Sasa Lema, Nassari na CHADEMA wataamka?

Sasa Lema, Nassari na CHADEMA wataamka?

hivi salum mwalim bado hamjamuelewa jamani? huyu kamanda ni " next level" si muoga hebu mpeni majukumu aisee.
 
Kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu CHADEMA, bado hawaamini kuwa uhuni wanaofanyiwa unatokea mbali zaidi ya polisi, zaidi ya wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa. Nilikuwa nikiwasikiliza Lema na Nassari walivyokuwa wakidai watampelekea mh. Rais ushahidi wa madiwani kuhongwa nikasikia kichefuchefu!

Nafikiri nilisema mahali ninyi toeni huo ushahidi, in public, sasa baada ya kubezwa na TAKUKURU na Mnyeti kupewa ukuu wa mkoa, kupandishwa, nadhani akili itawajia. Maana walichokuwa wakikifanya ni kumtumia mtu ujumbe kuwa, "The magic of fear is working"

Na kama hawatakuwa na mkakati wa pamoja wa kujua namna ya kupambana kisiasa very forcefully, 2020 wakibakizwa wabunge 5 wa CHADEMA niiteni mbwa!

Why I say so!

1) Kama mwenzenu anapigwa risasi mchana kweupe, reaction inakuwa ni unyonge, ukishinda ubunge wakamtangaza mwingine utafanyaje?

2) Kama Kigaila anakamatwa na polisi kwa kuhoji kwanini Makonda anazunguka na wenye bunduki reaction yenu inakuwa hii, mkinyang'anywa ubunge mtaweza kufanya nini?

3) Kama mtu bustani zako zinaharibuwa unalia lia unajibu uhuni kwa sheria ukinyang'anywa ubunge hata kama umeshinda kwa asilimia 90% utafanyaje!

4) Hivi neno, " Jecha apewe tuzo" linaashiria nini kwenu?

5) Hivi pamoja na kuonyesha wazi Mnyeti alihusika kuhonga madiwani na bado akapandishwa cheo inaashiria nini kwenu!

Endeleeni kulia goodluck, pengine mtaonewa huruma! Guys mnachokifanya ni kutuma ujumbe kuwa hata mfanyiwe nini hamwezi fanya lolote, "And the envelopes will be pushed real far in 2020 by the look of things"

Halafu acheni madharau!
You have spoken my mind. Kiukweli huu ndio muda wa chadema Ku react na kuonyesha nguvu ya umma. Vinginevyo wasipoidai haki kwa nguvu hakuna atakeileta hiyo haki kwenye sahani. Niliwahi kutanabahisha baada ya kulegalega yale maandamano ya UKUTA, nikasema muchelea mwana kulia, hulia mwenyewe. Sekretarieti ya chadema walipaswa kuliona hili mapema.
Amani haiji ila kwa ncha ya upanga. Alamsiki!!
 
Umeandika vizuri, tena sana, sasa wafanyeje? If it were you, what would you have done in a forceful way? Resistance ya ndani ni ngumu. sisi tuliwahi shuhudia Idd Amin, tunajua ugumu wa unachokiongea.
inawezekana hawajaamua tu hakuna lisilowezekana.
 
Jamani kwani uma wa Tanzania ni wajinga? Kwani hawaoni yanayofanyika?
Mbona mnataka watu wauawe bure? Wacha watawale ccm mpaka mwisho wa dunia. Kwani hii nchi ni ya chadema ama CUF tu. Wapiga kura wote wana majukumu.
 
Kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu CHADEMA, bado hawaamini kuwa uhuni wanaofanyiwa unatokea mbali zaidi ya polisi, zaidi ya wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa. Nilikuwa nikiwasikiliza Lema na Nassari walivyokuwa wakidai watampelekea mh. Rais ushahidi wa madiwani kuhongwa nikasikia kichefuchefu!

Nafikiri nilisema mahali ninyi toeni huo ushahidi, in public, sasa baada ya kubezwa na TAKUKURU na Mnyeti kupewa ukuu wa mkoa, kupandishwa, nadhani akili itawajia. Maana walichokuwa wakikifanya ni kumtumia mtu ujumbe kuwa, "The magic of fear is working"

Na kama hawatakuwa na mkakati wa pamoja wa kujua namna ya kupambana kisiasa very forcefully, 2020 wakibakizwa wabunge 5 wa CHADEMA niiteni mbwa!

Why I say so!

1) Kama mwenzenu anapigwa risasi mchana kweupe, reaction inakuwa ni unyonge, ukishinda ubunge wakamtangaza mwingine utafanyaje?

2) Kama Kigaila anakamatwa na polisi kwa kuhoji kwanini Makonda anazunguka na wenye bunduki reaction yenu inakuwa hii, mkinyang'anywa ubunge mtaweza kufanya nini?

3) Kama mtu bustani zako zinaharibuwa unalia lia unajibu uhuni kwa sheria ukinyang'anywa ubunge hata kama umeshinda kwa asilimia 90% utafanyaje!

4) Hivi neno, " Jecha apewe tuzo" linaashiria nini kwenu?

5) Hivi pamoja na kuonyesha wazi Mnyeti alihusika kuhonga madiwani na bado akapandishwa cheo inaashiria nini kwenu!

Endeleeni kulia goodluck, pengine mtaonewa huruma! Guys mnachokifanya ni kutuma ujumbe kuwa hata mfanyiwe nini hamwezi fanya lolote, "And the envelopes will be pushed real far in 2020 by the look of things"

Halafu acheni madharau!

TL Marandu, thank you very much kwa ujumbe mzuri kwa CHADEMA na vyama vilivyo nje ya serikali kwa ujumla (waweza kusema "vya upinzani")

Kusema ukweli mimi niliwashangaa sana akina Nassari na Godbless Lema na pengine CHADEMA kwa ujumla wake..

Walichokuwa wanakifanya kwa kutomwaga ishu nzima wazi kwa umma ni kana kwamba nao walikuwa wanaweka mtego wa kununuliwa kama haohao wanaowatuhumu kuwa wamenunuliwa...!!

Yaani ni kana kwamba walikuwa wanawaambia wahongaji kuwa "....tuliwanasa mlipokuwa mnahonga, sasa kama hamtaki tuwaweke hadharani njooni tuelewane..... "

Kwa lugha ya kiingereza ni kana kwamba walikuwa wanam - blackmail mwizi ili alete alichoiba kisha wagawane na mambo yaishie hapo....!!

Kwa kweli sijui ni kwa nini upinzani wa Tanzania hauwi na ubunifu wa kuja na mbinu aggressive zaidi za kisiasa kupambana na CCM hii ambayo kwa vipimo vyovyote ni dhaifu zaidi kuliko CCM ya miaka miwili iliyopita...... CCM ya akina Nnape Moses Nnauye!!

Kwa kweli wanapaswa kuamka ili hata sisi tunaowaunga mkono huku mitaani japo si wanachama wao, tuone kuwa they are doing something...!!
 
Hili suala la wakiamua kufanya hivi watafanyeje,siyo la CHADEMA peke yao ni la watanzania wote,watafanyeje wakiamua kubadilisha katiba na kujipa utawala wa maisha,watanzania watafanyeje,wakiamua kuifanya nchi kutawaliwa kwa mfumo wa kijeshi watanzania watafanyeje,wakiamua kuwa Mankurunzinza,Makagame na Mamuseveni wa Tanzania watanzania watafanyeje?.
ni sawa mkuu lakini lazima tuwe na viongozi imara laa sivyo tutaisha wote
 
Andamana tuone,miaka miwili sasa no maandamano hi awamu nyingine mkuu
Nimekuuliza swali rahisi tu?! Kwani awamu hii wao wana nini??!! si ni binaadamu tu wenye damu, nyama na mifupa??!!

Hulka ya WaTz ni ya amani, hata bila ya vitisho vya wanasiasa wanaojiona miungu watu!!

Cairo's
 
Hakuna haja yakulaumiana nchi hii ni yakwetu sote. Kila mmoja wetu anaona demokrasia inavyovurugwa na mtu mmoja. Na hili liko wazi kuwa yuko tayari kutumia gharama zozote kuhakikisha hakuna mwingine atakayesikika zaidi yake. Ukiangalia mihimili yote mitatu yeye ndiye anaewapangia na kutoa maelekezo namna yakuendesha shughuli zao.
Kwa maana hiyo basi suala la demokrasia si vita vyepesi vyakuwaachia watu fulani hasa viongozi wa upinzani peke yao bali ni muhimu sana kwa kila mpenda demokrasia aanze na mapinduzi ya fikra ndani ya nafsi yake. Ukifanikiwa ktk hilo basi utakuwa umepata njia yakuwsongoza wenzako ktk mapinduzi yakweli ya demokrasia ndani ya nchi yetu.

Kwakweli inasikitisha sana hasa pale chama tawala wanaposema kwa kumpitia M/K wao Taifa kuwa rushwa ni adui wa haki na yuko tayari kupambana nayo kwa nguvu zake zote. Kumbe ni kwa wale maadui zake tu. Hili suala la watuhumiwa wa rushwa kuwapandisha vyeo eti kuwakomoa wapinzani kumbe nikujishushia heshima yake kama mpambanaji wa rushwa.

Kwa upande mwingine msifikiri kaminya tu demokrasia kwa wapinzani bali hata ndani ya chama chake hivyo mapinduzi na mgongano wa fikra kuna kila dalili yakuanzia huko. Huko nakuhakikishieni ndiko cheche zitakapoazia na wapinzani wataukoleza kwa kumwagia petroli. Hapo ndipo tutakapokuwa na sauti moja yakudai demokrasia yakweli kwa maendeleo ya taifa letu.
 
Wewe unaongea unachotamani kitokee.., wengi hapa wanaongelea hisia.Hata huyu mleta mada yupo USA anajifanya kuwapa watu moyo waingie MSITUNI,karusha picha na video kibao YOUTUBE bila mafanikio akiwa mbele ya HELICOPTER na madege ya kijeshi ya marekani,sijui anamtisha nani??.., Nimewahi kusema hapa mara nyingi huwezi shindana na serikali yoyote ulimwenguni ukabaki salama especially serikali kama ya Tanzania, ni mengi hamuelewi yanaondelea ,wakati mwingine serikali inaamua kufanya mambo kutokana na uhalisia inaouona ambao ni vigumu kuwashawishi watu waelewe. Ila mjue tu serikali ipo kazini na kwa ajili ya watanzania., Mambo yamebadilika sana,., sana. Kwa wale wachache ambao mmejaa ushabiki wa vyama na bado hamjaelewa mambo yalivyobadilika endeleeni na imani yenu, ila msimfate TL Marandu, atawapoteza He has nothing to lose,and by the way hes not even living in TZ no more. So ,act responsibly,THAT S ALL FOR NOW FOX.
 
Wewe unataka wafanyaje angali dola imeshikiliwa na mtu mmoja?? Kila kitu kinapelekwa kusheria na inaonesha kuna watu wako juu ya sheria
Huwezi Kutumia Sheria Kupambana na Wahuni ambao hao hao ndio sehemu ya Kusimamia Sheria, Lakini wameamua Kukufanyia Uhuni. Dawa ya Uhuni ni Uhuni 100x over!
 
Wewe unaongea unachotamani kitokee.., wengi hapa wanaongelea hisia.Hata huyu mleta mada yupo USA anajifanya kuwapa watu moyo waingie MSITUNI,karusha picha na video kibao YOUTUBE bila mafanikio akiwa mbele ya HELICOPTER na madege ya kijeshi ya marekani,sijui anamtisha nani??.., Nimewahi kusema hapa mara nyingi huwezi shindana na serikali yoyote ulimwenguni ukabaki salama especially serikali kama ya Tanzania, ni mengi hamuelewi yanaondelea ,wakati mwingine serikali inaamua kufanya mambo kutokana na uhalisia inaouona ambao ni vigumu kuwashawishi watu waelewe. Ila mjue tu serikali ipo kazini na kwa ajili ya watanzania., Mambo yamebadilika sana,., sana. Kwa wale wachache ambao mmejaa ushabiki wa vyama na bado hamjaelewa mambo yalivyobadilika endeleeni na imani yenu, ila msimfate TL Marandu, atawapoteza He has nothing to lose,and by the way hes not even living in TZ no more. So ,act responsibly,THAT S ALL FOR NOW FOX.
Hakuna anayemwambia yeyote Aende Msituni? Watu hawaendi Msituni Kupigana na Mtu Mmoja au wawili, Huo ni Ujinga wa Zamani sana!
 
Nyie mjaribuni, ndio mtatambua kwanini kuku hakojoi.
That is Bs, Its only Fear! I wish Hawa Waliofukia Vichwa vyao kwenye Mchanga Kama Mbuni, na Madharau ya Kijinga! 1996 Niliwaambia NCCR akina Ndimara Tegambwage, Ujinga wa wa Kugombana bila Mpango utawacost, NCCR by then walikuwa na Wabunge 25 Sasa NCCR wana Wabunge Wangapi?
 
Back
Top Bottom