Sanuka, chuma hazipimwi kwa macho

Sanuka, chuma hazipimwi kwa macho

mgumu kuelewa na kujieleza utaweza kunielewesha?
Mada ipo wazi , unauliza swali la kuniattack badala ujadili mada wapi kwenye mada yangu kumetaja ulichouliza?

unayo shida kubwa sana na hii mada wewe🤔
 
Mada ipo wazi , unauliza swali la kuniattack badala ujadili mada wapi kwenye mada yangu kumetaja ulichouliza?

unayo shida kubwa sana na hii mada wewe🤔
nnashida na watu kupona, we umetoa tahadhari m nkatoa mwongozo wa tiba, tatizo liko wapi?
 
Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.

Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi , jitambueni , mtameza njugu kama njiwa manga vilaza nyie.View attachment 3649155
Aiseee wese limekaa mahali pake ,kweli hapo lazima uingie mzima mzima Dry kisiwa Chama.
 
Aiseee wese limekaa mahali pake ,kweli hapo lazima uingie mzima mzima Dry kisiwa Chama.
Ni hatari, vijana wanasema kwa hizi nyama nyama yupo salama , kumbe ndio cheche mbaya kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom