Sanuka, chuma hazipimwi kwa macho

Sanuka, chuma hazipimwi kwa macho

Huku mtaan kuna kauli mbiu yetu "wese jingi zero friction piga tako mbili za afya" min -me tutapona kweli au tumeshaunguza mkeka
Tako mbili na wese jingi inakoa ila kwa nini ujiweke kwenye hatari, kuna homa ya universe kisonono UTI na watoto usiowatarija, bora kuvaa mfuko tu bwashee
 
Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.

Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi , jitambueni , mtameza njugu kama njiwa manga vilaza nyie.View attachment 3649155
Hofu yako akili yako.Gusa unase.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom