Sarajevo Herzegovina

Sarajevo Herzegovina

Nafikiri Ukatili na unyanyasaji na kunyimwa haki za msingi kunakofanywa na Tabaka tawala unapozidi maamuzi ya mwisho ya tabaka tawaliwa huwa ni vita Nadhani wakati umefika wa kuacha uoga na kuingia msituni na kuiondosha CCM madarakani maana kwa sanduku LA kura wanatuibia na tukitegemea kura CCM haitaondoka ni muda mwafaka sasa kuchagua kufa ktk kudai haki kuliko kuendelea kuishi ktk Upumbavu
 
Duh!! Bi FaizaFoxy shkamoo, si kwa kichambo icho, lkn bro mshana alishasema kakosea labda mods nawaomba futeni Uzi ili isishushe hadhi ya brother. I respect him.
 
Mbona hauleweki .maana hapo umezungumzia vita mbili tofauti...kuna ile ya Bosnia - Herzegovina hii ilikuwa sehemu ktk Muungano wa Yugoslavia na ukajumuisha na Chechnya ambayo ni sehemu ya nchi ya Russia.
Vita hizo ni mbili tofauti na sehemu tofauti.
Hujaelewa nn? kinachozungumziwa hapo ni mazara ya boya na c kingine
 
Duh!! Bi FaizaFoxy shkamoo, si kwa kichambo icho, lkn bro mshana alishasema kakosea labda mods nawaomba futeni Uzi ili isishushe hadhi ya brother. I respect him.
[emoji2] [emoji2] [emoji779] who is perfect under the sun[emoji779] usifutwe ngoja wengi waone kila mmoja atoe dukuduku kadiri apendavyo ndio maana nikaicha hivyo ili waje hao waliokuja
 
Hebu wacha kudanganya watu.

Chechen Republic ni moja ya nchi zilizokuwa zinaunganisha Soviet Union (Urusi) na Bosnia Herzegovina ni nchi iliyokuwa Yugoslavia zamani.

Chechen na Bosnia hazijawahi kuwa na vita unayotaka kuaminisha watu, baadhi ya Wachechnya hadi leo hii wanapigana vita dhidi ya Urusi na vibaraka wao waliowaweka madarakani, kama ilivyokuwa vita ya Soviet Union na Afghanistan.

Bosnia ni tofauti kabisa na Chechnya.

Tafadhali usijaze watu ujinga uliokuwa nao, fanya utafiti japo kiduchu kabla hujaja na uongo hapa JF.

Hakika kwa upuuzi huu ulioleta unazidi kujitanabahisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga.

Na humu unaowajaza ujinga wamo tu na utawaona wanasifia na wana comment huu ujinga.

Kwa watu kama wewe, Watanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Jamaa hasira za nini hizo au kwakuwa walioleta hizo Fujo huko ni ile dini ya Magaidi
 
Atakayeleta fyoko fyoko....atakiona cha moto.....

Hii kauli...haikupaswa kutoka kwa kiongozi aliyechaguliwa na kura za wananchi.....hii ni ishara kuwa uchaguzi haukuwa huru na wa haki......ndio maana viongozi wamejaa viburi na dharau kwa waliowaweka hapo ambao wanapata mishahara minono na malupu lupu yao kutokana na kodi zao.....

Hakuna marefu yasiyo na ncha.....
 
Jamaa hasira za nini hizo au kwakuwa walioleta hizo Fujo huko ni ile dini ya Magaidi
Huko wapi? Na wewe ndiyo wale wale "Chechna Bosnia" kama huyo mleta mada!

Punguani mwengine, mnaelimishwa badala ya kusoma mkaelewa mnaleta ujinga.
 
Duh!! Bi FaizaFoxy shkamoo, si kwa kichambo icho, lkn bro mshana alishasema kakosea labda mods nawaomba futeni Uzi ili isishushe hadhi ya brother. I respect him.


Hajaanza leo huyo kudanganya, anadanganya mara hungu nzima na nnambamba uongo wake mara kibao, lakini hakomi.

"Kipofu haachi gongo lake".
 
Hujaelewa nn? kinachozungumziwa hapo ni mazara ya boya na c kingine
Mbona mwenye uzi wake kakiri kosa lake... rekebisha ulichoandika kwanza nawe ili ueleweke...Sio mazara ni madhara kwenye boya sijakuelewa...siku nyingine uandike 'si' na sio 'c'.
Tukienzi kiswahili chetu kwa kukitumia kwa ufasaha.
Ahsante.
 
Nafikiri Ukatili na unyanyasaji na kunyimwa haki za msingi kunakofanywa na Tabaka tawala unapozidi maamuzi ya mwisho ya tabaka tawaliwa huwa ni vita Nadhani wakati umefika wa kuacha uoga na kuingia msituni na kuiondosha CCM madarakani maana kwa sanduku LA kura wanatuibia na tukitegemea kura CCM haitaondoka ni muda mwafaka sasa kuchagua kufa ktk kudai haki kuliko kuendelea kuishi ktk Upumbavu

Wewe nae hebu ficha upumbavu wako. Si kila kitu unaunga mkono tu bila hata Gautama ukweli.

Uliisikia wapi "vita ya Bosnia na Chechen" kabla ya leo kutoka kwa huyu mleta mada anaejaza watu ujinga?
 
Hebu wacha kudanganya watu.

Chechen Republic ni moja ya nchi zilizokuwa zinaunganisha Soviet Union (Urusi) na Bosnia Herzegovina ni nchi iliyokuwa Yugoslavia zamani.

Chechen na Bosnia hazijawahi kuwa na vita unayotaka kuaminisha watu, baadhi ya Wachechnya hadi leo hii wanapigana vita dhidi ya Urusi na vibaraka wao waliowaweka madarakani, kama ilivyokuwa vita ya Soviet Union na Afghanistan.

Bosnia ni tofauti kabisa na Chechnya.

Tafadhali usijaze watu ujinga uliokuwa nao, fanya utafiti japo kiduchu kabla hujaja na uongo hapa JF.

Hakika kwa upuuzi huu ulioleta unazidi kujitanabahisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga.

Na humu unaowajaza ujinga wamo tu na utawaona wanasifia na wana comment huu ujinga.

Kwa watu kama wewe, Watanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Ohooooo!!!
 
Wewe nae usijifanye unajuwa. Hakujawahi kuwa na vita ya Chechen na Bosnia "late 90s" au kabla au baada (labda prehistoric), rudia kumbukumbu kabla hujaunga mkono ujinga.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ohoooo!!!
 
Mbona mwenye uzi wake kakiri kosa lake... rekebisha ulichoandika kwanza nawe ili ueleweke...Sio mazara ni madhara kwenye boya sijakuelewa...siku nyingine uandike 'si' na sio 'c'.
Tukienzi kiswahili chetu kwa kukitumia kwa ufasaha.
Ahsante.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ukitaka nyoka watoke shimoni mwaga mafuta taa
 
Back
Top Bottom