Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,666
- 729,790
Wangapi wanaikumbuka hii vita ya Bosnia way back early 2000? Vita ya usaliti na kuvhonganishwa? Vita ile ya Chechnya na wachechen.... Jinsi ilivyo Ondoka na maelfu ya roho zisizo na hatia huku ustawi wa nchi hiyo ukianguka kabisa
hapa ni kabla ya vita.. Watu wakiishi kwa furaha nyusoni mwao lakini wakiwa na sononi mioyoni!
Baadae kikaundwa kikosi katili cha waasi wa Chechen waliotaka kujitenga na vita ikafumuka
Binadamu akiwa katikati ya ubora wake uhalisia wake ukaonekana
Mwisho wa vita hiki ndicho walichovuna
Je tuna cha kujifunza hapa? Vita haijawahi kuwa suluhu lakini watu wanapochoka na wakachoka kabisa matokeo huwa vita