Sanuka, chuma hazipimwi kwa macho

Sanuka, chuma hazipimwi kwa macho

Wanaweka Wese ili ganda la ndizi.

Sasa hiyo natural lubricant kuna muda inakata alafu yenyewe kama yenyewe vipi kama inavimelea. Ingawaje wanadai Vimelea wanakaa kwenye damu
Natural lubricant Ikikata njiani kuna namna...
Suluhisho mtumie tuu cndm kwa usalama kuliko mafuta...
 
Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.

Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi , jitambueni , mtameza njugu kama njiwa manga vilaza nyie.View attachment 3649155
Ndom sijui kufanyaje, mahangaiko yote hayo ni ya nini?
Hivi 'kutulizana' ishashindikana'eeh?
 
Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.

Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi , jitambueni , mtameza njugu kama njiwa manga vilaza nyie.View attachment 3649155
Bwashee aliyekuambia kuwa kondomu inazuia ukimwi ni nani? Acheni uzinzi huo ni uchafu!
 
Unaichapa halafu unapita kitaa , usikia wana wanadai ile chuma ni cheche🤣 lazima uhare kwanza😅
Ukimaliza tuu pale unawaza na kujilaumu juu.
Enzi nzangu nilipata mtu anaogopa ngwengwe balaa akasema lazima tukapime.

Daah nikasema ngoja niende zangu miye huyo mpaka hosp moja hivi katikati ya mji.

Sasa tukawa km watu wanne hivi wakaweka ule mkanda wa Bukoba daaah, wacha picha za makaburi zipite kwenye mind yangu.

Nikamuuta dada wa pale nikamwambia mnajua tumejitoa ufahamu kupima alafu mnatutisha. Wakasema kwanini nikawaambia ona picha mnazoweka hapo kwenye TV
Tutaondoka tuache majibu mjue miye nimekaa hapa naangalia hiyo TV naona makaburi tuu mbele yangu.

Nashukuru walitoa na tulipokea majibu yetu fresh. Na kesho yake nikamleta yule mwoga.
 
Uzi bila picha ni chai, hapa maafisa wa TISS tu ndio wataelewa.
Screenshot_2024-06-06-20-52-08-934_com.pinterest.jpg
 
Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.

Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi , jitambueni , mtameza njugu kama njiwa manga vilaza nyie.View attachment 3649155
Tamaa mbele mauti nyuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom