Sanuka, chuma hazipimwi kwa macho

Sanuka, chuma hazipimwi kwa macho

Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.

Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi , jitambueni , mtameza njugu kama njiwa manga vilaza nyie.View attachment 3649155
ichape ichape mchaga wa wapi wewe mwoga ichape ichape isogeze ichape ichape itoe moshii kama mkoa wangu karibu marangu kwa bibi
 
Asante kwa kutukumbusha kiongozi
Mtungi iwe ni mitungi tu ,mambo ya mitungu kukimbilia chini ni mbaya sana.
Screenshot_2026-07-27_190951.jpg
 
Yeah , heri nusu shari kuliko shari kamili bwashee
Nafikiri hili suala ni uwiano(scale) tu. TZ haijawahi kuwa na watu wengi kama hivi sasa(61m), na wengi wao wakiwa hawana elimu(5.8% tu wakiwa wamefika chuo kikuu) na hata hao wenye elimu, wengi hawana elimu bora.

Kwahiyo ule utambuzi wa kina kuhusu NGENGWE, achilia mbali kisonono na homa ya ini, hauwezi kuwepo.
 
Bwashee ,elimu wanayo ila hawana ile hofu kama zamani, uhamasishaji umekua mdogo kuliko makwingi wa kuhamasisha ngono
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom