Sanuka, chuma hazipimwi kwa macho

Sanuka, chuma hazipimwi kwa macho

kabla ya kufyatuka hakikisha unakumbukumbu areeef, au wadudu washakula medula
Hahaha , makarmsiriko ya ni nini mjomba hapa nawasanua wana tu , sijawanyanyapaa nyie wagonjwa tuliza kishundu
 
Endelea kuichapa kavu , endelea kusema ndomu zinamaliza utamu, na zinawasha, endelea kuichapa kwa nguvu zote ili ukomoe , endelea kujisifu sana kuwa unaisugua mpaka inatoa cheche.

Kaa kiaskari kijana , hakuna mlinzi wa afya yako zaidi yako mwenyewe, wale wazee wanyamanyama na futa jingi , jitambueni , mtameza njugu kama njiwa manga vilaza nyie.View attachment 3649155
Naskia anaekula ARV haambukizi, ila siku akiacha anakuambukiza
 
Hahaha , makarmsiriko ya ni nini mjomba hapa nawasanua wana tu , sijawanyanyapaa nyie wagonjwa tuliza kishundu
Andika taratibu mkuu, kwani JF scores hazijakutosha, au mida ya kutuliza wadudu umekaribia
 
Andika taratibu mkuu, kwani JF scores hazijakutosha, au mida ya kutuliza wadudu umekaribia
Unatatizo gani wewe? Watu wakisanuliwa wajilinde na ukimwi wewe unapata shida gani? Pasta msefenge msefenge kama wewe ni mzigo kwa waumini wako🚮
 
Umeongea ukweli mtupu bwashee, starehe za dk chake hazipaswi kukuvurugia mustakabali mzima wa maisha yako

Kukaa kiaskari ni muhimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom