Sarajevo Herzegovina

Sarajevo Herzegovina

Mbona mwenye uzi wake kakiri kosa lake... rekebisha ulichoandika kwanza nawe ili ueleweke...Sio mazara ni madhara kwenye boya sijakuelewa...siku nyingine uandike 'si' na sio 'c'.
Tukienzi kiswahili chetu kwa kukitumia kwa ufasaha.
Ahsante.
Fungua darasa tuje
 
Hebu wacha kudanganya watu.

Chechen Republic ni moja ya nchi zilizokuwa zinaunganisha Soviet Union (Urusi) na Bosnia Herzegovina ni nchi iliyokuwa Yugoslavia zamani.

Chechen na Bosnia hazijawahi kuwa na vita unayotaka kuaminisha watu, baadhi ya Wachechnya hadi leo hii wanapigana vita dhidi ya Urusi na vibaraka wao waliowaweka madarakani, kama ilivyokuwa vita ya Soviet Union na Afghanistan.

Bosnia ni tofauti kabisa na Chechnya.

Tafadhali usijaze watu ujinga uliokuwa nao, fanya utafiti japo kiduchu kabla hujaja na uongo hapa JF.

Hakika kwa upuuzi huu ulioleta unazidi kujitanabahisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga.

Na humu unaowajaza ujinga wamo tu na utawaona wanasifia na wana comment huu ujinga.

Kwa watu kama wewe, Watanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
We bibi hivi huwezi kumkosoa mtu kwa utaratibu mbona unakua hivyo? Au ndio roho mbaya
 
Duh faiza jaman polepoleh tutakuelewa lugha kidogo imekuwa Kali mno [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mshana jr ni wajibu wako kurekebisha andiko lako liendane na uhalisia hapo ndio itakuwa umejirekebisha ktk andiko bila ya hvo unaonekana badoo.
 
Hii nayo kulikuwa na MKONO wa Marekani.

Kumbuka hii ni moja ya nchi barani ULAYA, kama ilivyo UTURUKI yenye idadi kubwa ya waumuni wa DINI ya Islam.

Kulizuka vita vya wenyewe kwa wenyewe huku upande mmoja ukipata na kupewa nguvu toka USA, kabla ya MATAIFA kupiga kelele na kuomba jeshi la NATO kuingilia kati.
 
Naomba wana JF zaidi nikimlenga DADA Faiza unitoe ama unirekebishe katika hili kwa STAHA..

Sio lengo kupotosha ila nimechangia lile nililokuwa nalifahamu (kwa kipindi hicho) kuhusiana na MADA HUSIKA.
 
Hakanyiki huyo kishazowea kuwajaza watu ujinga, si ara yake ya kwanza hii. Nilimueleza siku nyingi kuwa labda atapodanganya nisipaone. Hakomi.
ohooo [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Aiseeh kuna kitu gani kinaendelea kati ya mzizi mkavu na faizafoxy ??.....
 
Hebu wacha kudanganya watu.

Chechen Republic ni moja ya nchi zilizokuwa zinaunganisha Soviet Union (Urusi) na Bosnia Herzegovina ni nchi iliyokuwa Yugoslavia zamani.

Chechen na Bosnia hazijawahi kuwa na vita unayotaka kuaminisha watu, baadhi ya Wachechnya hadi leo hii wanapigana vita dhidi ya Urusi na vibaraka wao waliowaweka madarakani, kama ilivyokuwa vita ya Soviet Union na Afghanistan.

Bosnia ni tofauti kabisa na Chechnya.

Tafadhali usijaze watu ujinga uliokuwa nao, fanya utafiti japo kiduchu kabla hujaja na uongo hapa JF.

Hakika kwa upuuzi huu ulioleta unazidi kujitanabahisha kuwa shule ulienda kusomea ujinga.

Na humu unaowajaza ujinga wamo tu na utawaona wanasifia na wana comment huu ujinga.

Kwa watu kama wewe, Watanzania tuna safari ndefu sana ya kwenda.
Muktadha mkuu 'fact' ni kwamba vita haijawahi kuwa suluhisho la matatizo.

Hicho ndo ninachoondoka nacho na kukihifadhi akilini mwangu kutoka kwa thread hili

Ndo hivyo tu FaizaFoxy
 
Huko wapi? Na wewe ndiyo wale wale "Chechna Bosnia" kama huyo mleta mada!

Punguani mwengine, mnaelimishwa badala ya kusoma mkaelewa mnaleta ujinga.
Ninajua kabisa ni nchi mbili tofauti lakini zote ni Vita Takatifu za kuondoa mizizi ya dini mbaya Ulaya ya Mashariki
 
Dah! Miaka hiyo 80s mwishoni na 90s tukiwa Sm na sec hizo Vita zilitisha sana kwa kusikiliza redioni hasa BBC, zingekuwa TV Kama sasa ingetisha zaidi. Mnijuze kwa usahihi vita ya Yugoslavia, irack na zile za urusi/rusia/chechnia zilipigwa mwaka gani?
 
ni rahisi mno kuianza vita,ila ni vigumu zaidi kuimaliza vita....
ni vyema pia..ukiitaka amani jiandae kwa vita...
 
Back
Top Bottom