Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 12,954
- 25,665
Sasa hivi wanadondoka na vitambi utasikia pressure na sukari tu
Ndio, sasa hivi wana aina karibu 7 za dawa. Ikikukataa hii, wanakupa nyingine. Kabla ya hapo ilikuwa ikikukataa tuu, basi tunazika, hukatizi mwaka.
Kabla ya huyo kichaa Trump hajarudi, ilikuwa PEPFAR, walete sindano ya kila mwezi, watu waachane na makande.
Ugonjwa wa kimkakati huu, ukiendekeza tuu utelezi shudu linakuhusu. 😊