antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,072
- 133,365
Haha,Huku mtaan kuna kauli mbiu yetu "wese jingi zero friction piga tako mbili za afya" min -me tutapona kweli au tumeshaunguza mkeka
Kwa hiyo dakika 1 tu unashusha mzigo ndo mpango mzima?
Haha,Huku mtaan kuna kauli mbiu yetu "wese jingi zero friction piga tako mbili za afya" min -me tutapona kweli au tumeshaunguza mkeka
Mimi nilishapita na Mademu wa4 wote wana ngoma, but sikupata...pengine ni damu ya mtu...mwingine nimepita nae 2009 akiwa anatumia Arv...Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.
Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi , jitambueni , mtameza njugu kama njiwa manga vilaza nyie.View attachment 3649155
AIEndelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.
Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi , jitambueni , mtameza njugu kama njiwa manga vilaza nyie.View attachment 3649155
Kupata ni ngumu sana pia ni rahisi sana bwasheeMimi nilishapita na Mademu wa4 wote wana ngoma, but sikupata...pengine ni damu ya mtu...mwingine nimepita nae 2009 akiwa anatumia Arv...
Alikuwa ni mrembo haswa! Kipindi kile...jana amepita ofisini kwangu nikampa hi tukapiga stori 2 tatu...ana mtoto mdogo wa mwaka mmoja... na hana maambukizi.
Mwanamke ni jinsi utakavyomuandaa...na usikamie mechi!
Ukitaka kumkomoa uonekane fundi...shababi...imekula kwako!
Kwisha wewe muda wako unahesabika.!Ukiupata.
Vijana haswa wa dar...wanaopenda..sekenke... kulelewa...watia mkongo...ili wamfurahishe mshangazi kwa kumsugua haswa....ni watumiaji watarajiwa wa Arv's.Kupata ni ngumu sana pia ni rahisi sana bwashee
Kuliko hata aliyegongwa na treni baada ya dakika kumi mbele?Kwisha wewe muda wako unahesabika.!
Ukisugua sana 🔥 haukwepeki kama anaowatia mkongo...ili wamfurahishe mshangazi kwa kumsugua haswa....ni watumiaji watarajiwa wa Arv's.
Hapana unakufa mdogomdogo huku unajiona Kuna dada hapa mtaa yrs 25 dah namuonea huruma mumewe kaukwaa kashakufa mkewe ndo kabaki daaaaahKuliko hata aliyegongwa na treni baada ya dakika kumi mbele?
Sema unaweza kugusa na ukatoka mzm
Hiyo miwese mnayowawekea ma mamsi zenu kwny papuchi yana madhara makubwa..
Kama mwanaume unajiamini kwa shughuli yako kuanzia kumuandaa mtu wako why mtembee na michupa ya mafuta? Si mwanamke anayo naturaly au mnafanya kwenye makorongo mnahitaji grisi...😆😆
25yrs tayari Una Ngoma aisee utapata taabu Sana.Hapana unakufa mdogomdogo huku unajiona Kuna dada hapa mtaa yrs 25 dah namuonea huruma mumewe kaukwaa kashakufa mkewe ndo kabaki daaaaah
Inatokea sana bwashee, sema utaishi kama digidigi mpaka upate ujasiri wakupima