bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,999
H
haaaaa haaaa, bibi na bwana hao wanajuanaHapa kwenye huu uzi kuna vita nyingine Au!

Unalishwa tango pori weweAhsante Mshana jr duuuu!!!
Ilikuwa mwaka 1996View attachment 506046View attachment 506047stupidity of human race[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji778] [emoji777] [emoji778] [emoji777] [emoji778] [emoji777] [emoji779] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
Ndio kwa akina "franjo tujman" au sioThanks
Kwani tatzo liko wapi cha msingi si ujumbe umefikaHebu wacha kudanganya watu.
Chechen Republic ni moja ya nchi zilizokuwa zinaunganisha Soviet Union (Urusi) na Bosnia Herzegovina ni nchi iliyokuwa Yugoslavia zamani.
Chechen na Bosnia hazijawahi kuwa na vita unayotaka kuaminisha watu, baadhi ya Wachechnya hadi leo hii wanapigana vita dhidi ya Urusi na vibaraka wao waliowaweka madarakani, kama ilivyokuwa vita ya Soviet Union na Afghanistan.
Bosnia ni tofauti kabisa na Chechnya.
Tafadhali usijaze watu ujinga uliokuwa nao, fanya utafiti japo kiduchu kabla hujaja na uongo hapa JF.
Hakika kwa upuuzi huu ulioleta unazidi kujitanabahisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga.
Na humu unaowajaza ujinga wamo tu na utawaona wanasifia na wana comment huu ujinga.
Kwa watu kama wewe, Watanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Zingine husababishwa na mabeneru ili wawaibie raslimali wanaopiganishwaMbaya sana vita haifai kbs. Kwa bahati mbaya sana historia inatukumbusha mara zote vita husababishwa na watawala(wenye mamlaka). Mungu atuepushie mbali
Mjahidina ktk ubora wakoHebu wacha kudanganya watu.
Chechen Republic ni moja ya nchi zilizokuwa zinaunganisha Soviet Union (Urusi) na Bosnia Herzegovina ni nchi iliyokuwa Yugoslavia zamani.
Chechen na Bosnia hazijawahi kuwa na vita unayotaka kuaminisha watu, baadhi ya Wachechnya hadi leo hii wanapigana vita dhidi ya Urusi na vibaraka wao waliowaweka madarakani, kama ilivyokuwa vita ya Soviet Union na Afghanistan.
Bosnia ni tofauti kabisa na Chechnya.
Tafadhali usijaze watu ujinga uliokuwa nao, fanya utafiti japo kiduchu kabla hujaja na uongo hapa JF.
Hakika kwa upuuzi huu ulioleta unazidi kujitanabahisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga.
Na humu unaowajaza ujinga wamo tu na utawaona wanasifia na wana comment huu ujinga.
Kwa watu kama wewe, Watanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Kwa akili hizo sijui kama Tanzania tutafika karibuni.Kwani tatzo liko wapi cha msingi si ujumbe umefika
How about slovackia,mongolia,bosinia,cosovo etcWhen Yugoslavia was dissolved in the early 1990s, it broke off into the following countries that we recognize today:
- Bosnia and Herzegovina.
- Croatia.
- Macedonia.
- Montenegro.
- Serbia.
- Slovenia.
Ni upumbavu wa wenye mamlaka kuruhusu hali hiyo itokeeWangapi wanaikumbuka hii vita ya Bosnia way back early 2000? Vita ya usaliti na kuvhonganishwa? Vita ile ya Chechnya na wachechen.... Jinsi ilivyo Ondoka na maelfu ya roho zisizo na hatia huku ustawi wa nchi hiyo ukianguka kabisa View attachment 506039View attachment 506040hapa ni kabla ya vita.. Watu wakiishi kwa furaha nyusoni mwao lakini wakiwa na sononi mioyoni!
Baadae kikaundwa kikosi katili cha waasi wa Chechen waliotaka kujitenga na vita ikafumukaView attachment 506041![]()
Binadamu akiwa katikati ya ubora wake uhalisia wake ukaonekanaView attachment 506042View attachment 506043
Mwisho wa vita hiki ndicho walichovunaView attachment 506044View attachment 506045
Je tuna cha kujifunza hapa? Vita haijawahi kuwa suluhu lakini watu wanapochoka na wakachoka kabisa matokeo huwa vita
Kama viongozi waliopo madarakani huko Chechnya ni vibaraka was urusi unamaanisha kwamba na watawala huko Zanzibar ni vibaraka wa Tz bara?Hebu wacha kudanganya watu.
Chechen Republic ni moja ya nchi zilizokuwa zinaunganisha Soviet Union (Urusi) na Bosnia Herzegovina ni nchi iliyokuwa Yugoslavia zamani.
Chechen na Bosnia hazijawahi kuwa na vita unayotaka kuaminisha watu, baadhi ya Wachechnya hadi leo hii wanapigana vita dhidi ya Urusi na vibaraka wao waliowaweka madarakani, kama ilivyokuwa vita ya Soviet Union na Afghanistan.
Bosnia ni tofauti kabisa na Chechnya.
Tafadhali usijaze watu ujinga uliokuwa nao, fanya utafiti japo kiduchu kabla hujaja na uongo hapa JF.
Hakika kwa upuuzi huu ulioleta unazidi kujitanabahisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga.
Na humu unaowajaza ujinga wamo tu na utawaona wanasifia na wana comment huu ujinga.
Kwa watu kama wewe, Watanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Hungu×Hajaanza leo huyo kudanganya, anadanganya mara hungu nzima na nnambamba uongo wake mara kibao, lakini hakomi.
"Kipofu haachi gongo lake".