?

Sasa Lema, Nassari na CHADEMA wataamka?

Hata Gwajima nae kwenye isssue ya Bashite alikuwa ananikera sana kuonyesha imani kuwa mkulu atachukua hatua wakati ndio kwanza alikuwa anamlinda.

Ifike mahali waacha kuonyesha imani na huyu mtu maana hawasikilizi.
Sidhani Kama Gwajima alikuwa Mjinga Yule ni Askofu Alitumia Diplomasia, Ila Bila shaka Ukweli atakuwa aliujua!
 
You have spoken my mind. Kiukweli huu ndio muda wa chadema Ku react na kuonyesha nguvu ya umma. Vinginevyo wasipoidai haki kwa nguvu hakuna atakeileta hiyo haki kwenye sahani. Niliwahi kutanabahisha baada ya kulegalega yale maandamano ya UKUTA, nikasema muchelea mwana kulia, hulia mwenyewe. Sekretarieti ya chadema walipaswa kuliona hili mapema.
Amani haiji ila kwa ncha ya upanga. Alamsiki!!
Hakunna haja ya kuandamana, Maandamano ni ujinga mtupu! Mtapigwa Mabomu, na hamfanikishi lolote
 
Hata wakikosa ubunge ni wao hawana msaada wanashinda DSM
 
TL Marandu, thank you very much kwa ujumbe mzuri kwa CHADEMA na vyama vilivyo nje ya serikali kwa ujumla (waweza kusema "vya upinzani")

Kusema ukweli mimi niliwashangaa sana akina Nassari na Godbless Lema na pengine CHADEMA kwa ujumla wake..

Walichokuwa wanakifanya kwa kutomwaga ishu nzima wazi kwa umma ni kana kwamba nao walikuwa wanaweka mtego wa kununuliwa kama haohao wanaowatuhumu kuwa wamenunuliwa...!!

Yaani ni kana kwamba walikuwa wanawaambia wahongaji kuwa "....tuliwanasa mlipokuwa mnahonga, sasa kama hamtaki tuwaweke hadharani njooni tuelewane..... "

Kwa lugha ya kiingereza ni kana kwamba walikuwa wanam - blackmail mwizi ili alete alichoiba kisha wagawane na mambo yaishie hapo....!!

Kwa kweli sijui ni kwa nini upinzani wa Tanzania hauwi na ubunifu wa kuja na mbinu aggressive zaidi za kisiasa kupambana na CCM hii ambayo kwa vipimo vyovyote ni dhaifu zaidi kuliko CCM ya miaka miwili iliyopita...... CCM ya akina Nnape Moses Nnauye!!

Kwa kweli wanapaswa kuamka ili hata sisi tunaowaunga mkono huku mitaani japo si wanachama wao, tuone kuwa they are doing something...!!
sema wafanyeje, propose the way out in a pieceful , lawful manner
 
Hakunna haja ya kuandamana, Maandamano ni ujinga mtupu! Mtapigwa Mabomu, na hamfanikishi lolote
Marandu, it is now boring, propose what to do in a lawful, democratic and peaceful manner. Kama unashindwa kutoa what next then usiwalamu maana na wewe huna jibu
 
Dah.....Tatizo chadema...Mwenyekiti ana malengo tofauti na wanachama..akishayapata basi anakula bata tû[emoji41] [emoji87] [emoji13]
 
That is Bs, Its only Fear! I wish Hawa Waliofukia Vichwa vyao kwenye Mchanga Kama Mbuni, na Madharau ya Kijinga! 1996 Niliwaambia NCCR akina Ndimara Tegambwage, Ujinga wa wa Kugombana bila Mpango utawacost, NCCR by then walikuwa na Wabunge 25 Sasa NCCR wana Wabunge Wangapi?
Hakuna aise. Nccr had 25 mps? Sikujua. Kwani hawa chadema wana wabunge wangapi sasa hivi.
 
CHADEMA inafutika rasmi mwaka 2020. Watu wana majority lakini hawaitumii. Kwani kilichotokea ni kipi hadi Meya wa Kinondoni akatangazwa mshindi?
Kama CHADEMA wanadhani watashinda huo mwaka 2020, wanapaswa kujiuliza sana hilo swali, Je, hata wakishinda halafu akatangazwa mwingine watafanya nini? Je, waliwahi kufanya nini hapo kabla.
Wakuu wa wilaya na wakurugenzi wote wamewekwa pale kimikakati na ndiyo maana hivi sasa wote wapo chini ya ofisi ya rais ready kupokea direct order kutoka kwake.
Ya Jecha, Lipumba, Meya wa Kinondoni yotw tumeyaona. Ni kipi kimefanyika kuonyesha kuwa safari hawatakubali. Imeshadhihirika kuwa mbele ya Polisi hakuna mtanzania wa kuinua pua hata ashikweje makalio. Kosa kubwa la Upinzani wa Tanzania kwa sasa ni kuwa na mtu au watu kama Lowasa na Maalim Seif. Hata CUF haikuimarika au kutikisa nchi sababu ya Maalim bali ni sababu ya Lipumba.
 
Gaddaf alimiliki bunduki kubwa kuliko hizo zenu na amekwenda .
Kuna weza kukawa na mazingira fulani ya kufanana kwa hali ilivyokuwa Libya na Tanzania. Lakini hakuna mfanano wowote ule kati walubya na watanzania.
Kuna mifananisho ilitolewa miaka ya nyuma juu watanzania na hiyo mifanano ndiyo umewakaa na kuwagandeni kama laana.
Ule msemo kwamba Jomo Kenyatta aliwahi kumwambia Nyerere kuwa yeye anaongoza wagonjwa lakini Nyerere anaongoza maiti.
Mbili, ule msemo wa rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi kwamba Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu. Hizo laana hazitakuja kuwatoka na matokeo yake mtakuja kuchagua hadi wendawazimu ili wawaongoze.
Zaidi katika mazingira ya sasa hakuna kijana wa kitanzania anateweza akafanya vurugu. Sababu ni Kwanza, kila kijana ana account kwenye social media, pili kila mmija ana miliki simu yenye camera, tatu kila mmija anataka kuwa reporter sasa hapo utampata nani? Kuna siku nadhani ni mwezi wa August or July nilifika hapo 'Small Fishing Village', nikaona vijana kama 8 au 10 wa CHADEMA wanaandamana kutoka maeneo ya Ubungo nadhani wakipitia Manzese na Magomeni ili kwenda Kinondoni. Waandamanaji walikua nane au kumi tu huku mvua ikinyesha, lakini waliosimama pembeni ya barabara, majumbani na pembeni ya biashara zao na kwenye magari kushuhudia tukio lile nadhani walikua ni zaidi ya 13,000 kwa uchache na nina uhakika waliolipiga picha tukio lile kwa simu zao ni zaidi ya watu 700.
Hebu fikiria vizuri unapojaribu kutegemea mabadiriko kwa watu na jamii ya aina hii. Watanzania mjikubali tu mlivyoumbwa kwamba mliumbwa hivyo hivyo mlivyo.
Yanayotokea yataendelea kutokea mpaka nature itakapoamua kuyabadirisha, wala siyo ninyi kupitia masanduku ya kura wala bunge wala maandamano.
Amkeni mkuu.
 
Kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu CHADEMA, bado hawaamini kuwa uhuni wanaofanyiwa unatokea mbali zaidi ya polisi, zaidi ya wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa. Nilikuwa nikiwasikiliza Lema na Nassari walivyokuwa wakidai watampelekea mh. Rais ushahidi wa madiwani kuhongwa nikasikia kichefuchefu!

Nafikiri nilisema mahali ninyi toeni huo ushahidi, in public, sasa baada ya kubezwa na TAKUKURU na Mnyeti kupewa ukuu wa mkoa, kupandishwa, nadhani akili itawajia. Maana walichokuwa wakikifanya ni kumtumia mtu ujumbe kuwa, "The magic of fear is working"

Na kama hawatakuwa na mkakati wa pamoja wa kujua namna ya kupambana kisiasa very forcefully, 2020 wakibakizwa wabunge 5 wa CHADEMA niiteni mbwa!

Why I say so!

1) Kama mwenzenu anapigwa risasi mchana kweupe, reaction inakuwa ni unyonge, ukishinda ubunge wakamtangaza mwingine utafanyaje?

2) Kama Kigaila anakamatwa na polisi kwa kuhoji kwanini Makonda anazunguka na wenye bunduki reaction yenu inakuwa hii, mkinyang'anywa ubunge mtaweza kufanya nini?

3) Kama mtu bustani zako zinaharibuwa unalia lia unajibu uhuni kwa sheria ukinyang'anywa ubunge hata kama umeshinda kwa asilimia 90% utafanyaje!

4) Hivi neno, " Jecha apewe tuzo" linaashiria nini kwenu?

5) Hivi pamoja na kuonyesha wazi Mnyeti alihusika kuhonga madiwani na bado akapandishwa cheo inaashiria nini kwenu!

6) Kilichonichefua Kuliko vyote Ni pale Lipumba alipowafukuza Wabunge halali na Akawachagua Wabunge Ndondocha fake! Kwa msaada wa Ndugai na Magufuli, Reaction ya Ukawa Ikawa ya Kijinga Kijinga, ati wanakimbilia Mahakamani! 2020 Mmeshamthibitishia Magufuli Magic yake ya Uhuni, It actually works! Mtaona Undundu Mtakaofanyiwa!

Endeleeni kulia goodluck, pengine mtaonewa huruma! Guys mnachokifanya ni kutuma ujumbe kuwa hata mfanyiwe nini hamwezi fanya lolote, "And the envelopes will be pushed real far in 2020 by the look of things"

Halafu acheni madharau!
Umeeleza vizuri sana, kuna haja ya kufanya mojawapo kati ya haya,
1. To every action there should be equal & opposite reaction, tengeneza national resistance movement, vinginevyo wataendelea kutu Lissu
2. Tell the public sizonje anatuuwa kwa kuikosoa serikali yake, make public list of all the victims, kisha waambieni umma kwamba ktk mazingira haya tumeamua kukaa kimya hadi hapo huyo mungu wa Tz atakapoona vinginevyo

Mkifanya moja kati ya haya mtakuwa mmeende hatua moja mbele, tofauti na kila siku kulalamika kwa njia ile ile na kwa watu wale wale lakini mnatarajia matokeo tofauti, honestly ni uwendawazimu.

Kifupi ccm ni ile ile iliyoua cuf, cdm na wengine toka enzi za mkapa, kikwete na sijui ni kwa akili ipi mnayotumia kuwa sasa ni tofauti zaidi, in fact sizonje ndo anasaidia kujenga kesi kwa umma kuwa hili genge la sasa ni ile ile iliyokuwepo enzi za nyerere onwards, so hawana jipya, mfano aliyemuweka makonda bashite dc ni kikwete! Where is the difference?
 
Wakati Tundu Lissu Alipopigwa Risasi Walikuwa na Window ya Opportunity ya Kufanya Anything! Watanzania Wangeelewa! Africa Ingewaelewa na Dunia Ingewaelewa, Nawapongeza sana Kwa Reaction yao ya Jinsi walivyomuondoa Tundu Lissu Tanzania Kwenda Kumtibu, Lakini wasingeishia Pale! Walitakiwa Wafanye "Meseji" Ambayo aliyefanya Uhuni ule hata angepewa Miaka 100 Kuishi, Inge ring kwenye Masikio yake Don't dare to Do it ever, ever again" Lakini Reaction yao nilivyoisoma Whoever aliyeagiza Lissu Apigwe Risasi! Na aliyesimamia Zoezi lile la Kishetani, basi walipata Meseji, " The Magic Works!"

I WILL MAKE A VIDEO SOON TO ELABORATE THIS ISSUE, STAY TUNED!
 
Kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu CHADEMA, bado hawaamini kuwa uhuni wanaofanyiwa unatokea mbali zaidi ya polisi, zaidi ya wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa. Nilikuwa nikiwasikiliza Lema na Nassari walivyokuwa wakidai watampelekea mh. Rais ushahidi wa madiwani kuhongwa nikasikia kichefuchefu!

Nafikiri nilisema mahali ninyi toeni huo ushahidi, in public, sasa baada ya kubezwa na TAKUKURU na Mnyeti kupewa ukuu wa mkoa, kupandishwa, nadhani akili itawajia. Maana walichokuwa wakikifanya ni kumtumia mtu ujumbe kuwa, "The magic of fear is working"

Na kama hawatakuwa na mkakati wa pamoja wa kujua namna ya kupambana kisiasa very forcefully, 2020 wakibakizwa wabunge 5 wa CHADEMA niiteni mbwa!

Why I say so!

1) Kama mwenzenu anapigwa risasi mchana kweupe, reaction inakuwa ni unyonge, ukishinda ubunge wakamtangaza mwingine utafanyaje?

2) Kama Kigaila anakamatwa na polisi kwa kuhoji kwanini Makonda anazunguka na wenye bunduki reaction yenu inakuwa hii, mkinyang'anywa ubunge mtaweza kufanya nini?

3) Kama mtu bustani zako zinaharibuwa unalia lia unajibu uhuni kwa sheria ukinyang'anywa ubunge hata kama umeshinda kwa asilimia 90% utafanyaje!

4) Hivi neno, " Jecha apewe tuzo" linaashiria nini kwenu?

5) Hivi pamoja na kuonyesha wazi Mnyeti alihusika kuhonga madiwani na bado akapandishwa cheo inaashiria nini kwenu!

6) Kilichonichefua Kuliko vyote Ni pale Lipumba alipowafukuza Wabunge halali na Akawachagua Wabunge Ndondocha fake! Kwa msaada wa Ndugai na Magufuli, Reaction ya Ukawa Ikawa ya Kijinga Kijinga, ati wanakimbilia Mahakamani! 2020 Mmeshamthibitishia Magufuli Magic yake ya Uhuni, It actually works! Mtaona Undundu Mtakaofanyiwa!

Endeleeni kulia goodluck, pengine mtaonewa huruma! Guys mnachokifanya ni kutuma ujumbe kuwa hata mfanyiwe nini hamwezi fanya lolote, "And the envelopes will be pushed real far in 2020 by the look of things"

Halafu acheni madharau!

kumbe unaweza andika kuamsha heroes within
 
Umeandika vizuri, tena sana, sasa wafanyeje? If it were you, what would you have done in a forceful way? Resistance ya ndani ni ngumu. sisi tuliwahi shuhudia Idd Amin, tunajua ugumu wa unachokiongea.

ha ha , ina maana seriously haujui cha kufanya??

siamini

acha ujinga
 
dhambi ya kumuabudu fisadi inawatafuna, hamna tena mwananchi anayeweza kuipigania CHagadema tena
 
Back
Top Bottom