Sanuka, chuma hazipimwi kwa macho

Sanuka, chuma hazipimwi kwa macho

Kote itauma tu😅
Ukipewa na mwenye pesa ni tofauti kidogo.
Unakuwa hauna Nguvu sana.
Atakwambia "Sorry baby twende Dubai tukapumzika,"
Baada ya hapo tuanze dawa na kutumia matunda kwa wingi. 😝😝

HIV yenye nguvu na kuanza kuonyesha Dalili zote kwa siku Moja ni ule wa
"Samahani salma tuvumilie tu na hivi sina Hela sijui tutafanyaje kuhusu kula matunda"😝
Hata nauli ya kwenda hospital Sina.
Hapo lazima Vidonda vianze kujitokeza mdomoni na nywele kunyauka.
 
Matunda tuyale kama chakula tu, hizo mambo za kula kwa maelekezo ya kidaktari zilishapitwa na wakati😅
 
Top 20 countries by number of people living with HIV
Rank
Country
People living with HIV, approx.
1
🇿🇦 South Africa
7.8 million
2
🇲🇿 Mozambique
2.5 million
3
🇳🇬 Nigeria
2.0 million
4
🇹🇿 Tanzania
1.8 million
5
🇺🇬 Uganda
1.5 million
6
🇿🇼 Zimbabwe
1.3 million
7
🇰🇪 Kenya
1.3 million

Bongo tunagawana
 
Sasa kama walio wengi wanakuambia UKIMWI ni ugonjwa, elimu ipo kweli?

Wanakuambia Mwamposa anaitibu hiyo.

Wanakuambia kuna mitishamba yake.

Wanakuambia utumie "futa jingi".

Wanakuambia ni "Mungu" tu anawaokoa.

Watanzania hawaishi kwenye uhalisia kabisa.
Katika kitu nachowapendea maex wangu basi ni kutonipa ngoma.
 
Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.

Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi , jitambueni , mtameza njugu kama njiwa manga vilaza nyie.View attachment 3649155
Duuh,
Habari ya 🔥 inatisha aisee, inakata stimu kabisaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom