Sasa Lema, Nassari na CHADEMA wataamka?

Sasa Lema, Nassari na CHADEMA wataamka?

Walikuwepo wakorofi na kibri zaidi yake wakaondoka.
Tupe mfano na waliondokaje?

Ccm ilishawadharau,

Yani leo hii mmemdampo Raila kisa ni rafiki wa magufuli, alafu unamshabikia Kenyata anaefanya kitu kilekile kilichotokea Zanzibar,

Sasa kwanini ccm wasiwaone ninyi ni mazuzu?
 
Tuliwahi kutoa mawazo kama haya ila kwa njia tofautii tukabaki kuitwa CCM buku 7

Iko wapi CHADEMA jeuri ya Dr.Slaa iko wapi BAVICHA tukutu ya John Heche
Kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu CHADEMA, bado hawaamini kuwa uhuni wanaofanyiwa unatokea mbali zaidi ya polisi, zaidi ya wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa. Nilikuwa nikiwasikiliza Lema na Nassari walivyokuwa wakidai watampelekea mh. Rais ushahidi wa madiwani kuhongwa nikasikia kichefuchefu!

Nafikiri nilisema mahali ninyi toeni huo ushahidi, in public, sasa baada ya kubezwa na TAKUKURU na Mnyeti kupewa ukuu wa mkoa, kupandishwa, nadhani akili itawajia. Maana walichokuwa wakikifanya ni kumtumia mtu ujumbe kuwa, "The magic of fear is working"

Na kama hawatakuwa na mkakati wa pamoja wa kujua namna ya kupambana kisiasa very forcefully, 2020 wakibakizwa wabunge 5 wa CHADEMA niiteni mbwa!

Why I say so!

1) Kama mwenzenu anapigwa risasi mchana kweupe, reaction inakuwa ni unyonge, ukishinda ubunge wakamtangaza mwingine utafanyaje?

2) Kama Kigaila anakamatwa na polisi kwa kuhoji kwanini Makonda anazunguka na wenye bunduki reaction yenu inakuwa hii, mkinyang'anywa ubunge mtaweza kufanya nini?

3) Kama mtu bustani zako zinaharibuwa unalia lia unajibu uhuni kwa sheria ukinyang'anywa ubunge hata kama umeshinda kwa asilimia 90% utafanyaje!

4) Hivi neno, " Jecha apewe tuzo" linaashiria nini kwenu?

5) Hivi pamoja na kuonyesha wazi Mnyeti alihusika kuhonga madiwani na bado akapandishwa cheo inaashiria nini kwenu!

Endeleeni kulia goodluck, pengine mtaonewa huruma! Guys mnachokifanya ni kutuma ujumbe kuwa hata mfanyiwe nini hamwezi fanya lolote, "And the envelopes will be pushed real far in 2020 by the look of things"

Halafu acheni madharau!
 
Marandu napenda analysis yako. Yo very right. Chadema need to change strategy, and no later but NOW.
 
Mioyo ya walio wengi inajua inachotaka, hatutishwi na speculation zenu
 
Hili suala la wakiamua kufanya hivi watafanyeje,siyo la CHADEMA peke yao ni la watanzania wote,watafanyeje wakiamua kubadilisha katiba na kujipa utawala wa maisha,watanzania watafanyeje,wakiamua kuifanya nchi kutawaliwa kwa mfumo wa kijeshi watanzania watafanyeje,wakiamua kuwa Mankurunzinza,Makagame na Mamuseveni wa Tanzania watanzania watafanyeje?.
 
TL amemalizia kwa kuwaambia waache madharau!Kulikoni? Kwa kweli mimi nimeona hapo tu.
Mara nyingi jamaa amewaambia wamtafute awaonyeshe jinsi ya kufanya mambo na kupambana na Jpm, wamempotezea. Na yeye anaamini, sababu yuko kwa Trump basi ana upeo kuliko wao. Wao labda wanamuona ni mbeba box au mchambisha vikongwe tu, matokeo, wamempotezea. Mwisho sisi ndio tunaogeleshwa kwenye povu hapa!
TL naye ni mbwekaji tu kama Mange. Aje aongelee hapa bongo.
 
Chadema ya Dr. Slaa pekee ndio ilikuwa ikiita press nchi inasimama na serikali inaogopa. Kwa sasa hakuna anayeweza sema akasikilizwa zaidi ya kupuuzwa tu.
 
Kuna kitu kinanishangaza sana kuhusu CHADEMA, bado hawaamini kuwa uhuni wanaofanyiwa unatokea mbali zaidi ya polisi, zaidi ya wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa. Nilikuwa nikiwasikiliza Lema na Nassari walivyokuwa wakidai watampelekea mh. Rais ushahidi wa madiwani kuhongwa nikasikia kichefuchefu!

Nafikiri nilisema mahali ninyi toeni huo ushahidi, in public, sasa baada ya kubezwa na TAKUKURU na Mnyeti kupewa ukuu wa mkoa, kupandishwa, nadhani akili itawajia. Maana walichokuwa wakikifanya ni kumtumia mtu ujumbe kuwa, "The magic of fear is working"

Na kama hawatakuwa na mkakati wa pamoja wa kujua namna ya kupambana kisiasa very forcefully, 2020 wakibakizwa wabunge 5 wa CHADEMA niiteni mbwa!

Why I say so!

1) Kama mwenzenu anapigwa risasi mchana kweupe, reaction inakuwa ni unyonge, ukishinda ubunge wakamtangaza mwingine utafanyaje?

2) Kama Kigaila anakamatwa na polisi kwa kuhoji kwanini Makonda anazunguka na wenye bunduki reaction yenu inakuwa hii, mkinyang'anywa ubunge mtaweza kufanya nini?

3) Kama mtu bustani zako zinaharibuwa unalia lia unajibu uhuni kwa sheria ukinyang'anywa ubunge hata kama umeshinda kwa asilimia 90% utafanyaje!

4) Hivi neno, " Jecha apewe tuzo" linaashiria nini kwenu?

5) Hivi pamoja na kuonyesha wazi Mnyeti alihusika kuhonga madiwani na bado akapandishwa cheo inaashiria nini kwenu!

Endeleeni kulia goodluck, pengine mtaonewa huruma! Guys mnachokifanya ni kutuma ujumbe kuwa hata mfanyiwe nini hamwezi fanya lolote, "And the envelopes will be pushed real far in 2020 by the look of things"

Halafu acheni madharau!
Wewe unashauri Chadema wafanye nini?
 
Kwa nilichokiona Tanga kwenye uchaguzi wa Meya,2020 CDM wakipata wabunge hata wawili natembe uchi kutoka kariakoo hadi kigoma ujiji.
 
Kweli TL. Marandu, kama opponent wako yuko tayari kuua huyo sio wa kumwendea kwa matamko, Chadema wanatakiwa kuwaonyesha advertise moja ambayo hawatasahau kiasi kwamba kila wakitaka kufanya hujuma lazima wajiulize mara mbili mbili, mtu anapigwa risasi mnajibu kwa press conference kweli?

Kuna haja ya CHADEMA kubadilika kuendana na hali halisi
Hahaha kwani wewe sio chadema.?

Kwenye kukaa mbele ya SMG unajifanya kutoa ushauri as if wewe ni CCM ingekua vizuri kama ungeshiriki kwa vitendo kisha utuletee mrejesho huku.

Viroba vimepigwa marufuku hao vijana wa kuandamana mtawapa nini? Hili ndio linamuumiza Mbowe akili.
 
Nyie mjaribuni, ndio mtatambua kwanini kuku hakojoi.
Hahaha waache huwa hawana madhara "nani wa kumvisha paka kengele" wanapeana hamsha hamsha hapa nyuma ya keyboards lakini wakikutana na mgambo tu mharo huu hapa 😀😀😀😀😀
 
Lowassa is a downfall for chadema am sorry to say this but it is a reality
 
tatizo lipo paleee kwa mtu mmoja anaitwa KATIBU MKUU WA CHAMA hivi kwanini SALUM MWALIMU hakuwa ndo KATIBU MKUU maana huyu mashinji hata support huko twitter hana kabisa,anaonekana anaongea pumba tuu.
 
Nyie tulieni tu 2020 ndipo mtakapouona mpilipili na maua yake.

Tulikuwa tunawanyoa kiduku lakini 2020 tutawapiga upara.
hata mimi naona mkuu.hongereni sana.mtatawala milele yote mkuu..zaidi ya Mungu
 
Back
Top Bottom