Sijui, ebu nipe cha kufanya! (next time avoid neno ujinga, response yake inaweza ikakuudhi siku nzma. Confine yourself into philosophizing and not abusing!)ha ha , ina maana seriously haujui cha kufanya??
siamini
acha ujinga
Sijui, ebu nipe cha kufanya! (next time avoid neno ujinga, response yake inaweza ikakuudhi siku nzma. Confine yourself into philosophizing and not abusing!)ha ha , ina maana seriously haujui cha kufanya??
siamini
acha ujinga
No si kwamba tuko slow.tumeenda vizuri sana kwa kipindi chote.lakini tangu aingie Bob mikwara na mipango ya kuangamiza ni lazima tushtuke kabla hatujauliwa jumla.Imewachukua almost miaka 10 kung'amua hilo. Since before 2008, are you slow?
Tunawasubili kwa hamuhakuna hajaya kwenda msituni wasomali mbona wapo tena kwa bei nafuu
Tunawasubili kwa hamuhakuna hajaya kwenda msituni wasomali mbona wapo tena kwa bei nafuu
No si kwamba tuko slow.tumeenda vizuri sana kwa kipindi chote.lakini tangu aingie Bob mikwara na mipango ya kuangamiza ni lazima tushtuke kabla hatujauliwa jumla.
Na Mange Kimambi amechukua hatua gani Kamanda?Hata Gwajima nae kwenye isssue ya Bashite alikuwa ananikera sana kuonyesha imani kuwa mkulu atachukua hatua wakati ndio kwanza alikuwa anamlinda.
Ifike mahali waacha kuonyesha imani na huyu mtu maana hawasikilizi.
Gadafi Na CCM Na chadema Ni tofauti kabisa. Tulieni msome namba vizuri.Gaddaf alimiliki bunduki kubwa kuliko hizo zenu na amekwenda .
Hamna mbinu zaidi ya maandamanoUkweli mchungu. Chadema tunahitaji kubadili mbinu. wenzetu wana nguvu kubwa ya vyombo vya serikali.
Mtu unaenda kuandamana huku umeshajiandaa kutimua mbio!Hamna mbinu zaidi ya maandamano
sema wafanyeje, propose the way out in a pieceful , lawful manner
tuliza ball " mama kabombe"Hamna mbinu zaidi ya maandamano
usituvunje moyo tunajua tulipotoka ni wapi na mpaka sasa tumefika wapi.wewe endelea na chama chako cha manunuzi. acha tabia za kichawiPolitics is dynamic, hata kwa sasa mmeshachelewa, mmepoteza muda hivyo kucatch up sijui kama mtaweza kama ndio kwanza mnaanza kuzinduka.
Na doubt kwa sababu hamna vipaumbele, hamna mission, hamna strategy na kama ipo hiyo strategy basi it is not implementable; hamna mgawanyo wa majukumu (hamuamini katika delegation au hamuaminiani).
hahahaha anampelekea mtu ambaye hamtumbuiLema alisema amtambui Magufuli ghafla anataka kumpelekea ushaidi
Mbuzi nae anayo pembe japo azina thamani
Ni maneno magumu ila yana ukweli ndani mkuumimi huwa nawaita wazee wa kubweka, huwa nawafananisha wapinzania wa Tanzania kama mbwa koko (samahani kwa hili)... sifa za wapinzania wa Tanzania hazina tofauti na mbwa koko, na CCM pia wanalijua hili lakini hii pia ni sifa ya watanzania kubweka bweka bila kuwa na suluhu ya tatizo..
usituvunje moyo tunajua tulipotoka ni wapi na mpaka sasa tumefika wapi.wewe endelea na chama chako cha manunuzi. acha tabia za kichawi
Tunawasubili kwa hamu
Sisi tutasoma Namba na kulia machozi, Ila Wewe iko siku utaona Nyota nyota na kulia Machozi ya Damu, Siku ukiona SAMwel Doe2 Akifufukia Tanzania na Kupaa Mawinguni Kama Tai.Gadafi Na CCM Na chadema Ni tofauti kabisa. Tulieni msome namba vizuri.
Ndoto za AlinachaSisi tutasoma Namba na kulia machozi, Ila Wewe iko siku utaona Nyota nyota na kulia Machozi ya Damu, Siku ukiona SAMwel Doe2 Akifufukia Tanzania na Kupaa Mawinguni Kama Tai.
Kuna Jamaa Mmoja Anaitwa SAMweli Nilisoma habari zake, ushuhuda wake ni Kiboko! He may give us a lesson!