katka hili nna jambo la kusema kwa kawaida binafam hupenda kutunza kumbu kumbu hasa zile nzuri na za kuvutia ili apate furahi pindi anapoziona kumbu kumbu izo ila nashangaa utakuta msibani eti. kuna makamera yapo pale watu wanachukua picha
hivi kuna kipi kizuri pale wale watu wanaolia na kujuta au ule urembo. wa jeneza kuna vitu. wakuu havina mantiki na havipendez niliona ajabu eti makaburuni watu wameenda na maspika makubwa wanasikiliza kwaya zinagonga
kweli tunapaswa kufnya ufahari katika maisha yetu hasa mungu anapotutunuku ila kuna vitu havina maana hata kidogo. kufa hakupendez alokufa azikwe kwa heshima na sio ufahari ili tupate kwenda kusimulia mazishi