gemmanuel265
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 8,485
- 18,053
Wewe bibi kazi kutafuta umaarufu mfu tu usiokuwa na maana yoyote, badala ya kujikita kwenye hoja yake ya msingi na kutoa ufafanuzi tu kwa yale usiyokubaliana nayo unaanza tena upuuzi wa kutukana tukana hovyo!!Hebu wacha kudanganya watu.
Chechen Republic ni moja ya nchi zilizokuwa zinaunganisha Soviet Union (Urusi) na Bosnia Herzegovina ni nchi iliyokuwa Yugoslavia zamani.
Chechen na Bosnia hazijawahi kuwa na vita unayotaka kuaminisha watu, baadhi ya Wachechnya hadi leo hii wanapigana vita dhidi ya Urusi na vibaraka wao waliowaweka madarakani, kama ilivyokuwa vita ya Soviet Union na Afghanistan.
Bosnia ni tofauti kabisa na Chechnya.
Tafadhali usijaze watu ujinga uliokuwa nao, fanya utafiti japo kiduchu kabla hujaja na uongo hapa JF.
Hakika kwa upuuzi huu ulioleta unazidi kujitanabahisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga.
Na humu unaowajaza ujinga wamo tu na utawaona wanasifia na wana comment huu ujinga.
Kwa watu kama wewe, Watanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.